Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
True storyHivi mpaka leo hujui kwa miaka 30 Maamuzi ya pale Bujubura yanatoka Dar es salaam na Dodoma?
Kuishambulia Burundi in kuishambulia Tanzania gizani, mwenzako PK alimpindua Nkurunzinza muulize alifanikiwa, uliza kikosi chake chote kilipelekwa wapi na vijana wa Mwamnyange, kifupi PK keshatwangana na TPDF Mara 2 kachapwa kaishia kufanya ambush kule Congo kuua Askari wetu Tena kwa njama na West.