Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unajaribu kusema kuwa akishindwa vitani atalitumia hilo bomu dhidi ya Ukraine? Unadhani hao wengine mabomu yao yote wameyaweka wazi!?Despite of bias analysis...russia according to high USA official katumia silaa mingi za during cold war means outdated..sjajua hapa putin aliwaza nn ila kumu underestimate RUSSSIA ni kosa kubwa sana hadi sasa ana bomu ambalo dunia zma analo peke yake ..
(Unstoppable)
Source BBC.Wala haihitaji kupata mtaalamu wa kukusimulia nini kinaendelea , Sana Sana atakudanganya tuu na kuvutia upande anaoshabikia , mpak Jana Progress ya Russia ni ndogo Ukraine , ni kweli ameongeza mashambulizi makali but anakumbana na fiercely resistance na anapoteza wanajeshi wengi Sana ....
View attachment 2161348
Exactly western media ndio wanalikuza hili jamboHii Operation anayofanya Hon Putin dhidi ya Ukraine imejaa propaganda nyingi sana. Na ukweli ni kwamba western media ndio zinazoonekana kuzidi nguvu na ndio zinazoonekana kuaminika. Naamini kabisa, Russia hafanyi vita na Ukraine. Total ni operation. Sababu kama ingekuwa ni vita, ile siku ya kwanza tu ndege za kivita za russia zingedondosha mibomu kwa mfululizo kwa zaidi ya masaa 48. Hii ingefanyika kwa miji yote mikubwa ya kiyv nk.
Sasa hii mbinu ya kulinda miji kwa kugawa silaha kwa raia ndio kikwazo kikubwa kwenye hii operation. Ila trust my word, kiev inaenda kuanguka soon. Ni swala la muda tu.
Kuziteka ni swala moja ila hoja inabakia palepale kwamba vifaru kwa sasa no uselessasante kwa kuwapa View attachment 2161009warusi javlin za bureeee ha ha ha haView attachment 2161008
warusi wanajibebea tu
Bro umeenda nje ya mada kisa mahaba, jamaa kaelezea uwezo wa baadhi ya silaha kwenye uwanja wa medani kama vifaru ambavyo vinaonekana accuracy yake ni narrow, kwa ametoa mfano wa battleship zilivyokufa natural death kutokana ni uwezo wake kwenye medani ni mdogo maana zilishindwa kutamba ww2. Wewe kama ni analyst consult unbiased data uone Russia anavyostruggle kuizingira miji ya Ukraine, kingine unachapaswa unaweza kuwa na high odds kijeshi kwa kila kitu ila ukaangushwa na underdog mwenye mbinu na morale ya hali ya juu kulinda uhuru wakoHii Operation anayofanya Hon Putin dhidi ya Ukraine imejaa propaganda nyingi sana. Na ukweli ni kwamba western media ndio zinazoonekana kuzidi nguvu na ndio zinazoonekana kuaminika. Naamini kabisa, Russia hafanyi vita na Ukraine. Total ni operation. Sababu kama ingekuwa ni vita, ile siku ya kwanza tu ndege za kivita za russia zingedondosha mibomu kwa mfululizo kwa zaidi ya masaa 48. Hii ingefanyika kwa miji yote mikubwa ya kiyv nk.
Sasa hii mbinu ya kulinda miji kwa kugawa silaha kwa raia ndio kikwazo kikubwa kwenye hii operation. Ila trust my word, kiev inaenda kuanguka soon. Ni swala la muda tu.
Asante umeelewa vizuri, vifaru itafika muda vitapotea maana vinachapika kirahisi sanaKuziteka ni swala moja ila hoja inabakia palepale kwamba vifaru kwa sasa no useless
Sisi tunachukua ushahidi kutoka grounds na sio midomoni mwa watu. Asante sana St. JavelinView attachment 2161003View attachment 2161004View attachment 2161006
To show superiority in military arena in recent modern warfare every big dog tend to show his big teeth...n kama USA anavoringa na zile RAPTOR zake ....na ile bomber..mbona mchna hajawahi kuonesha bomber za kumsimamisha hata B2Kwa hiyo unajaribu kusema kuwa akishindwa vitani atalitumia hilo bomu dhidi ya Ukraine? Unadhani hao wengine mabomu yao yote wameyaweka wazi!?
Hypersonic n kwel katumia ingawa kimkakati zaidi ...ie..kuharibu ghala kubwa la silahaa lilikowa ardhini.Russia ameshatumia mpaka hypersonic missiles, sasa hizi si za 2010's? Latest machines hizi.
Pia hizi silaha unazoambiwa za 70,80,90 n.k haimaanishi ni zile zile, nooo zmefanyiwa modification ili kuendana na usasa.
Pia mkuu unataka kusema russia hatumii satellites, na teknolojia za kisasa ktk hii anaypita operation? Ukisema leo utumie majeshi ya ardhi yaende kama miaka 50 na 60 unafkiri wanaweza wakaenda hata umbali wa 5km? Thubutuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin anapiga jeshi na miundombinu ya kijeshi. Anachokifanya mpaka Ukraine kuinuka tena kijeshi siyo leo hii.Hii Operation anayofanya Hon Putin dhidi ya Ukraine imejaa propaganda nyingi sana. Na ukweli ni kwamba western media ndio zinazoonekana kuzidi nguvu na ndio zinazoonekana kuaminika. Naamini kabisa, Russia hafanyi vita na Ukraine. Total ni operation. Sababu kama ingekuwa ni vita, ile siku ya kwanza tu ndege za kivita za russia zingedondosha mibomu kwa mfululizo kwa zaidi ya masaa 48. Hii ingefanyika kwa miji yote mikubwa ya kiyv nk.
Sasa hii mbinu ya kulinda miji kwa kugawa silaha kwa raia ndio kikwazo kikubwa kwenye hii operation. Ila trust my word, kiev inaenda kuanguka soon. Ni swala la muda tu.
TankHV kifaru kwa kingereza kinaitaje
So, hilo ni tatizo la nani!?To show superiority in military arena in recent modern warfare every big dog tend to show his big teeth...n kama USA anavoringa na zile RAPTOR zake ....na ile bomber..mbona mchna hajawahi kuonesha bomber za kumsimamisha hata B2
No fly zone Zelensky anaomba sababu raia wanauawa na air bombardments za Urusi ambayo kwa 90% wanatumia cruise and short range ballistic missiles,Wanataka no fly zone ili NATO waweze kuweka air defenses na ndege kuzuia air campaign ya Urusi maana raia wengi sana wanakufa.Umejiuliza kwanini Ukraine wanalilia NO FLY ZONE?
Jamani tafuteni taarifa huru siyo propaganda.
Hata hivyo precision ya ballistic missiles za Russia ni kubwa mno. Yaani zote iwe Air-to-surface au vice versa.
Hata hivyo anachofanya sasa Russia kutungua hizo sehemu ni makusudi siyo tatizo la precision ya silaha zake. Hiyo inaitwa Aleppo Playbook...
Hapa duniani hakuna ustaarabu wowote labda kwasababu ni PutinAibu kwa Putin, ameonesha ni mtu wa hovyo katika karne ya wastarabu.
ZILIPENDWAHapa duniani hakuna ustaarabu wowote labda kwasababu ni PutinView attachment 2162451