Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Mkuu ongea na watu wa system vizuri wakueleweshe. Burundi ni jimbo la Tanzania lenye mamlaka ya kujiendesha kama ilivo Hongkong na Macau kwa China so ukiigusa Burundi usishangae unashughulikiwa na kikosi cha askari wa ardhini cha Tabora na kile cha anga cha Ilemela. Walioshuhudia namna JWTZ walivomrudisha Burundi Nkurunziza kupitia Murugwanza Ngara kwenda kuweka mambo sawa alivotaka kupinduliwa watakufafanulia kwamba ule upendo kwa Burundi ni zaidi ya nchi nyingine ya jirani kwa Tz
 
Ni nchi yetu ile
 
Wanarudi kule kule kwenye "misimamo mikali" na ideology za "Hutu Power" ambazo ndizo zilizopelekea Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea katika Afrika ya Mashariki na Kati.

Ushauri wangu kwa Warundi na Wanyarwanda wasiwasikilize hao Wanasiasa wa Hutu Power waendelee kutembeleana wawadharau watu wanaotaka kuwatenganisha.

Lengo ni AFRIKA MOJA na sio kutenganishwa na Wanasiasa wenye ajenda za siri.
I think wenye uelewa wa hili jambo wamekuelewa.
 
Ayajengaje uchumi huku ana hofu na Red Tabara.Halafu Kagame hapendi Burundi ikue kiuchumi ila naye mwisho wake utafika tu.
Hapendi kivipi, kwani yeye uchumi wa Burundi usipokuwa anafaidika vipi?
 
Nenda kawaulize waasi wa Msumbiji wamejificha wapi baada ya jeshi la Rwanda kuingia mzigoni. Pia center africa napo kimya baadae ya Kagame kupeleka vijana kule kulinda amani na kurudisha usalama ndani ya nchi.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya jeshi kukabiliana na waasi na vita kamili kati ya jeshi la Nchi moja na Nchi nyingine. Hivyo hao Rwanda wala hakuna Nchi ya kuwaogopa zaidi ya kuwapaisha tu.
 
Endelea kujiliwaza kaka
 
Mobutu alijiendeleza sana yeye na genge lake, badala ya kuliendeleza jeshi lake na

Mobutu alijiendeleza sana yeye na genge lake, badala ya kuliendeleza jeshi lake na vifaa vyake.

Alifanya yaliyowezekana kwa wakati ule. Bunduki zina kiasi ila kama angejenga utaifa, mambo yale yasingewezekana.

Pia alitegemea sana nguvu na msaada wa wajomba wa Ulaya
 
Alikuwa kama raisi wa Cameroon. Hata birthday yake ya kuzaliwa anaendaga kuifanyia Paris kila mwaka.
 
Mkuu ongea na watu wa system vizuri wakueleweshe. Burundi ni jimbo la Tanzania lenye mamlaka ya kujiendesha kama ilivo Hongkong na Macau kwa China so ukiigusa Burundi usishangae unashughulikiwa na kikosi cha askari wa ardhini cha Tabora na kile cha anga cha Ilemela. Walioshuhudia namna JWTZ walivomrudisha Burundi Nkurunziza kupitia Murugwanza Ngara kwenda kuweka mambo sawa alivotaka kupinduliwa watakufafanulia kwamba ule upendo kwa Burundi ni zaidi ya nchi nyingine ya jirani kwa Tz
Samahani,yani unamaanisha Burundi ni kama mkoa wa Tanzania? Naomba unieleweshe mkuu,elimu Haina mwisho
 
Tatizo baadhi ya watu wanajifanya kujisahaulisha kuhusu uwezo wa jeshi la Rwanda kwenye medani ya vita.

Wale waasi wa Msumbiji sasa hivi hatuwasikii tena baada ya Rwanda kupeleka jeshi huko.
Nani kakudanganya?
Wale waasi bado wapo mzee.
Hali imepungua tu makali ila haijakaa sawa kabisa .
Kama ukizungumzia medani Uganda na Kenya wana medani kubwa za kivita kuliko Rwanda .
 
Back
Top Bottom