Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

No fly zone Zelensky anaomba sababu raia wanauawa na air bombardments za Urusi ambayo kwa 90% wanatumia cruise and short range ballistic missiles,Wanataka no fly zone ili NATO waweze kuweka air defenses na ndege kuzuia air campaign ya Urusi maana raia wengi sana wanakufa.
Kinachozungmziwa hapa ni ground compaign za Russia hadi sasa imeonyesha kutofanikiwa au imeonyesha uwezo mdogo sana,pia Russia wameshindwa kuweka No fly zone kwenye anga la Ukraine pampja na resource walizo nazo maana drones za Ukraine bado zinashambulia vifaru vya urusi kila kukicha.
Sasa wewe kama una ushahidi unaonyesha wamefaulu kwenye izo nyanja mbili,tuletee hapa usituamibie tu ni propaganda za magharibi,maana sisi ni watu wazima tunajua jinsi ya kupata habari
Watu wanafkr kuwa hatupati habar Kwa usahihi, wakat each progress tunajua...Kwa sasa Urusi kuikalia Ukraine haitakuwa rahsi
 
Hii Operation anayofanya Hon Putin dhidi ya Ukraine imejaa propaganda nyingi sana. Na ukweli ni kwamba western media ndio zinazoonekana kuzidi nguvu na ndio zinazoonekana kuaminika. Naamini kabisa, Russia hafanyi vita na Ukraine. Total ni operation. Sababu kama ingekuwa ni vita, ile siku ya kwanza tu ndege za kivita za russia zingedondosha mibomu kwa mfululizo kwa zaidi ya masaa 48. Hii ingefanyika kwa miji yote mikubwa ya kiyv nk.
Sasa hii mbinu ya kulinda miji kwa kugawa silaha kwa raia ndio kikwazo kikubwa kwenye hii operation. Ila trust my word, kiev inaenda kuanguka soon. Ni swala la muda tu.
Daah mkuu huu muda nasubiri tangu siku ya Tatu ile tuliyoambiwa tutakuwa tumechua kyv Ila wapi mwezi sasa.
Aibu yetu hii
 
Dah! Analysis kali sana hii, kiukweli tunakoelekea itakua vita baina ya drones, vifaru havina umuhimu tena, maana hebu zingatia gharama ya kutengeneza kifaru kama hicho, ongeza gharama ya kukisafirisha hadi Ukraine halafu kabla hakijafanya chochote kinaliwa kombora moja tu linalofyatuliwa mabegani.....
Hahaaa!!tena kombola lenyewe lina uzito wa kilo 12 tu, ambalo mtumiaji anafundishwa kulitumia ndani ya dk.20 tu.
 
Russia anadharirika sana. Hii vita imemuexpose na maadui zake wapo wanachukua notes
Wanachukua notes ,wakati raia wa uKraine wanakufa,Ukraine inabomolewa,Rais Yuko chumbani nyumba inawaka moto,anaomba msaada kwa majirani,majirani hawataki kumsaidi.
NATO imedhalikika sana.
Mbona walipiga Yugoslavia,wanashindwa Nini kuipiga Urusi?.
 
No fly zone Zelensky anaomba sababu raia wanauawa na air bombardments za Urusi ambayo kwa 90% wanatumia cruise and short range ballistic missiles,Wanataka no fly zone ili NATO waweze kuweka air defenses na ndege kuzuia air campaign ya Urusi maana raia wengi sana wanakufa.
Kinachozungmziwa hapa ni ground compaign za Russia hadi sasa imeonyesha kutofanikiwa au imeonyesha uwezo mdogo sana,pia Russia wameshindwa kuweka No fly zone kwenye anga la Ukraine pampja na resource walizo nazo maana drones za Ukraine bado zinashambulia vifaru vya urusi kila kukicha.
Sasa wewe kama una ushahidi unaonyesha wamefaulu kwenye izo nyanja mbili,tuletee hapa usituamibie tu ni propaganda za magharibi,maana sisi ni watu wazima tunajua jinsi ya kupata habari
Hiyo ya ground forces za russia kushindwa utaambiwa ni uzushi, watu wamejitoa ufahamu kabisa kuweza kuamini kila kitu positive kuhusu russia.

Russia hata mimi niliiamini mno ktk nyanja ya vita ila hapa walipofikia ninaona kabisa kuna kitu hakijakaa sawa kwao. Pasipo masilaha makubwa ya nuclear, naamini UK/German/France zina uwezo kabisa wa kumweka russia chini.
 
Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi , ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders...!!

Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine , ni Jambo la kusikitisha kwamba Russia inapitia heavy millitary losses since WW2..Hii inadhihirisha mwisho wa Zama za vifaru katika Medani za kivita kama zilivyozima zama za meli za kivita (Battleship ) during WW2.

Baada ya WW1 ziliibuka Zama za Battleship , hii inadhihirika katika pambano la Tsushima 27-28/05/1915 Kati ya Japan na Urusi , Meli za urusi zilichapika vibaya dhidi meli za Kijapan , hyo ilikuwa ni heavy defeat for Russia na kuipa nafas Japan kujitanua kijeshi na kuwa tishio ukanda wa eneo hlo lote....wajapani walianza kutengeneza meli kubwa za kivita kama nembo ya uimara wao vitani.

Hata hvyo mambo hubadrika , wakat wa WW2 ndo mapinduzi makubwa ya millitary aviation yaliibuka , watu hawakuhangaika tena na Battleship , Bali walihangaika na teknolojia ya ndege za kivita , ndege moja tuu mfano ( torpedo bomber) iliweza kuzamisha meli for a single direct hit ....!!

Meli nyingi za Kijapan zilizamishwa Kwa urahisi Sana tokea angani , kiufupi Battleship zikawa useless na helpless kwenye uwanja wa vita ,
Kama ambavyo anguko la battleship lilivyotimia ndo naliona anguko la Vifaru katika Medani ya vita ....

Kwa vita vya sa hv ( Modern warfare ) cha Kwanza unatakiwa utawale anga , ukishindwa kutawala anga ni hamna kitu utafanya ...!! Vifaru na magari ya kivita ni vulnerable mno , uwepo wa silaha za kisasa kama ant- tank guided missile mfano Javelin ambazo ni automatic self-guidance..aisee utumiaji wa vifaru lazima mgeuzwe mkaa , mana accuracy yake ni 80-90 %... Na zinapiga juu ya kifaru sehemu ambayo ni weak , na ikipiga soldiers wote kwenye kifaru mnageuka mkaa

Russia ameshindwa kutawala anga la Ukraine , ndege zake nyingi zimeangushwa na zimeshindwa kuleta impact ya maana , unaposhindwa kutawala anga , option inayobak ni kupitia ground battle , huku nako Hali ni mbaya , progress ni ndogo with heavy loss of life ..

Anachokifanya Russia sasa ni kutumia long range missile tokea nchini kwake , tatizo la hii kitu ni kuwa unatakiwa uwe na mfumo dhabiti wa kuyaongoza , target accuracy yake ni ndogo , sana sana utakuwa unapiga popote kama tunavyoona Kwa sasa ndo zinatumika Sana kuishambulia Ukraine , mwisho wa sku ni uharibifu wa majengo , na Mali za wananchi tofauti na lengo la Putin ambalo alidai atashambulia tu vituo vya kijeshi ....

Jambo analolifanya sa hv Ukraine ni kupata vifaa vya kuyatungua makombora haya , missile hzi kuzifanyia interception sio kazi rahs sababu ya high speed , juzi tuliona Raisi wa Ukraine akiwalalamikia Isaeael kuchelewesha vifaa vya kukabiliana na makombora haya , Israel ndo inaamnika kuwa na uwezo mkubwa wa Air defence system .....

Russia asipokuwa makini hii vita itamshushia heshima vibaya mno , na inavyoonekana NATO pamoja na USA wanaitumia hii vita ili kum-track Russia uwezo wake wa kivita , na kiukweli sign zinaonyesha jamaa uwezo wa show ni mdogo tofaut na tunavyoaminishwa

Vyovyote itakavyokuwa , Russia kuikalia Ukraine haitakuwa kazi rahs na hata kama akifanikisha atapitia wakat mgumu sana..!!

Mpak Jana Invasion Progress ilikuwa hiv

View attachment 2161904
Samahani mkuu una taaluma ya engineering field au ? ..
 
Hiyo ya ground forces za russia kushindwa utaambiwa ni uzushi, watu wamejitoa ufahamu kabisa kuweza kuamini kila kitu positive kuhusu russia.

Russia hata mimi niliiamini mno ktk nyanja ya vita ila hapa walipofikia ninaona kabisa kuna kitu hakijakaa sawa kwao. Pasipo masilaha makubwa ya nuclear, naamini UK/German/France zina uwezo kabisa wa kumweka russia chini.

Kaka umekosa sana sana, umekosa wewe, umekosa sana, usifananishe german ama uk na vitu vya kijinga russia, kama vikombora tu vya uk alivyotuma ndio vimekula vichwa vyoote vya vifaru pale je wangelikuwa ulingon face to face ingekuaje? Russia zero saana na ile zana yake atakaeingilia wakat wanaume wanapeleka silaha daily, alafu pro russia zero saana kama russia wanyewe hapo wanasema eti kwa nn nato haitii mguu, ww unajua mafunzo anatoa nan kule, unadhan ugum woote ni jeshi la ukrain lile, inteligence, ulinzinwa rais wao anapost video tuu russia na tech yoote ungekuta kashamuua lakin waap sasa waingie mara ngap
 
You sound irrational and emotionally pre occupied.. Your ideas are of personal basis , wewe ndo unaijua sana urusi
 
Pia Russia anaipiga Ukrain huku ana ilaumu Us why asi ivamie Us?
Anasema ana long range missile , si aipige new York moja moja , kama umejua chanzo cha tatizo , si Bora upambane moja Kwa moja na chanzo cha tatizo
 
Kaka umekosa sana sana, umekosa wewe, umekosa sana, usifananishe german ama uk na vitu vya kijinga russia, kama vikombora tu vya uk alivyotuma ndio vimekula vichwa vyoote vya vifaru pale je wangelikuwa ulingon face to face ingekuaje? Russia zero saana na ile zana yake atakaeingilia wakat wanaume wanapeleka silaha daily, alafu pro russia zero saana kama russia wanyewe hapo wanasema eti kwa nn nato haitii mguu, ww unajua mafunzo anatoa nan kule, unadhan ugum woote ni jeshi la ukrain lile, inteligence, ulinzinwa rais wao anapost video tuu russia na tech yoote ungekuta kashamuua lakin waap sasa waingie mara ngap
Ha ha ha ha ha

Ni kweli kaka nimekosa kuifananisha German na UK na vitu vya ajabu ajabu.
 
Wanachukua notes ,wakati raia wa uKraine wanakufa,Ukraine inabomolewa,Rais Yuko chumbani nyumba inawaka moto,anaomba msaada kwa majirani,majirani hawataki kumsaidi.
NATO imedhalikika sana.
Mbona walipiga Yugoslavia,wanashindwa Nini kuipiga Urusi?.
Teh teh,vipi mmefik wapi kuretreat? Tuliwaambia Kyiv pamoto,mkavimbisha vichwa,nini kimewakuta sasa,kulikoni mnapakimbia tena,mnatia aibu hadi kuiba washing machines na toys za watoto [emoji1787]
 
Wamarekani wa buza mtakuja na kila postView attachment 2160989
hapa ndo utajua nani kapigwa ukiondoa hizo propaganda za western
Hu uzi sijausoma wote, niliona umejaa uongo mwingi sana and hence nikaona nijikite kwa wachangiaji, nimefika hapa ndio sasa nimeelewa kuna watu wapo so brainwashed na vyombo vya habari vya magharibi, eti Urusi kachapika.....! Urusi hi hi au Urusi ya Buza. Kwa ufupi hata USA wenyewe wanajiuliza, why Urusi hataki kuingia Kyivi hadi sasa ilihali jamaa uwezo anao? Ana nia tofauti na walioijua before? Thank kwa kuweka record vizuri mkuu
 
Despite of bias analysis...russia according to high USA official katumia silaa mingi za during cold war means outdated..sjajua hapa putin aliwaza nn ila kumu underestimate RUSSSIA ni kosa kubwa sana hadi sasa ana bomu ambalo dunia zma analo peke yake ..
(Unstoppable)
Alijua nn kipo nyuma ya Ukraine na alijua wanataka kwanza kujua uwezo wake wa silaha kisha ndo wajue wanamtandika vipi? Mwezao katumia silaha za 2010 kushuka chini mpaka sasa, hajagusa silaha hata moja ya 2010 kuoanda juu, wangejikologa wajiingize kichwa kichwa ndo wangejua jeshi la 2 kwa ubora duniani ni lipi? Jasusi ni jasusi tu, wengine wapiga porojo za siasa ndo mana jamaa muda wote yuko hatua 1 mbele yao, leo wanalalamika wenyewe kwamba vikwazo havifanyi kazi wakati wameweka wenyewe. Mwezao alikua anajua akifanya hivi watafanya vile nitafanya hivi, wao bila kuwaza wakakurupuka tu vikwazo vikwazo, muda ni mwalimu mzuri utatuambia nani ataomba pooh hapa Jasusi ama wao?
 
Mwanaume mmoja kapigana na watu 30 na bado wameshindwa kumzuia qsipige zile sehemu muhimu alikua kalenga kupiga
 
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba hakuna kifaru chochote duniani kinachoweza kutoboa mbele ya anti- tank weapons.fatilia vita vyote duniani kama kuna kifaru kilifanya vizuri zidi ya Anti- tank weapons

Back
Top Bottom