Vita ya U-IGP yaweza kuwa imechangia kukamatwa viongozi wa CHADEMA?

Hii nchi ina mambo ya kipumbavu sana lakini poliCCM wana mambo ya kipimbi sana.
 
Awadh anatafuta u IGP tunajua mbinu zake na tabia zake za ufirauni tunazijua tutamuanika hadharani
 
Wakati Wa Sirro Aliyekuwa Anaitaka Hiyo Nafasi
Alikuwa Anaitwa Wankyo Ramadhani Nyegesa



Sasa Wameanza Tena Vita Ni Vita
Hapo Iigiipii Ajipange Sawa Vinginevyo Oops
 
Awadh anatafuta u IGP tunajua mbinu zake na tabia zake za ufirauni tunazijua tutamuanika hadharani
Yule jamaa anahonga vyeo.
Akipewa chiu anampa mtu cheo.
 
Dawa ya haya yote ni Katiba Mpya. Hizi power struggle zimeanza kuingia mpaka kwenye majeshi only because tuna Katiba mbovu inayowapa nguvu wanasiasa kuliko kuipa nguvu mifumo dhidi ya Wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…