Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

Gan star

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
379
Reaction score
982
Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi, ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders!

Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine, ni Jambo la kusikitisha kwamba Russia inapitia heavy millitary losses since WW2..Hii inadhihirisha mwisho wa Zama za vifaru katika Medani za kivita kama zilivyozima zama za meli za kivita (Battleship ) during WW2.

Baada ya WW1 ziliibuka Zama za Battleship, hii inadhihirika katika pambano la Tsushima 27-28/05/1915 Kati ya Japan na Urusi, Meli za urusi zilichapika vibaya dhidi meli za Kijapan, hyo ilikuwa ni heavy defeat for Russia na kuipa nafas Japan kujitanua kijeshi na kuwa tishio ukanda wa eneo hlo lote....wajapani walianza kutengeneza meli kubwa za kivita kama nembo ya uimara wao vitani.

Hata hvyo mambo hubadrika, wakat wa WW2 ndo mapinduzi makubwa ya millitary aviation yaliibuka , watu hawakuhangaika tena na Battleship, Bali walihangaika na teknolojia ya ndege za kivita , ndege moja tuu mfano (torpedo bomber) iliweza kuzamisha meli for a single direct hit!

Meli nyingi za Kijapan zilizamishwa Kwa urahisi Sana tokea angani, kiufupi Battleship zikawa useless na helpless kwenye uwanja wa vita, kama ambavyo anguko la battleship lilivyotimia ndo naliona anguko la Vifaru katika Medani ya vita.

Kwa vita vya sa hv (Modern warfare) cha Kwanza unatakiwa utawale anga , ukishindwa kutawala anga ni hamna kitu utafanya Vifaru na magari ya kivita ni vulnerable mno , uwepo wa silaha za kisasa kama ant- tank guided missile mfano Javelin ambazo ni automatic self-guidance..aisee utumiaji wa vifaru lazima mgeuzwe mkaa , mana accuracy yake ni 80-90 %... Na zinapiga juu ya kifaru sehemu ambayo ni weak , na ikipiga soldiers wote kwenye kifaru mnageuka mkaa

Russia ameshindwa kutawala anga la Ukraine , ndege zake nyingi zimeangushwa na zimeshindwa kuleta impact ya maana , unaposhindwa kutawala anga , option inayobak ni kupitia ground battle , huku nako Hali ni mbaya , progress ni ndogo with heavy loss of life ..

Anachokifanya Russia sasa ni kutumia long range missile tokea nchini kwake , tatizo la hii kitu ni kuwa unatakiwa uwe na mfumo dhabiti wa kuyaongoza , target accuracy yake ni ndogo , sana sana utakuwa unapiga popote kama tunavyoona Kwa sasa ndo zinatumika Sana kuishambulia Ukraine , mwisho wa sku ni uharibifu wa majengo , na Mali za wananchi tofauti na lengo la Putin ambalo alidai atashambulia tu vituo vya kijeshi ....

Jambo analolifanya sa hv Ukraine ni kupata vifaa vya kuyatungua makombora haya , missile hzi kuzifanyia interception sio kazi rahs sababu ya high speed , juzi tuliona Raisi wa Ukraine akiwalalamikia Isaeael kuchelewesha vifaa vya kukabiliana na makombora haya , Israel ndo inaamnika kuwa na uwezo mkubwa wa Air defence system .....

Russia asipokuwa makini hii vita itamshushia heshima vibaya mno , na inavyoonekana NATO pamoja na USA wanaitumia hii vita ili kum-track Russia uwezo wake wa kivita , na kiukweli sign zinaonyesha jamaa uwezo wa show ni mdogo tofaut na tunavyoaminishwa

Vyovyote itakavyokuwa , Russia kuikalia Ukraine haitakuwa kazi rahs na hata kama akifanikisha atapitia wakat mgumu sana..!!

Mpak Jana Invasion Progress ilikuwa hiv

IMG_20220323_091151.jpg
 
Despite of bias analysis...russia according to high USA official katumia silaa mingi za during cold war means outdated..sjajua hapa putin aliwaza nn ila kumu underestimate RUSSSIA ni kosa kubwa sana hadi sasa ana bomu ambalo dunia zma analo peke yake ..
(Unstoppable)
 
Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi , ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders...!!

Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine , ni Jambo la kusikitisha kwamba Russia inapitia heavy millitary losses since WW2..Hii inadhihirisha mwisho wa Zama za vifaru katika Medani za kivita kama zilivyozima zama za meli za kivita (Battleship ) during WW2...

Baada ya WW1 ziliibuka Zama za Battleship , hii inadhihirika katika pambano la Tsushima 27-28/05/1915 Kati ya Japan na Urusi , Meli za urusi zilichapika vibaya dhidi meli za Kijapan , hyo ilikuwa ni heavy defeat for Russia na kuipa nafas Japan kujitanua kijeshi na kuwa tishio ukanda wa eneo hlo lote....wajapani walianza kutengeneza meli kubwa za kivita kama nembo ya uimara wao vitani ...

Hata hvyo mambo hubadrika , wakat wa WW2 ndo mapinduzi makubwa ya millitary aviation yaliibuka , watu hawakuhangaika tena na Battleship , Bali walihangaika na teknolojia ya ndege za kivita , ndege moja tuu mfano ( torpedo bomber) iliweza kuzamisha meli for a single direct hit ....!!

Meli nyingi za Kijapan zilizamishwa Kwa urahisi Sana tokea angani , kiufupi Battleship zikawa useless na helpless kwenye uwanja wa vita ,
Kama ambavyo anguko la battleship lilivyotimia ndo naliona anguko la Vifaru katika Medani ya vita ....

Kwa vita vya sa hv ( Modern warfare ) cha Kwanza unatakiwa utawale anga , ukishindwa kutawala anga ni hamna kitu utafanya ...!! Vifaru na magari ya kivita ni vulnerable mno , uwepo wa silaha za kisasa kama ant- tank guided missile mfano Javelin ambazo ni automatic self-guidance..aisee utumiaji wa vifaru lazima mgeuzwe mkaa , mana accuracy yake ni 80-90 %... Na zinapiga juu ya kifaru sehemu ambayo ni weak , na ikipiga soldiers wote kwenye kifaru mnageuka mkaa

Russia ameshindwa kutawala anga la Ukraine , ndege zake nyingi zimeangushwa na zimeshindwa kuleta impact ya maana , unaposhindwa kutawala anga , option inayobak ni kupitia ground battle , huku nako Hali ni mbaya , progress ni ndogo with heavy loss of life ..

Anachokifanya Russia sasa ni kutumia long range missile tokea nchini kwake , tatizo la hii kitu ni kuwa unatakiwa uwe na mfumo dhabiti wa kuyaongoza , target accuracy yake ni ndogo , sana sana utakuwa unapiga popote kama tunavyoona Kwa sasa ndo zinatumika Sana kuishambulia Ukraine , mwisho wa sku ni uharibifu wa majengo , na Mali za wananchi tofauti na lengo la Putin ambalo alidai atashambulia tu vituo vya kijeshi ....

Jambo analolifanya sa hv Ukraine ni kupata vifaa vya kuyatungua makombora haya , missile hzi kuzifanyia interception sio kazi rahs sababu ya high speed , juzi tuliona Raisi wa Ukraine akiwalalamikia Isaeael kuchelewesha vifaa vya kukabiliana na makombora haya , Israel ndo inaamnika kuwa na uwezo mkubwa wa Air defence system .....

Russia asipokuwa makini hii vita itamshushia heshima vibaya mno , na inavyoonekana NATO pamoja na USA wanaitumia hii vita ili kum-track Russia uwezo wake wa kivita , na kiukweli sign zinaonyesha jamaa uwezo wa show ni mdogo tofaut na tunavyoaminishwa

Vyovyote itakavyokuwa , Russia kuikalia Ukraine haitakuwa kazi rahs na hata kama akifanikisha atapitia wakat mgumu sana..!!
Huu nao ni uchambuzi
 
La msingi tusubilie ni nani atasalimu amri tu mengine ni kujifariji tu.
 
Anachokifanya Russia sasa ni kutumia long range missile tokea nchini kwake , tatizo la hii kitu ni kuwa unatakiwa uwe na mfumo dhabiti wa kuyaongoza , target accuracy yake ni ndogo , sana sana utakuwa unapiga popote kama tunavyoona Kwa sasa ndo zinatumika Sana kuishambulia Ukraine , mwisho wa sku ni uharibifu wa majengo , na Mali za wananchi tofauti na lengo la Putin ambalo alidai atashambulia tu vituo vya kijeshi ....
Umejiuliza kwanini Ukraine wanalilia NO FLY ZONE?
Jamani tafuteni taarifa huru siyo propaganda.

Hata hivyo precision ya ballistic missiles za Russia ni kubwa mno. Yaani zote iwe Air-to-surface au vice versa.

Hata hivyo anachofanya sasa Russia kutungua hizo sehemu ni makusudi siyo tatizo la precision ya silaha zake. Hiyo inaitwa Aleppo Playbook...
 
Back
Top Bottom