Vita ya marafiki ni kali sana kwenye mafanikio kuliko mtu baki

kaka hapana usiweke ,tupo chini ya miguu yako USIWEKE KAKA TAFADHALI......
 
Dm hata moja usifanye forgery maana huko ntaitambua mapema..
 
Ni kweli mkuu...Mbona mm nawasave sana mkuu!...
 
Mkuu usiwape watu majukumu ya kukusaidia, kila mtu anapambana na yake kimya kimya
 
kaka hapana usiweke ,tupo chini ya miguu yako USIWEKE KAKA TAFADHALI......
Ngoja nipotezee tu basi. Kwasababu watu watashikwa na presha na cardiac arrest bure waende kwenye permanent coma wakati kwenye ukoo wao ndo sole bread winners washindi wakuu wa mkate.

Mkuu asante kwa ushauri umeokoa maisha ya wengi sana.
 
Mwandiko wako haunishawishi sana kama unastahili. Mimi nina wana wakipiga simu kukopa hela siulizi unarudisha lini wala unafanyia nini, najua ziko mikono salama.
Wapo wengine ambao bila kujiridhisha anaenda kufanya nini, utakuta anaenda kut0mb£a mkopo na hajui hela atarejeshaje. Hivyo ni lazima niwaulize kwa kina wanaenda kufanya nini, na evidence nione.

It's very likely ungeniomba hiyo hela (assume ni kiwango kidogo chini ya hapo) kwa maelezo hayohayo nisingekupa. Juzi Jumamosi nilichukua hela ofisi ya rafiki yangu niirudishe jioni, mvua ikanyesha nikaenda hivyohivyo usiku kabla msaidizi wake hajafunga, kumbe ile hela alibidi aongezee kesho yake aitume nje kuongeza mzigo. Na mimi kesho yake Jumapili (jana) nilitoka usiku kupiga kazi moja niliyomaliza usiku hata match ya Chelsea vs Man City sijaona. Sasa imagine nisingepeleka ile hela Jmosi.
 
Ngoja nipotezee tu basi. Kwasababu watu watashikwa na presha na cardiac arrest waende kwenye permanent coma wakati kwenye ukoo wao ndo sole bread winners washindi wakuu wa mkate.

Mkuu asante kwa ushauri umeokoa maisha ya wengi sana.
Mzee wa Box bana acha hiyo mikwara ya kina mzee Hashim Rungwe...!
 
Muhaya ndani ya jiji
 
Zamani vijana walikua wakitaka kusalimia wakubwa, walikua wanavua kofia alafu wanasalimia...😐
Skuizi vijana wakitaka kusalimia wakubwa, kwanza wanatoa headphone moja ndipo wanasalimia..🤨
Mimi mpaka leo nikisalimia walionizidi umri sharti nitoe kofia hayo ndo maadili niliyofundishwa huko kijijini kwetu nyibhuko kiwira mwankenja
 
Una maanisha uaminifu sio.. katika hao watatu wameshachukua kwangu na kurudisha kwa mbinde wawili nimechukua kwa o na kurudisha on time...na hao wawili pia walishachukua siku za nyuma pia mmoja ndio alikua mpya ila tunajuana vizuri sana..muandiko sio ishu sana..mm sio mzuri kwenye content writing..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…