Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Mimi sio mnyarwanda mkuu. Mtikila aliteketezwa na gari yake mwenyewe.
Lilikuwa ni gari la kukodi. Mlimuondoa mtaalamu aisee, ajabu mpaka jeshi la polisi mkalikontroo, likafunga uchunguzi masaa 5 sijui baada ya kifo. Likahitimisha kuwa chanzo cha kifo ni ajali ya gari, hakuna kunyongwa. Mtikila alipasua windshield na bado gari likaja mlalia kifuani, ajabu hakuchea hata damu au kuchanika uso hata kidogo.
 
Wapo vizuri kivifaa vya mziki na mazoezi ya kunengua. Lakini kivita ni weupe sana, hamna kitu.
uasi ni tofauti na total war pia mwaka 1967 ni tofauti na mwaka 2024 , wamesoma historia wameyajua mapunguf yao mengi , usiwe kama yule mtu alinikuta na stuli mwaka 2000 anazania atanikuta hivyo hivvyo 2023 , mambo yanabadilika kila baada ya muda , waarab walipigwa mwaka 1967 sasa hv wamekuja na njia ya kufadhiri ugaidi kupigana dhidi ya mataifa makubwa dunian pia kutumia wakimbiz kama njia ya kupenyeza wapiganaj wao dunian kote , na wanapigana kama raia wema ukiwapiga wanalialia kwenye tv unaua raia wema huui magaidi na ukiwauliza kwann magaidi hayasongi mbele kama hayafi yanapeleka kesi ICJ , DUNIA INABADILIKA KILA SIKU KULIKO NA UGUMU WA KILA PLAN DHID YA ADUI YAKO
 
Sasa kama anajipenda yeye na nchi ni bora angetumia ujuzi wake kuepusha vita kati ya nchi hizo mbili maana bila hivyo itakula kwake.
Rwanda yupo vitan solution ni kupigana , Kupigana ndo ushindi kwake hata akishindwa ila Rwanda hatokuwa na uwezo wa kuweka watu wake maana atakuwa kadhoofika na huenda ukawa mwisho wa utawala wa Kagame maana Rwanda pia itapitia mengi , Vita sio kama mnavyoona kwenye muvi za Anold , Nyerer alianza pitia upinzan na ukosoaji mkubwa baada ya vita vya Uganda kutoka 1979 hadi 1984 hali ilikuwa ngumu , maana Nchi ilifisika licha ya kupewa misaada mingi ya nje na ndipo akamwaga manyanga mwaka 1984 , Usichezee vita , BURUNDI AWE KAMA HAMAS ILI RWANDA AANZE HESHIMU BURUNDI MAANA RWANDA ANAPATA KIBURI KUWA BURUNDI INAMUOGOPA ILA SIKU AKIPANDIA HEWAN AKAMTINGISHA HATA KWA WIKI TU NA RWANDA AKAONA ATHARI ZA VITA BASI ATAJIFUNZA KDG , ACHANA NA HZ VITA ANATUMA WATU KUPIGANA KWA KUJIFICHA KAMA RAIA
 
Mwanajeshi anaenda vitani huku ana redio akifika sehemu anaweka bunduki chini, anawasha redio na kuanza kumsikiliza falii pupaa huku akikataa mauno kama yote.

Akija kushtuka M23 wapo nyuma yake, wanamnyang'anya silaha na kumuua au kumteka.
mm ni mtz ila hz story za kale nshaachaga kuziamin , DRC ilitengenezewa propaganda nying ionekane imeshindwa jitawala , nimeona masimuliz/documentary halisia nying sana kuhusu ikionesha na kuthibitisha DRC ilikuwa na makundi ya kiasi mazito yenye silaha nzito hata kuliko hizi nchi zetu zote za EAC zikiungana kuisaidia DRC , na yalikuwa yanaongozwa mpk na waliowai kuwa wakuu wa majeshi wakubwa kabisa wa bara la ulaya , ila wakidanganya umma kwa kuwaweka viongoz uchwara kwenye media ili mjue ni migogoro ya kiafrika , vikund vile vingeletwa Tz hii tungekuwa kama Libyia , DRC imepambana sana tangu uhuru wake , siku Drc ikiachiwa hata pumzi ya miaka 50 itapiga hatua mara 5 ya sisi Tz , hiz story za DRC alikuwa legelege mnadanganywa wajinga , Kagame na Mseven sio wao waliomwangusha Mobutu wao walikuta njia imesafishwa na vikundi ambavyo vilikuwa vinapigania maslai ya wabelgiji na hawakutaka kuonekana kuna mkono wao wakawavalisha kinyago Kagame na M7 , hata kwa upande wa Muvi zipo muvi nyingib za kijeshi zimeigizwa zilizokuwa na maudhui ya uhalisia na kwenye muvi hizo utaona waliwai ona vikundi hivyo vikiongozwa na wazungu kama top leaders na mission zao nyingi zilikwamishwa sabab waasi walikuwa well equiped kuliko majeshi yao wazungu yaliyokuja kupigania amani na wengi waliishia kurudi kwao na vifo tu , hapo DRC ndo kuna uasi mzito kwenye ulimwengu huu , we endelea kuwaonea huruma Hamas
 
Hawa nao akili hawana

Yaani wanashindwa kutatua matatizo yao wanataka kujitwika vita

Vita vinatokea ila ukweli mchungu nikwamba vita sio njia sahihi yakutatua matatizo

Kupitia vita unaweza na mara nyingi hua yanazuka matatizo zaidi njaa maradhi mauaji ulemavu uchumi kuparaganyika wakimbizi wa ndani na nje

Ila sema pk nae mbabe sana ndio shida yake
 
Hivi mpaka leo hujui kwa miaka 30 Maamuzi ya pale Bujubura yanatoka Dar es salaam na Dodoma?

Kuishambulia Burundi in kuishambulia Tanzania gizani, mwenzako PK alimpindua Nkurunzinza muulize alifanikiwa, uliza kikosi chake chote kilipelekwa wapi na vijana wa Mwamnyange, kifupi PK keshatwangana na TPDF Mara 2 kachapwa kaishia kufanya ambush kule Congo kuua Askari wetu Tena kwa njama na West.
 
Back
Top Bottom