Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilikuwa ni gari la kukodi. Mlimuondoa mtaalamu aisee, ajabu mpaka jeshi la polisi mkalikontroo, likafunga uchunguzi masaa 5 sijui baada ya kifo. Likahitimisha kuwa chanzo cha kifo ni ajali ya gari, hakuna kunyongwa. Mtikila alipasua windshield na bado gari likaja mlalia kifuani, ajabu hakuchea hata damu au kuchanika uso hata kidogo.Mimi sio mnyarwanda mkuu. Mtikila aliteketezwa na gari yake mwenyewe.
Haya angalia hao makubwa jingaMkuu umetumia cha Arusha au cha mw/nyamala?
Haya angalia hao makubwa jingaMkuu umetumia cha Arusha au cha mw/nyamala?
Haya angalia hao makubwa jingaMkuu umetumia cha Arusha au cha mw/nyamala?
Kwa hiyo unabisha [emoji849]Mkuu umetumia cha Arusha au cha mw/nyamala?
Labda yupo Lusumo huko mpakani mwa RwandaKwamba ww unataarifa kuliko raisi wa nchi ya burundi?
Taarifa za jeshi ni siri, we Uganda umeipimaje?
Punguza kushinda karume pale kijiweni
Na Kagame aliwekwa na nani madarakani?Ni kawaida mbona. Kagame ashatumika sana kwenye system ya Uganda, hivyo anaijua nje ndani, mpaka anapoogea Museven Kagame anapajua.
Na kutuua tukimsemaKagame kashindikana kabisa eneo hili la maziwa makuu. Naona apewe Urais wa eneo la maziwa makuu, atatulinda vizuri.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
unajengaj uchumi ambao yupo mtu anavunja msing kwa kutengeneza insecurity , Ndayishimiye anakuzid taaluma ya utawala ndugu tusiwe wepes sana kwenye kukoment bila kuangalia wasifa wa mtuHuyo Ndaishimiye ajenge uchumi wa Burundi, uchumi wa Burundi upon chini Sana. Aachane na vita
mwaka 1997 hata mimi nlikuwa nayapiga majitu makubwa kwa kupaza kelele , siku hz watu wanajitambuaKama Mobuto alienda...nani mwingine? Suala la muda tu
uasi ni tofauti na total war pia mwaka 1967 ni tofauti na mwaka 2024 , wamesoma historia wameyajua mapunguf yao mengi , usiwe kama yule mtu alinikuta na stuli mwaka 2000 anazania atanikuta hivyo hivvyo 2023 , mambo yanabadilika kila baada ya muda , waarab walipigwa mwaka 1967 sasa hv wamekuja na njia ya kufadhiri ugaidi kupigana dhidi ya mataifa makubwa dunian pia kutumia wakimbiz kama njia ya kupenyeza wapiganaj wao dunian kote , na wanapigana kama raia wema ukiwapiga wanalialia kwenye tv unaua raia wema huui magaidi na ukiwauliza kwann magaidi hayasongi mbele kama hayafi yanapeleka kesi ICJ , DUNIA INABADILIKA KILA SIKU KULIKO NA UGUMU WA KILA PLAN DHID YA ADUI YAKOWapo vizuri kivifaa vya mziki na mazoezi ya kunengua. Lakini kivita ni weupe sana, hamna kitu.
Rwanda yupo vitan solution ni kupigana , Kupigana ndo ushindi kwake hata akishindwa ila Rwanda hatokuwa na uwezo wa kuweka watu wake maana atakuwa kadhoofika na huenda ukawa mwisho wa utawala wa Kagame maana Rwanda pia itapitia mengi , Vita sio kama mnavyoona kwenye muvi za Anold , Nyerer alianza pitia upinzan na ukosoaji mkubwa baada ya vita vya Uganda kutoka 1979 hadi 1984 hali ilikuwa ngumu , maana Nchi ilifisika licha ya kupewa misaada mingi ya nje na ndipo akamwaga manyanga mwaka 1984 , Usichezee vita , BURUNDI AWE KAMA HAMAS ILI RWANDA AANZE HESHIMU BURUNDI MAANA RWANDA ANAPATA KIBURI KUWA BURUNDI INAMUOGOPA ILA SIKU AKIPANDIA HEWAN AKAMTINGISHA HATA KWA WIKI TU NA RWANDA AKAONA ATHARI ZA VITA BASI ATAJIFUNZA KDG , ACHANA NA HZ VITA ANATUMA WATU KUPIGANA KWA KUJIFICHA KAMA RAIASasa kama anajipenda yeye na nchi ni bora angetumia ujuzi wake kuepusha vita kati ya nchi hizo mbili maana bila hivyo itakula kwake.
mm ni mtz ila hz story za kale nshaachaga kuziamin , DRC ilitengenezewa propaganda nying ionekane imeshindwa jitawala , nimeona masimuliz/documentary halisia nying sana kuhusu ikionesha na kuthibitisha DRC ilikuwa na makundi ya kiasi mazito yenye silaha nzito hata kuliko hizi nchi zetu zote za EAC zikiungana kuisaidia DRC , na yalikuwa yanaongozwa mpk na waliowai kuwa wakuu wa majeshi wakubwa kabisa wa bara la ulaya , ila wakidanganya umma kwa kuwaweka viongoz uchwara kwenye media ili mjue ni migogoro ya kiafrika , vikund vile vingeletwa Tz hii tungekuwa kama Libyia , DRC imepambana sana tangu uhuru wake , siku Drc ikiachiwa hata pumzi ya miaka 50 itapiga hatua mara 5 ya sisi Tz , hiz story za DRC alikuwa legelege mnadanganywa wajinga , Kagame na Mseven sio wao waliomwangusha Mobutu wao walikuta njia imesafishwa na vikundi ambavyo vilikuwa vinapigania maslai ya wabelgiji na hawakutaka kuonekana kuna mkono wao wakawavalisha kinyago Kagame na M7 , hata kwa upande wa Muvi zipo muvi nyingib za kijeshi zimeigizwa zilizokuwa na maudhui ya uhalisia na kwenye muvi hizo utaona waliwai ona vikundi hivyo vikiongozwa na wazungu kama top leaders na mission zao nyingi zilikwamishwa sabab waasi walikuwa well equiped kuliko majeshi yao wazungu yaliyokuja kupigania amani na wengi waliishia kurudi kwao na vifo tu , hapo DRC ndo kuna uasi mzito kwenye ulimwengu huu , we endelea kuwaonea huruma HamasMwanajeshi anaenda vitani huku ana redio akifika sehemu anaweka bunduki chini, anawasha redio na kuanza kumsikiliza falii pupaa huku akikataa mauno kama yote.
Akija kushtuka M23 wapo nyuma yake, wanamnyang'anya silaha na kumuua au kumteka.
ila wabongo huwa mna vitukoUnaweza kuwa raisi lakini baadhi ya mambo ukawa huyajui mpaka watu wa pembeni kama sisi tukuambie.
Kagame anachapa Congo anachapa Burundi kwa wakati mmoja.huo uwezo PK anao.
Kati ya vitu vya mwisho kabisa kwa Kagame anaweza akakubali kuvifanya hapa duniani kabla ya kujiua basi ni kuamua kupambana na Burundi.ila kongo wapo vizuri sanaa kivifaa kuloko unavyo zani tatizo tumekalili