Vita ya Starlink na Safaricom ni somo kwa kampuni za mawasiliano Tanzania


Na wazungu wanajua biashara vibaya mno, wanatumia ile kanuni ya "weka kiasi kidogo ili wateja wawe wengi then faida iwe kubwa", na ndo kanuni ambayo wachina wameiga japo ubora mdogo ila imewapa matokeo mazuri sana.

Hapo kina voda na tigo lazima walale na viatu mämæ

Itafika time kununua vifaa vya elon itakuwa laki na ushee tu. Time will tell
 
Una akili ila jina sasa.
 
Internet sio anasa kwa sasa ni lazima hata watumishi wa umma wanajaza majukumu yao kwenye mfumo
 
Internet sio anasa kwa sasa ni lazima hata watumishi wa umma wanajaza majukumu yao kwenye mfumo
Tatizo ni kwamba wachache wanaamini kuwa mtu kupata mtandao ni makosa ya jinai
 
Nataka niagize ivo vifaa apo kenya nifunge nyumban kwangu nina uhakik apa nilipo nitatumia bila shida na hakuna atakaeona akanichoma kwa wenyewe nchi😄
 
Nataka niagize ivo vifaa apo kenya nifunge nyumban kwangu nina uhakik apa nilipo nitatumia bila shida na hakuna atakaeona akanichoma kwa wenyewe nchi😄
Kesho nataka niingie border hpo nitafute kifaa changu! Nipige biashara! Naweka mtaani hapa!
 
Hii nchi unaweza kusafiri zaidi ya kilomita 500 ukakutana na maripori manene yasiondelezwa yapoyapo tu kizembe. Nendendo huko mkayasafishe mjishughulishe.
Acha kuwaponza watu wewe. Maeneo ya watu unaita mapori?
Hauwezi kuwa serious, yaani nikute tu pori nianze kulisafisha kisha nilitumie kibiashara!?
Maisha sio rahisi kiasi hiki.
 
Ziendelee kalala kuna siku zitakuta kumekucha
 
Acha kuwaponza watu wewe. Maeneo ya watu unaita mapori?
Hauwezi kuwa serious, yaani nikute tu pori nianze kulisafisha kisha nilitumie kibiashara!?
Maisha sio rahisi kiasi hiki.
Kabsa Mkuu
 

Kutoka mtandaoni huko 😃 mambo yanaanza kuwa moto moto.
 
Starlink kuja Tanzania ni ngumu sana kwa sababu viongozi wengi, wana HISA katika makampuni ya mawasiliano, short and clear.
Rais wetu auvunje mzizi wa fitina ili Watanzania tufaidike na revolution speed and super telecom services!
Ni kweli kabsa! Wanaona ni threat kwa pesa na uwekezaji wao
 
Hakuna poti lisilomilikiwa.Ukitska ujue mmiliki jidanganye kujipeleka kama hujafurushwa kama mvamizi.
Ni kweli mtu anaona Pori ila kiuhalisia ni makazi ya watu
 

Haya mambo ya kuwapa OYA OYA nafasi kubwa za maamuzi, ambao hawana uwezo wala weledi, yanaigharimu sana Africa.
At least mtu awe anajitingisha basi. Kuna mijitu akili zimetulia hapo chini, utafikiri boga linalokua. Jinsi siku zinavyoenda na ujinga na uzezeta unavyoongeza.
Kuwa kada sio lazima kuwa kiongozi mzuri kwenye ofisi za umma. Tujirekebishe. Wakati ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…