Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Ni kweli kabsa! Wanaona ni threat kwa pesa na uwekezaji wao
Ile ya kusambaza mkonga wa Taifa alipewa nani? Imefikia wapi? Kwanini tusiende kwenye technogy ya uhakika ambayo haina gharama kubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabsa! Wanaona ni threat kwa pesa na uwekezaji wao
We jamaa unatia aibu sana. Yaani ktk karne ya 21 unawaza mapori ?. Hayo mapori unaenda kukata kwa mikono ?Thed weld dwellers bana FANYENI kazi nyie acheni kuendekeza na kupenda anasa. Internet ni anasa tu kwenu kuchat chat na madem na umbea mtandaoni.
Hii nchi unaweza kusafiri zaidi ya kilomita 500 ukakutana na maripori manene yasiondelezwa yapoyapo tu kizembe. Nendendo huko mkayasafishe mjishughulishe.
Jerry komaa hapo hapo kama Nape.
Panueni wigo mpana.
Wote tungekuwa wakulima huko maporini leo ungeijua na ku comment hapa JF? Kama wewe haujui kutumia internet in more productive way that's your problem.Thed weld dwellers bana FANYENI kazi nyie acheni kuendekeza na kupenda anasa. Internet ni anasa tu kwenu kuchat chat na madem na umbea mtandaoni.
Hii nchi unaweza kusafiri zaidi ya kilomita 500 ukakutana na maripori manene yasiondelezwa yapoyapo tu kizembe. Nendendo huko mkayasafishe mjishughulishe.
Jerry komaa hapo hapo kama Nape.
Panueni wigo mpana.
Hajafukuzwa ameenguliwa.Wewe hujui lugha za nchi yetu? ngoja nikupe mifano ucheke kidogonape mbona kafukuzwa uwaziri au nape wa nyankunde
Tatizo kila kiongozi ameshaweka mkono wake katika makampuni haya hivyo hakuna any positive impact wanaifanyaIle ya kusambaza mkonga wa Taifa alipewa nani? Imefikia wapi? Kwanini tusiende kwenye technogy ya uhakika ambayo haina gharama kubwa?
Choice of words 😃Hajafukuzwa ameenguliwa.Wewe hujui lugha za nchi yetu? ngoja nikupe mifano ucheke kidogo
Enzi ya Magufuli ilikuwa marufuku kusema mgonjwa alikuwa anaumwa Covid unasema changamoto za kupumua.
Wakati flani miaka ya 90 CCM wakikwaruzana walikuwa hawasemi kuna migongano wanasema tofauti za kimawazo.
Nani aliyekudanganya adui yako ni TIGO au VODA ? kwa taarifa yako ADUI yako mkubwa ni Serikali kwa kupitia TCRASttarlink ni suala la muda tu.
Hawa Voda na Tigo waliokuwa wanajifanya wanabana datta ipo siku watatutafuta kwa Tochi.
Vijana wetu wa Telecom mnaokula na kusaza huko Maakampuni ya simu kaeni Mguu sawa.
Ni kweli kabsa Mkuu! Hawa waliokaa hapo juu!Nani aliyekudanganya adui yako ni TIGO au VODA ? kwa taarifa yako ADUI yako mkubwa ni Serikali kwa kupitia TCRA
Sakata la Bundles - Suluhisho
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...www.jamiiforums.com
Okay,ije tu ivyoivyo,watu wenyewe watachagua watumie ipi.Maskini wengi wanadhani Starlink inawahusu. Hata ikiletwa leo watakaomudu gharama za Starlink ni wachache mno. Starlink hawana bundles za buku. Unalipia kwa mwezi sio chini ya laki. Na pia lazima ununue vifaa vyao ni zaidi ya Tsh 2m. Starlink iliingia Zambia mapema ila hadi leo raia wengi hawaitumii internet yao. Kwa Tanzania ni bei tu ya bundles zishuke ndo suluhisho. Starlink sio suluhisho
Sttarlink ni suala la muda tu.
Hawa Voda na Tigo waliokuwa wanajifanya wanabana datta ipo siku watatutafuta kwa Tochi.
Vijana wetu wa Telecom mnaokula na kusaza huko Maakampuni ya simu kaeni Mguu sawa.