Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

Sasa mbona vita hajashinda mwezi umeisha au bado russia anajipanga

Putin halali usingizi aibu kujidai mwamba iko methali inasema kuchamba kwingi utaondoka na mafi, ndio putin kazima magazeti huru yote na fb, insta kazima, nadhani hata mtandao anataka azike kabisa watu wasijue kipigo hana jinsi
HUlizia waukraine wangapi wamekufa? Kila siku vyombo vya Ukraine vinavyotoka NATO zinaharibiwa.
 
1. Inasemekana askar aa ukrain wanakimbilia zaidi sehemu za kiraia ndo maana russia naye anapiga hapo hapo.

2. Kusema kuwa Russi ameshindwa tawala anga Ukraine sina uhakika sana, ila naweza nikaamini sababu matarajio ha vita sio haya tunayoyaona sasa. Tulitarajia within a week tayar ukrain ipo chini.

3. Izo anti tanks machine inasemakana znatengenezwa UK, naomba nizipe heshima ya kipekee hizo mashine.

4. Russia naamini hakutegemea angekutana na strong resistance ya ukraine, kitu ambacho huenda pia kikashusha morali ya askar wake, mbaya zaidi nusu dunia iko against nao, soon uchumi wao utaaanza kukaa kushoto, hii itapunguza morali ya vita kwa askar wa russia. Imefika mahali mpaka anaanza kutumia hypersonic missile, hizi ni silaha bora kbs za kivita kwa sasa, ukiona mpaka amefika huku basi tujue kweli kuna mambo hayajakaa sawa kwa serikali ya Kremlin.

5. Endapo mambo yakaenda vibaya kwa russia, naomba sana Mungu mrussi asifikirie kutumia nuclear.

6. Putin awe makin zaidi na serikali yake hasa ktk vikwazo walivyowekewa, umasikini ni mbaya mno, umasikini unanuka, hakuna wananchi watakachoweza kuelewa ikiwa wanaona wanakuja kwa njaa wao na familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hypersonic akitumia eti kazidiwa, akiwapiga na silaha za kawaida asonge mbele taratibu eti hana uwezo.

Vita ni vita.

Russia wanafanya operation tu, Ukraine wanapigana vita, Russia ikianza vita dunia itasimama.
 
Huu Uzi uunganishwe na WA kula tunda kimasihara tu ...

You are very right. Ukweli ni kwamba Putin anaichapa Ukraine systematically n in the next two weeks Ukraine itakuwa imedhohofu kiasi cha kutokusimama tena kijeshi in the next 20 yrs. Yaani jamaa mashambulizi zake yanalenga kambi za jeshi, wanajeshi na miundombinu ya kijeshi
 
Dah! Analysis kali sana hii, kiukweli tunakoelekea itakua vita baina ya drones, vifaru havina umuhimu tena, maana hebu zingatia gharama ya kutengeneza kifaru kama hicho, ongeza gharama ya kukisafirisha hadi Ukraine halafu kabla hakijafanya chochote kinaliwa kombora moja tu linalofyatuliwa mabegani.....
 
Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi , ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders...!!

Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine , ni Jambo la kusikitisha kwamba Russia inapitia heavy millitary losses since WW2..Hii inadhihirisha mwisho wa Zama za vifaru katika Medani za kivita kama zilivyozima zama za meli za kivita (Battleship ) during WW2.

Baada ya WW1 ziliibuka Zama za Battleship , hii inadhihirika katika pambano la Tsushima 27-28/05/1915 Kati ya Japan na Urusi , Meli za urusi zilichapika vibaya dhidi meli za Kijapan , hyo ilikuwa ni heavy defeat for Russia na kuipa nafas Japan kujitanua kijeshi na kuwa tishio ukanda wa eneo hlo lote....wajapani walianza kutengeneza meli kubwa za kivita kama nembo ya uimara wao vitani.

Hata hvyo mambo hubadrika , wakat wa WW2 ndo mapinduzi makubwa ya millitary aviation yaliibuka , watu hawakuhangaika tena na Battleship , Bali walihangaika na teknolojia ya ndege za kivita , ndege moja tuu mfano ( torpedo bomber) iliweza kuzamisha meli for a single direct hit ....!!

Meli nyingi za Kijapan zilizamishwa Kwa urahisi Sana tokea angani , kiufupi Battleship zikawa useless na helpless kwenye uwanja wa vita ,
Kama ambavyo anguko la battleship lilivyotimia ndo naliona anguko la Vifaru katika Medani ya vita ....

Kwa vita vya sa hv ( Modern warfare ) cha Kwanza unatakiwa utawale anga , ukishindwa kutawala anga ni hamna kitu utafanya ...!! Vifaru na magari ya kivita ni vulnerable mno , uwepo wa silaha za kisasa kama ant- tank guided missile mfano Javelin ambazo ni automatic self-guidance..aisee utumiaji wa vifaru lazima mgeuzwe mkaa , mana accuracy yake ni 80-90 %... Na zinapiga juu ya kifaru sehemu ambayo ni weak , na ikipiga soldiers wote kwenye kifaru mnageuka mkaa

Russia ameshindwa kutawala anga la Ukraine , ndege zake nyingi zimeangushwa na zimeshindwa kuleta impact ya maana , unaposhindwa kutawala anga , option inayobak ni kupitia ground battle , huku nako Hali ni mbaya , progress ni ndogo with heavy loss of life ..

Anachokifanya Russia sasa ni kutumia long range missile tokea nchini kwake , tatizo la hii kitu ni kuwa unatakiwa uwe na mfumo dhabiti wa kuyaongoza , target accuracy yake ni ndogo , sana sana utakuwa unapiga popote kama tunavyoona Kwa sasa ndo zinatumika Sana kuishambulia Ukraine , mwisho wa sku ni uharibifu wa majengo , na Mali za wananchi tofauti na lengo la Putin ambalo alidai atashambulia tu vituo vya kijeshi ....

Jambo analolifanya sa hv Ukraine ni kupata vifaa vya kuyatungua makombora haya , missile hzi kuzifanyia interception sio kazi rahs sababu ya high speed , juzi tuliona Raisi wa Ukraine akiwalalamikia Isaeael kuchelewesha vifaa vya kukabiliana na makombora haya , Israel ndo inaamnika kuwa na uwezo mkubwa wa Air defence system .....

Russia asipokuwa makini hii vita itamshushia heshima vibaya mno , na inavyoonekana NATO pamoja na USA wanaitumia hii vita ili kum-track Russia uwezo wake wa kivita , na kiukweli sign zinaonyesha jamaa uwezo wa show ni mdogo tofaut na tunavyoaminishwa

Vyovyote itakavyokuwa , Russia kuikalia Ukraine haitakuwa kazi rahs na hata kama akifanikisha atapitia wakat mgumu sana..!!
Ha....eti Russia imeshindwa vibaya?!?!?! Incredible....dah...Sasa kwanini wanaotaka kuikimbia Ukraine bado wanaongezeka?! Kwanini Zelensky bado analia? Hizi ni propaganda tu za mitandaoni...ni dhambi kuleta propaganda wakati waukraine wanaendelea kufa kwa maelfu...
 
Aibu kwa Putin, ameonesha ni mtu wa hovyo katika karne ya wastarabu.
Hakuna aibu kwake ikiwa una akili timamu

Kwann unamtia aibu...ilihali hata mlio wa risasi huujui...?!!
Nchi yako huijui

Tia aibu nafsi yako kwanza ewe kondoo mweusi

Waafrika ni Watu wa ajabu sana.
 
Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi , ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders...!!

Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine , ni Jambo la kusikitisha kwamba Russia inapitia heavy millitary losses since WW2..Hii inadhihirisha mwisho wa Zama za vifaru katika Medani za kivita kama zilivyozima zama za meli za kivita (Battleship ) during WW2.

Baada ya WW1 ziliibuka Zama za Battleship , hii inadhihirika katika pambano la Tsushima 27-28/05/1915 Kati ya Japan na Urusi , Meli za urusi zilichapika vibaya dhidi meli za Kijapan , hyo ilikuwa ni heavy defeat for Russia na kuipa nafas Japan kujitanua kijeshi na kuwa tishio ukanda wa eneo hlo lote....wajapani walianza kutengeneza meli kubwa za kivita kama nembo ya uimara wao vitani.

Hata hvyo mambo hubadrika , wakat wa WW2 ndo mapinduzi makubwa ya millitary aviation yaliibuka , watu hawakuhangaika tena na Battleship , Bali walihangaika na teknolojia ya ndege za kivita , ndege moja tuu mfano ( torpedo bomber) iliweza kuzamisha meli for a single direct hit ....!!

Meli nyingi za Kijapan zilizamishwa Kwa urahisi Sana tokea angani , kiufupi Battleship zikawa useless na helpless kwenye uwanja wa vita ,
Kama ambavyo anguko la battleship lilivyotimia ndo naliona anguko la Vifaru katika Medani ya vita ....

Kwa vita vya sa hv ( Modern warfare ) cha Kwanza unatakiwa utawale anga , ukishindwa kutawala anga ni hamna kitu utafanya ...!! Vifaru na magari ya kivita ni vulnerable mno , uwepo wa silaha za kisasa kama ant- tank guided missile mfano Javelin ambazo ni automatic self-guidance..aisee utumiaji wa vifaru lazima mgeuzwe mkaa , mana accuracy yake ni 80-90 %... Na zinapiga juu ya kifaru sehemu ambayo ni weak , na ikipiga soldiers wote kwenye kifaru mnageuka mkaa

Russia ameshindwa kutawala anga la Ukraine , ndege zake nyingi zimeangushwa na zimeshindwa kuleta impact ya maana , unaposhindwa kutawala anga , option inayobak ni kupitia ground battle , huku nako Hali ni mbaya , progress ni ndogo with heavy loss of life ..

Anachokifanya Russia sasa ni kutumia long range missile tokea nchini kwake , tatizo la hii kitu ni kuwa unatakiwa uwe na mfumo dhabiti wa kuyaongoza , target accuracy yake ni ndogo , sana sana utakuwa unapiga popote kama tunavyoona Kwa sasa ndo zinatumika Sana kuishambulia Ukraine , mwisho wa sku ni uharibifu wa majengo , na Mali za wananchi tofauti na lengo la Putin ambalo alidai atashambulia tu vituo vya kijeshi ....

Jambo analolifanya sa hv Ukraine ni kupata vifaa vya kuyatungua makombora haya , missile hzi kuzifanyia interception sio kazi rahs sababu ya high speed , juzi tuliona Raisi wa Ukraine akiwalalamikia Isaeael kuchelewesha vifaa vya kukabiliana na makombora haya , Israel ndo inaamnika kuwa na uwezo mkubwa wa Air defence system .....

Russia asipokuwa makini hii vita itamshushia heshima vibaya mno , na inavyoonekana NATO pamoja na USA wanaitumia hii vita ili kum-track Russia uwezo wake wa kivita , na kiukweli sign zinaonyesha jamaa uwezo wa show ni mdogo tofaut na tunavyoaminishwa

Vyovyote itakavyokuwa , Russia kuikalia Ukraine haitakuwa kazi rahs na hata kama akifanikisha atapitia wakat mgumu sana..!!
Upo Ukraine au Tandale babaake vai....?!!!
 
Huu uzi umetosha leo nishushe pumzi vyema nikiwa na amani., zile Tank Russia tokea mapema zilikuwa zinaonekana kuingia kumbe jamaa wanachapisha Update yake Javeline na Stinger tena unaweka kwa bega tu
 
Wewe inaonekana umelishwa propaganda za kijinga za magharibi na zimekuingia mno mpaka kule kunako...kama Ukraine wanafanya vizuri kwenye hii vita mbona rais wa Ukraine leo ameomba aonane na Putin wayamalize na ameahidi kutojiunga na NATO? Acha mboyoyo dogo, mnajazwa ujinga na nyinyi mnaubeba hivyo hivyo bila kuchuja
Screenshot_20220323-100544.png
 
Despite of bias analysis...russia according to high USA official katumia silaa mingi za during cold war means outdated..sjajua hapa putin aliwaza nn ila kumu underestimate RUSSSIA ni kosa kubwa sana hadi sasa ana bomu ambalo dunia zma analo peke yake ..
(Unstoppable)
Hilo bomu linaitwa hypersonic Kinzhal...linapiga sehemu yoyote duniani kwa muda wa lisaa tu limefika

Screenshot_20220323-102540_1.jpg
 
Huu uzi wa kijinga
Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi , ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders...!!

Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine , ni Jambo la kusikitisha kwamba Russia inapitia heavy millitary losses since WW2..Hii inadhihirisha mwisho wa Zama za vifaru katika Medani za kivita kama zilivyozima zama za meli za kivita (Battleship ) during WW2.

Baada ya WW1 ziliibuka Zama za Battleship , hii inadhihirika katika pambano la Tsushima 27-28/05/1915 Kati ya Japan na Urusi , Meli za urusi zilichapika vibaya dhidi meli za Kijapan , hyo ilikuwa ni heavy defeat for Russia na kuipa nafas Japan kujitanua kijeshi na kuwa tishio ukanda wa eneo hlo lote....wajapani walianza kutengeneza meli kubwa za kivita kama nembo ya uimara wao vitani.

Hata hvyo mambo hubadrika , wakat wa WW2 ndo mapinduzi makubwa ya millitary aviation yaliibuka , watu hawakuhangaika tena na Battleship , Bali walihangaika na teknolojia ya ndege za kivita , ndege moja tuu mfano ( torpedo bomber) iliweza kuzamisha meli for a single direct hit ....!!

Meli nyingi za Kijapan zilizamishwa Kwa urahisi Sana tokea angani , kiufupi Battleship zikawa useless na helpless kwenye uwanja wa vita ,
Kama ambavyo anguko la battleship lilivyotimia ndo naliona anguko la Vifaru katika Medani ya vita ....

Kwa vita vya sa hv ( Modern warfare ) cha Kwanza unatakiwa utawale anga , ukishindwa kutawala anga ni hamna kitu utafanya ...!! Vifaru na magari ya kivita ni vulnerable mno , uwepo wa silaha za kisasa kama ant- tank guided missile mfano Javelin ambazo ni automatic self-guidance..aisee utumiaji wa vifaru lazima mgeuzwe mkaa , mana accuracy yake ni 80-90 %... Na zinapiga juu ya kifaru sehemu ambayo ni weak , na ikipiga soldiers wote kwenye kifaru mnageuka mkaa

Russia ameshindwa kutawala anga la Ukraine , ndege zake nyingi zimeangushwa na zimeshindwa kuleta impact ya maana , unaposhindwa kutawala anga , option inayobak ni kupitia ground battle , huku nako Hali ni mbaya , progress ni ndogo with heavy loss of life ..

Anachokifanya Russia sasa ni kutumia long range missile tokea nchini kwake , tatizo la hii kitu ni kuwa unatakiwa uwe na mfumo dhabiti wa kuyaongoza , target accuracy yake ni ndogo , sana sana utakuwa unapiga popote kama tunavyoona Kwa sasa ndo zinatumika Sana kuishambulia Ukraine , mwisho wa sku ni uharibifu wa majengo , na Mali za wananchi tofauti na lengo la Putin ambalo alidai atashambulia tu vituo vya kijeshi ....

Jambo analolifanya sa hv Ukraine ni kupata vifaa vya kuyatungua makombora haya , missile hzi kuzifanyia interception sio kazi rahs sababu ya high speed , juzi tuliona Raisi wa Ukraine akiwalalamikia Isaeael kuchelewesha vifaa vya kukabiliana na makombora haya , Israel ndo inaamnika kuwa na uwezo mkubwa wa Air defence system .....

Russia asipokuwa makini hii vita itamshushia heshima vibaya mno , na inavyoonekana NATO pamoja na USA wanaitumia hii vita ili kum-track Russia uwezo wake wa kivita , na kiukweli sign zinaonyesha jamaa uwezo wa show ni mdogo tofaut na tunavyoaminishwa

Vyovyote itakavyokuwa , Russia kuikalia Ukraine haitakuwa kazi rahs na hata kama akifanikisha atapitia wakat mgumu sana..!!
 
Despite of bias analysis...russia according to high USA official katumia silaa mingi za during cold war means outdated..sjajua hapa putin aliwaza nn ila kumu underestimate RUSSSIA ni kosa kubwa sana hadi sasa ana bomu ambalo dunia zma analo peke yake ..
(Unstoppable)
Linaitwaje hilo bomu lake toligoogle
 
Mbona kuna ukweli hamsemi, Ukraine anapokea misaada ya silaha na wapiganaji kutoka Nato, hii ni sawa na urusi kupigana na Nato indirectly. Je USA angeweza kupigana na nchi 1 inayopata misaada kutoka nchi 33?

Je uingereza angeweza anachopitia Russia? Lakini pamoja na hayo Russia anatembeza kipigo kikali sana, tuseme ukweli tusilete mahaba.
Mwanzoni alitumia mbinu ya ground invasion ni kweli alipoteza askari ma vifaru, mara baada ya kubadili mbinu, adui anavaa kiraia na kujificha nyumbani kwa watu, je kwa mtindo huu vita inaweza kuisha ndani ya wiki?
Usi shahau Ukrain analinda nchi yake.usi sahau ya Vietnam
 
Hypersonic akitumia eti kazidiwa, akiwapiga na silaha za kawaida asonge mbele taratibu eti hana uwezo.

Vita ni vita.

Russia wanafanya operation tu, Ukraine wanapigana vita, Russia ikianza vita dunia itasimama.
Operation gan hadi hypersonic missile?Russia ni yenye nguvu ila sio kama mnayoisemea humu.
 
Back
Top Bottom