Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

Hiyo picha ya pili ina zaidi ya miaka 3 inaonekana kwenye mitandao ya kijamii.
Na hii nayo?
JamiiForums527343290.jpg
 
1. Inasemekana askar aa ukrain wanakimbilia zaidi sehemu za kiraia ndo maana russia naye anapiga hapo hapo.

2. Kusema kuwa Russi ameshindwa tawala anga Ukraine sina uhakika sana, ila naweza nikaamini sababu matarajio ha vita sio haya tunayoyaona sasa. Tulitarajia within a week tayar ukrain ipo chini.

3. Izo anti tanks machine inasemakana znatengenezwa UK, naomba nizipe heshima ya kipekee hizo mashine.

4. Russia naamini hakutegemea angekutana na strong resistance ya ukraine, kitu ambacho huenda pia kikashusha morali ya askar wake, mbaya zaidi nusu dunia iko against nao, soon uchumi wao utaaanza kukaa kushoto, hii itapunguza morali ya vita kwa askar wa russia. Imefika mahali mpaka anaanza kutumia hypersonic missile, hizi ni silaha bora kbs za kivita kwa sasa, ukiona mpaka amefika huku basi tujue kweli kuna mambo hayajakaa sawa kwa serikali ya Kremlin.

5. Endapo mambo yakaenda vibaya kwa russia, naomba sana Mungu mrussi asifikirie kutumia nuclear.

6. Putin awe makin zaidi na serikali yake hasa ktk vikwazo walivyowekewa, umasikini ni mbaya mno, umasikini unanuka, hakuna wananchi watakachoweza kuelewa ikiwa wanaona wanakuja kwa njaa wao na familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Despite of bias analysis...russia according to high USA official katumia silaa mingi za during cold war means outdated..sjajua hapa putin aliwaza nn ila kumu underestimate RUSSSIA ni kosa kubwa sana hadi sasa ana bomu ambalo dunia zma analo peke yake ..
(Unstoppable)
Russia ameshatumia mpaka hypersonic missiles, sasa hizi si za 2010's? Latest machines hizi.

Pia hizi silaha unazoambiwa za 70,80,90 n.k haimaanishi ni zile zile, nooo zmefanyiwa modification ili kuendana na usasa.

Pia mkuu unataka kusema russia hatumii satellites, na teknolojia za kisasa ktk hii anaypita operation? Ukisema leo utumie majeshi ya ardhi yaende kama miaka 50 na 60 unafkiri wanaweza wakaenda hata umbali wa 5km? Thubutuuuu

Nilichokiona mm Ukraine ana wapiganaji wengi sana wa kukodi! Nato licha ya kutoa siraha ila wamepeleka watu wengi sana waipe backup Ukraine.

Russia kama atashinda atachukua mda sana kitu ambacho si kizuri kwake, Russia anatumia maeneo ya Donestic na Luhans pamona na Crimea kama maeneo ya kurushia makombora ya masafa marefu na zile ant tank nahisi kama baadhi zinaweza kupiga ndege vita na nahisi kila mpiganajibwa Ukraine katika wa5 basi wa2 wanazo hii imesaidia kwa % kubwa kumnyima Russia uhuru wa kutawala angani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Despite of bias analysis...russia according to high USA official katumia silaa mingi za during cold war means outdated..sjajua hapa putin aliwaza nn ila kumu underestimate RUSSSIA ni kosa kubwa sana hadi sasa ana bomu ambalo dunia zma analo peke yake ..
(Unstoppable)
Vitani ndo silaha huonekana, hizo zingine ni hekaya
 
Vitani ndo silaha huonekana, hizo zingine ni hekaya
Tena ni hekaya za abunuwasi haswa,hii hoja ya kutumia silaha za kizamani T14 Armata Keshaipangua sana kwenye ule uzi wa LIVE,na anawawekea na ushahidi wa silaha Russia anazotumia ambazo zimedunguliwa au kukamatwa na Ukraine,lakini wakihamia kwa Uzi mwingine wanakuja na hoja hii kwa kupokezana
 
Back
Top Bottom