Vita ya U-IGP yaweza kuwa imechangia kukamatwa viongozi wa CHADEMA?

Jeshi siyo chama cha Siasa hufanyi chochote hadi alie juu yako aruhusu kama amesaini Awadh ujue anamamlaka hiyo huenda jambo hilo liko chini ya kamisheni anayoongoza yeye, siyo barua zote zinasainiwa na msemaji
Amesaini Mzanzibari
 
Nini kimesababisha Mtu anayehisiwa kuyataka madaraka ya IGP atoe statement badala ya Msemaji rasmi? Je si kujipendekeza Kwa mheshimiwa Rais ili IGP aliyepo aonekane dhaifu?
Ukinifahamisha Haji anatokea wapi, nitakupa jibu kwa nini uwepo mkanganyiko namna hiyo. Siyo lazima iwe ni kuutafuta u-IGP, ingawaje hicho kitakuwa kilainishi.
 
Sinema tayari ni mbaya; itasafishwa vipi hii!

Lakini sinema za namna hii ni funzo muhimu. Hivi hali itakuwaje endapo 2025 waigizaji hawa hawa watapata nafasi ya kuendeleza picha za aina hii; si itakuwa balaa!
 
Chadema imewapa watu vyeo, utajiri na vyeo
 
Asante Mkuu, lakini Mimi nimeweka kama swali. Lini Taarifa nyingine ilitolewa na kamishna yeyote tofauti na Msemaji rasmi? Kwani matukio ya jinai mbona hayatokewi na kamishna wa jinai yanatolewa na Misime?
Wabongo kama mna mtindio wa ubongo vile? Usema ''mh'' rais afanye nini? Yaani unampelekea ''tatizo'' matatizo yako?Hujui haya yote yanatokea kwa sababu yake?
 
Kazi kuu ya Jeshi la Polisi ni Kuzuia uharifu usitokee! Kenya walijichanganya
 
Sinema tayari ni mbaya; itasafishwa vipi hii!

Lakini sinema za namna hii ni funzo muhimu. Hivi hali itakuwaje endapo 2025 waigizaji hawa hawa watapata nafasi ya kuendeleza picha za aina hii; si itakuwa balaa!
Hoja yako nzito Sana.
 
Kuna uweledi na uchawaledi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…