Vita ya Starlink na Safaricom ni somo kwa kampuni za mawasiliano Tanzania

Kuna ujinga mwingi sana hapa TZ, kwanza watakuambia wanataka wawe na control, ndio sababu walimkatalia alipokuja mwanzo. Wanahisi watashindwa kuzima mtandao siku wakitaka.
 
Internet inaweza kuleta utajiri na maendeleo kuliko hayo mapori, akili za kina Nape mnafanana
 
Hizi gharama kwa sasa ni historia

Hadi Safaricom wametoa mlio issue iko hivi:
Starlink wamepunguza gharama za vifaa vyao hadi installation ambapo sasa ni Ksh. 29,000 ambayo ni sawa na Tsh. Laki sita (kubwa eeh!?) Twende sawa. Hii kwa sasa hulipi yote, unalipa kidogo kidogo kwa mwezi mpaka utakapo maliza.

Suala la vifurushi pia wamelitazama na waka introduce kifurushi cha Ksh. 1,300 kwa mwezi hii ni kama Tsh. 26,000 kwa mwezi, unapata GB 50 na zikiisha kabla ya mwezi unaendelea kutumia kwa bei Ksh 20 per GB ambayo ni sawa na Tsh. 400 kwa GB 1

Sasa niambie ni maskini gani atakae shindwa lipia Tsh. 400 kwa GB 1 akati maskini wote TZ tushazoea lipia Tsh. 2,100 kwa GB huku tukipatiwa speed ya kobe
 
Nakazia, na inafunika nchi nzima mpaka mashimoni, speed Mara 100, Nape alaaniwe mbwa yule
 
Kiufupi Elon Ndio katia timu na amesha launch satellites kibao kwa ajili ya hili ,hawa waseng£ wanaooona raia ni kama misukule wao wa kuwakamua.tu wajisikiavyo litaisha na wataisoma namba tu ,ni suala la muda
Huyu mmarekani anamean business ,na atatengeneza pesa kweli kweli ,si masikhara , suala la internet coverage Africa kinahitajika sana
 

Nape gani? Nape yule mwenyee yule au mwingine? Kwanza akili mnembe haimtambui
 
Coverage ya Starlink satellite internet ni kubwa na ipo kila mahala na speed yake ni kubwa kuliko mitandao uchwara ya Bongo na bei pia kwa sasa ni ndogo ukilinganisha na takataka za hapa bongo

Bongo kama tunataka maendeleo tuachane na technology redundant. Tuanze kwenda na wakati
 
Wanalia sana lakini wanaomba AST iwaokoe
 

Attachments

  • Screenshot_20240825_110200_Google.jpg
    397.4 KB · Views: 10
Acha porojo jamvin panua wigo mpana wewee
Porojo ni wewe usiejua faida ya internet, sisi tunaingiza kipato sababu ya internet ww unaitumia kuangalia ponografia na kushinda kwenye mitandao ukisoma udaku, lazma uone ni hasara.

Mwaka 2024 unaamini internet ni anasa basi una safari ndefu sana
 
Porojo ni wewe usiejua faida ya internet, sisi tunaingiza kipato sababu ya internet ww unaitumia kuangalia ponografia na kushinda kwenye mitandao ukisoma udaku, lazma uone ni hasara.

Mwaka 2024 unaamini internet ni anasa basi una safari ndefu sana
Panua wigo mpana wewee acha porojo jamvin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…