Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Hivi mpaka leo hujui kwa miaka 30 Maamuzi ya pale Bujubura yanatoka Dar es salaam na Dodoma?

Kuishambulia Burundi in kuishambulia Tanzania gizani, mwenzako PK alimpindua Nkurunzinza muulize alifanikiwa, uliza kikosi chake chote kilipelekwa wapi na vijana wa Mwamnyange, kifupi PK keshatwangana na TPDF Mara 2 kachapwa kaishia kufanya ambush kule Congo kuua Askari wetu Tena kwa njama na West.
True story
 
Hiv unajua kuna nchi huwez kuvamia na TZ wakakaa kimya. Huwez kuivamia Comoro ushelisheli Burundi ni nchi strategy kwetu Mzee. Cku Rwanda akiingia hapo utaona. Jiulize juz kati walivyoweza kabisa kumpindua nkurunzinza nini kiliwapata.
Ulichoandika hapo kuhusu ngurunziza ndo kile kile nilichoandika katika aya yangu ya chini.

Lakini kila nabii na kitabu chake, raisi aliewakimbiza waasi wa ngurunziza mwaka 2015 hayupo. Pia wale walikuwa waasi na sio nchi ambazo zote ni jirani zetu na tunashirikiana kwa mambo mengi.

Pia uchumi wa nchi na mambo yaliopo katika meza ya raisi kwa sasa itakuwa ngumu kuacha na mambo hayo kwa nchi yake alafu akimbilie kupigana katika nchi ya wenzake. Sana sana wataomba vita visimamishwe na diplomasia itume kuwapatanisha baada ya madhara makubwa ya vita kutokea.
 
[emoji81][emoji81][emoji81]ulipo sema Kenya tu nme kudharau sanaaa .kwa akili yako Kenya ana iweza ata Uganda? Yani hata hao wavunja tofari wa TZ sizani kama wana iweza Uganda ya saivi na ndege zao za panga boi
Uganda hii ambayo jeshi lake limeshindwa kuwadhibiti waasi hapo Congo?

Nipe historia ya jeshi la Uganda. Imeshafanya operation gani kubwa za nje likafanikiwa kwa kiasi kikubwa.
 
Kitendo cha kudai Uganda inaweza pigwa na Rwanda kinaonyesha unaichukulia Rwanda kama dude lililoshindikana kumbe sivyo. Uganda ikiingia vitani na Rwanda hao Wanyarwanda wanapigwa bila ubishi wala dalili za kutoka suluhu.

Na wala Rwanda haiko vizuri sana kwamba inaweza kuipiga Burundi kirahisi. Rwanda inabidi ijitutumue ionekane ina jeshi ili kulinda nidhamu ya woga, ila sio kwamba iko na uwezo mkubwa hivyo. Kwahiyo usimtishe Rais wa Burundi anajua kukuzidi
Sawa brother
 
Tatizo baadhi ya watu wanajifanya kujisahaulisha kuhusu uwezo wa jeshi la Rwanda kwenye medani ya vita.

Wale waasi wa Msumbiji sasa hivi hatuwasikii tena baada ya Rwanda kupeleka jeshi huko.
Wanamjua vizuri PK awawezi fanya kitu mwisho wao huwa ni hapo kwenye kufunga mipaka.
 
Serikali ya Burundi imeshindwa kuimarisha Uchumi wa Nchi imeamua kujiunga na Kongo DRC kulaumu Watutsi.

Ushauri wangu kwa Watutsi msisubiri 1994 nyingine na Mauaji ya Kimbari jiandaeni na Interahamwe.

KIla familia ya Kitutsi Nchini Burundi DRC lazima iwe na RPG 7 ili mauaji yajayo dhidi yenu yakutane mkiwa mumejiandaa vilivyo

Chukueni hili wazo Mtutsi anachukiwa na ukiuliza kwanini wanasema anaringa sana😄

Ubumwe Inshuti.
Burundi kushinda vita dhidi ya Rwanda ni sawa sawa na Tembo kupenya katika dirisha la bajaji.
 
HV kwenye vikao vya jumuiya Rwanda inaonekanaje mbele ya wanachama wengine wakiemo Somali
Kwanini umeuliza swali hili mkuu?

Maana jamii ya walio wengi katika utawala wa sasa wa Rwanda chimbuko lao ni Somalia na pembezoni na Ethiopia. So hakuna msomali atakaeshangaa.
 
Burundi kushinda vita dhidi ya Rwanda ni sawa sawa na Tembo kupenya katika dirisha la bajaji.
Kwanza Burundi haifuati tena makubaliano ya Arusha ya Jeshi la Burundi kuwakilishwa na Makabila makuu mawili ya Burundi Wahutu na Watutsi sasa hivi wanaajiri Wahutu kwa wingi na kufukuza askari wa Kitutsi.

Wasifikiri Dunia haijui na sisi Tanzania ndio tulikuwa wasimamizi wa makubaliano hayo.
 
Kwani hao Rwanda wamewahi kupigana na Nchi gani mpaka uone Burundi kuwa watapigwa ? Vita sio bonanza. Hao unaohisi wapo vizuri wanaweza wakapigwa vizuri tu
Nenda kawaulize waasi wa Msumbiji wamejificha wapi baada ya jeshi la Rwanda kuingia mzigoni. Pia center africa napo kimya baadae ya Kagame kupeleka vijana kule kulinda amani na kurudisha usalama ndani ya nchi.
 
Kwanza Burundi haifuati tena makubaliano ya Arusha ya Jeshi la Burundi kuwakilishwa na Makabila makuu mawili ya Burundi Wahutu na Watutsi sasa hivi wanaajiri Wahutu kwa wingi na kufukuza askari wa Kitutsi.

Wasifikiri Dunia haijui na sisi Tanzania ndio tulikuwa wasimamizi wa makubaliano hayo.
Ulichoandika ndio ukweli wenyewe. Wao walihurumiwa na kukaribishwa na watutsi katika jeshi ili wafanye kazi pamoja kama nchi. Lakini sasa wahutu wakajifanya wajanja kwa kuanza kupangua mtutsi mmoja mmoja na nafasi zao kuchukuliwa na wahutu ambao wengi wao hawana elimu za kijeshi zaidi ya kujifunzia porini namna tu ya kufyatua risasi na kubeba bunduki begani.
 
Ulichoandika ndio ukweli wenyewe. Wao walihurumiwa na kukaribishwa na watutsi katika jeshi ili wafanye kazi pamoja kama nchi. Lakini sasa wahutu wakajifanya wajanja kwa kuanza kupangua mtutsi mmoja mmoja na nafasi zao kuchukuliwa na wahutu ambao wengi wao hawana elimu za kijeshi zaidi ya kujifunzia porini namna tu ya kufyatua risasi na kubeba bunduki begani.
Wanarudi kule kule kwenye "misimamo mikali" na ideology za "Hutu Power" ambazo ndizo zilizopelekea Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea katika Afrika ya Mashariki na Kati.

Ushauri wangu kwa Warundi na Wanyarwanda wasiwasikilize hao Wanasiasa wa Hutu Power waendelee kutembeleana wawadharau watu wanaotaka kuwatenganisha.

Lengo ni AFRIKA MOJA na sio kutenganishwa na Wanasiasa wenye ajenda za siri.
 
ila kongo wapo vizuri sanaa kivifaa kuloko unavyo zani tatizo tumekalili
Inawezekana kwa sababu wana rasilimali za kununulia, tatizo wanajeshi wao nasikia ni walevi, wavivu, waoga na wapenda starehe! Kupigana vita kunahitaji ujasiri wa wanajeshi na wananchi kwa ujumla.

Combination ya Burundi na DRC ndio itaweza kuitikisa Rwanda, kwa sababu Warundi majasiri na DRC atatoa rasilimali vifaa na hao askari waoga
 
Historia zinabadilika sana na lazima ujue hata Burundi nao ni mafia sema tu watu wengine hawapendi shobo sana, ila swali la msingi why Rwanda kila muda na unadhani ataogopwa Hadi lini?
 
Back
Top Bottom