Inawezekana kabisa. Kuna watu wanazo bongo ila wakikunasa. Halafu wabongo walivyo wambea watajua tu unayo watakuchoma na kukuchongea.Hapo Kenya ni Karibu sana! hivi nikiorder Starlink yangu online nikifunga ziwezi kunasa Data ?
TIGO is typing.................................................................Baada ya kuliona hilo ndio kampuni ya STARLINK wakaja na suluhisho zifuatazo;
1. Badala ya kununua vifaa vyake, sasa wanakodisha kwa mwezi. Bei ni kama ifuatavyo;
a. Kufungua account ni dola 21 (unalipia mara moja tu)
b. Kukodi vifaa ni dola 15 kwa mwezi.
2. Kapunguza/Kaanzisha bundle za bei ya chini, bundle ya dola 10 tu kwa mwezi, yenye GB 50. Zikiisha unaweza nunua data kwa bei ya karibia shilingi 400/= za kitanzania kwa GB 1.
Wewe ni mpotoshaji. God will punish you.Baada ya kuliona hilo ndio kampuni ya STARLINK wakaja na suluhisho zifuatazo;
1. Badala ya kununua vifaa vyake, sasa wanakodisha kwa mwezi. Bei ni kama ifuatavyo;
a. Kufungua account ni dola 21 (unalipia mara moja tu)
b. Kukodi vifaa ni dola 15 kwa mwezi.
2. Kapunguza/Kaanzisha bundle za bei ya chini, bundle ya dola 10 tu kwa mwezi, yenye GB 50. Zikiisha unaweza nunua data kwa bei ya karibia shilingi 400/= za kitanzania kwa GB 1.
Watu wananunua kifaa wanakiweka mtaani. Kaya 3-5 kuchanga hela ya pamoja ili kupata unlimited internet kwa mwezi mzima bila kukatika katika wala migogoro ya kipuuzi itakuwa hatua kubwa sana.Tunachanga mtaa mzima tunanunua kifaa tunaruka na data mwaka mzima
Uzuri hio 50GB ya elon Musk inaweza kumaliza mwezi mzima bila shida. Tofauti na 50GB ya mitandao ya kibongo ambayo kiuhalisia unaweza kuta upewa 25GB ndani ya week 2 tu kifurushi kimeisha unakatiwa connection😂.Baada ya kuliona hilo ndio kampuni ya STARLINK wakaja na suluhisho zifuatazo;
1. Badala ya kununua vifaa vyake, sasa wanakodisha kwa mwezi. Bei ni kama ifuatavyo;
a. Kufungua account ni dola 21 (unalipia mara moja tu)
b. Kukodi vifaa ni dola 15 kwa mwezi.
2. Kapunguza/Kaanzisha bundle za bei ya chini, bundle ya dola 10 tu kwa mwezi, yenye GB 50. Zikiisha unaweza nunua data kwa bei ya karibia shilingi 400/= za kitanzania kwa GB 1.
🚮takataka hiiThed weld dwellers bana FANYENI kazi nyie acheni kuendekeza na kupenda anasa. Internet ni anasa tu kwenu kuchat chat na madem na umbea mtandaoni.
Hii nchi unaweza kusafiri zaidi ya kilomita 500 ukakutana na maripori manene yasiondelezwa yapoyapo tu kizembe. Nendendo huko mkayasafishe mjishughulishe.
Jerry komaa hapo hapo kama Nape.
Panueni wigo mpana.
Tulia wewe na upanue wigo mpana.🚮takataka hii
Una akili za kizee sana, kwa maoni yako hukosi miaka 60,uongo ndugu yangu?Tulia wewe na upanue wigo mpana.
Jerry Shikilia na komaa hapo hapo kama Nape.
Watakuja tu mkuu, mabadiliko lazma yatatokea tu japo upinzani ni mkali🤣 ila ipo siku watu wataruhusiwa tu kuleta hardware za Starlink.Starlink kuja Tanzania ni vigumu sababu viongozi wetu wa siasa wana hisa kwenye makampuni ya simu. Makampuni ya simu yanawanyonya sana wa Tanzania, kutuma pesa, kutoa pesa na kulipia huduma za makampuni na serikali unakatwa zaidi ya 4%
Rostam na voda yake hawezi kukubali starlink ije TZ,unadhania nape alikua mjinga kuikataaSttarlink ni suala la muda tu.
Hawa Voda na Tigo waliokuwa wanajifanya wanabana datta ipo siku watatutafuta kwa Tochi.
Vijana wetu wa Telecom mnaokula na kusaza huko Maakampuni ya simu kaeni Mguu sawa.
Ati Nape anafanana na Prof Mwandosya?Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa gharama ya chini ya data.
Nape alitoa ufafanuzi huo wakati aliposhiriki kipindi cha Power Breakfast on Saturday cha Clouds TV na redio, Agosti 20, 2022 jijini Dar es Salaam ambapo alisema na kudai kuwa bei ya data kwa wastani wa 1GB ni Dola 1.71 sawa na shilingi 3990. Maneno ya Nape yalikuwa “Tanzania kuwa miongoni mwa Mataifa yenye gharama za chini za mawasiliano haimaanishi kuwa itapunguza malalamiko kwa kuwa uchumi wetu haufanani na wananchi wengi wana kipato cha chini”.
View attachment 3079455
Nape alidai kuwa Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kufanya tathmini ya gharama za uwekezaji, utunzaji na usafirishaji wa data kila baada ya miaka minne na tathmini nyingine inafanyika mwaka huu ili kupata uhalisia wa gharama za bando kama zitapanda au kushuka.
Aidha, Nape aliweka wazi kuwa Serikali imeruhusu ushindani kwa kuweka mazingira wezeshi ya kuwa na kampuni nyingi zinazotoa huduma za mawasiliano ambapo huduma ya vifurushi ni huduma ya ziada inayotolewa na makampuni hayo na kuleta unafuu wa gharama za mawasiliano.
View attachment 3079456
Kama ni mfuatiliaji wa mtandao na habari za ulimwengu basi ni wazi umepata kuona viongozi wa Safaricom Kenya wakikutana na kitu kizito sana kutoka kwa Elon Musk, dharau zao sasa zimekuwa majuto kwao kwa kile ambacho Starlink wamekuja kuwapatia nafuu ya gharama za mtandao ndani ya Kenya. Kwa taarifa za wazi kutoka mtandao wa X unadai kuwa mtu anaweza kufurahia mtandao kwa gaharama ya 40657.50 sawa na dola 15 za kimarekani.
Safaricom kwa sasa hawana ujanja tena kwa kile ambacho kinaendelea ndani ya Kenya, ni Safaricom ambao walikuwa wanafanya kazi kwa mazoea na kiburi kikubwa, huduma mbovu kupita maelezo na kuzima mtandao kwa maagizo ya serikali. Starlink anakuja katika Wakati ambao wakenya wengi wamechoshwa kupita maelezo. Kwa sasa sijui utamwambia nini Mkenya aendelee kutumia huduma za mtandao kutoka Safaricom Wakati ameona kuna nafuu kubwa sana ya kutumia Starlink.
View attachment 3079457
Mageuzi haya yasiishie tu ndani ya Kenya bali Starlink fanya hima na Tanzania mje ili mitandao yetu hii ipate kujifunza na kukaa kwa adabu! Mara kadhaa gharama za bando zimekuwa zikipanda tu bila mpangilio wowote wa msingi huku TCRA akiwa kimya kama haoni kinachoendelea. Starlink akija Tanzania atatuonesha wapi panavuja na wapi kuna tatizo kabsa ndani ya hizi kampuni za mawasiliano.
Je unadhani Starlink akija Tanzania, utaendelea kununua bando la wiki kila siku au utahamia Starlink bila hata kuaga mtandao wako?
Warwanda na wakenya wanamiliki starlink ila hapa kwetu tukaaminishwa hatuwezi gharama za kumiliki starlink!Nape aliwatisha na kusema Elon Musk mtandao wake ni ghali sana. Ila kimsingi akija bongo itasaidia sana. Kiburi cha Telecom companies za kibongo kimeenda mbali mpaka kufikia kuwa vibaraka wa TRA na ufyekaji wa pesa za watu bila huruma kupitia matumizi ya simu.
😁😁😁achana na tu na starlink connect Africa installation tu kimbembe. Ngona si tukomae na halotel fiber tuMaskini wengi wanadhani Starlink inawahusu. Hata ikiletwa leo watakaomudu gharama za Starlink ni wachache mno. Starlink hawana bundles za buku. Unalipia kwa mwezi sio chini ya laki. Na pia lazima ununue vifaa vyao ni zaidi ya Tsh 2m. Starlink iliingia Zambia mapema ila hadi leo raia wengi hawaitumii internet yao. Kwa Tanzania ni bei tu ya bundles zishuke ndo suluhisho. Starlink sio suluhisho
Viongozi wetu wengi ni washamba wenye less exposure. Kitu ambacho kinanufaisha wananchi wengi serikali ndio inawekea mizengweWarwanda na wakenya wanamiliki starlink ila hapa kwetu tukaaminishwa hatuwezi gharama za kumiliki starlink!
Badala ya kutafuta unafuu kwa wananchi wao ndio wanawakandamiza,hii yote inakuja sababu wanajua wanachokifanya nyakati za uchaguzi so awawaogopi wapiga kuraViongozi wetu wengi ni washamba wenye less exposure. Kitu ambacho kinanufaisha wananchi wengi serikali ndio inawekea mizengwe