Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
AAAH KUMBE UNAHISISitoi maamuzi ila nahisi kuwa hilo kwa sasa halitofanyika na ukizingatia utakuwa ugomvi wa majirani na sio serikali ya nchi na waasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AAAH KUMBE UNAHISISitoi maamuzi ila nahisi kuwa hilo kwa sasa halitofanyika na ukizingatia utakuwa ugomvi wa majirani na sio serikali ya nchi na waasi.
Ayajengaje uchumi huku ana hofu na Red Tabara.Halafu Kagame hapendi Burundi ikue kiuchumi ila naye mwisho wake utafika tu.Huyo Ndaishimiye ajenge uchumi wa Burundi, uchumi wa Burundi upon chini Sana. Aachane na vita
Ila na wewe Kaa ukijua kua,ukimuona mbwa juu ya mti ujue kawekwa pale.Hilo linawezana ndo maana nashauri Ndayishimiye aache mihemko. Atumie diplomasia badala ya vitisho ambavyo bila shaka vitamletea madhara yeye mwenyewe na nchi yake kwa ujumla wao.
Ni nchi yetu ileMkuu ongea na watu wa system vizuri wakueleweshe. Burundi ni jimbo la Tanzania lenye mamlaka ya kujiendesha kama ilivo Hongkong na Macau kwa China so ukiigusa Burundi usishangae unashughulikiwa na kikosi cha askari wa ardhini cha Tabora na kile cha anga cha Ilemela. Walioshuhudia namna JWTZ walivomrudisha Burundi Nkurunziza kupitia Murugwanza Ngara kwenda kuweka mambo sawa alivotaka kupinduliwa watakufafanulia kwamba ule upendo kwa Burundi ni zaidi ya nchi nyingine ya jirani kwa Tz
I think wenye uelewa wa hili jambo wamekuelewa.Wanarudi kule kule kwenye "misimamo mikali" na ideology za "Hutu Power" ambazo ndizo zilizopelekea Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea katika Afrika ya Mashariki na Kati.
Ushauri wangu kwa Warundi na Wanyarwanda wasiwasikilize hao Wanasiasa wa Hutu Power waendelee kutembeleana wawadharau watu wanaotaka kuwatenganisha.
Lengo ni AFRIKA MOJA na sio kutenganishwa na Wanasiasa wenye ajenda za siri.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya jeshi kukabiliana na waasi na vita kamili kati ya jeshi la Nchi moja na Nchi nyingine. Hivyo hao Rwanda wala hakuna Nchi ya kuwaogopa zaidi ya kuwapaisha tu.Nenda kawaulize waasi wa Msumbiji wamejificha wapi baada ya jeshi la Rwanda kuingia mzigoni. Pia center africa napo kimya baadae ya Kagame kupeleka vijana kule kulinda amani na kurudisha usalama ndani ya nchi.
Kagame kashindikana kabisa eneo hili la maziwa makuu. Naona apewe Urais wa eneo la maziwa makuu, atatulinda vizuri.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mobutu alijiendeleza sana yeye na genge lake, badala ya kuliendeleza jeshi lake na
Mobutu alijiendeleza sana yeye na genge lake, badala ya kuliendeleza jeshi lake na vifaa vyake.
NdioUmemuandika Ndayishimiye kama mtu binafsi zaidi na sio kama Rais aliyeapa kuilinda Burundi.
Wasi wasi wako mkubwa upo kwenye Urais wake na sio Burundi.
Uenda, hana uchungu na urais wake kuliko Nchi yake.
Alikuwa kama raisi wa Cameroon. Hata birthday yake ya kuzaliwa anaendaga kuifanyia Paris kila mwaka.Alifanya yaliyowezekana kwa wakati ule. Bunduki zina kiasi ila kama angejenga utaifa, mambo yale yasingewezekana.
Pia alitegemea sana nguvu na msaada wa wajomba wa Ulaya
Samahani,yani unamaanisha Burundi ni kama mkoa wa Tanzania? Naomba unieleweshe mkuu,elimu Haina mwishoMkuu ongea na watu wa system vizuri wakueleweshe. Burundi ni jimbo la Tanzania lenye mamlaka ya kujiendesha kama ilivo Hongkong na Macau kwa China so ukiigusa Burundi usishangae unashughulikiwa na kikosi cha askari wa ardhini cha Tabora na kile cha anga cha Ilemela. Walioshuhudia namna JWTZ walivomrudisha Burundi Nkurunziza kupitia Murugwanza Ngara kwenda kuweka mambo sawa alivotaka kupinduliwa watakufafanulia kwamba ule upendo kwa Burundi ni zaidi ya nchi nyingine ya jirani kwa Tz
Nielimisheni jaman,Burundi ni nchi yetu kivipi? Hili swala linanivutia kulijua kiundaniNi nchi yetu ile
Nani kakudanganya?Tatizo baadhi ya watu wanajifanya kujisahaulisha kuhusu uwezo wa jeshi la Rwanda kwenye medani ya vita.
Wale waasi wa Msumbiji sasa hivi hatuwasikii tena baada ya Rwanda kupeleka jeshi huko.