Mjinga kweli wewe umagharibi inakusumbua Tu kiazi kabisaa sijui ata iyo elimu uliyopata imekusaidia nn
Vita vya Kongo vinafadhiliwa na nani kama siyo ufaransa na Marekani vita vya Mali, Nigeria, Libya, central Africa, Kiazi ww
Wewe hujui chochote kuhusu propaganda za kivita.
Umebaki na upuuzi uliosoma kwenye historia zilizobumbwa bumbwa na watawala ili wapate kukuibia na kwenda kula Bata Marekani na Ufaransa.
Wewe ni wale wanaongangania madarakani halafu wanasingizia kuwa ni Mila za Kiafrika wakati huo huo huo life stile yao yote ni ya Kizungu,ndio maana unakubaliana na wenzako kule kongo na Afrika ya kati wanaokubali kutumiwa na Wamarekani wasiojukikana kijijini. Yani wamarekani wamebebeshwa mzigo mzito sana na wapumbavu.
Haya mavitabu ya Historia ni takataka na makaratasi ya kuchambia.
Nimekuuliza swali unamjua aliyemuamdaa na kumfadhili Paulo Kagame?
Nani alimuandaa na kumfadhili Museveni .
Nani alimuandaa na kumfadhili Kabila kwenda Kumpindua Mabutu.
Ufaransa ingemfadhili Vipi Kabila wakati Mabuto na serikali yake walikua ni wadau wa Ufaransa na matajiri wa magharibi wa karibu?
Nani alikua anauza mafuta Kwa waasi kule Kongo ? Alikua anakaa wapi? Na alikua anayapitishia wapi?
Kwa Nini huoni jinsi Mkongo alivyokua ananufaika Kwa vita ya kuwaua wakongo wenzake Kwa kuwauzia mafuta na kuwapellekea silaha. Teana anafadhiliwa na nchi jirani na anahifadhiwa !! Kwa nini nchi za Kiafrika zilikubali kumfadhili Kabila ili amwondoe Mabuto madarakani Kwa vita ?
Je, Idd Amini alipoonyesha uzalendo wake Kwa kufanya mapinduzi na kurejesha Mali zote Kwa Waganda Toka mikononi mwa Mabeberu Marekani ndiyo iliyokwenda kumtoa na kumrudisha kibaraka wao Obote? Kwa Nini Marekani haikufadhili Vita ya Tanzania dhidi ya UGANDA pamoja na kwamba Iddi Amini alikua ametaifisha Mali za Mabeberu ?
Mbona mnakua wavivu wa kufikiri.?
Hivyo vitabu vya historia ni Kwa ajili ya kukupa tu Mwanga sio ufyonze kila kitu kama dodoki.
Vitabu vya historia na stori ni Kwa ajili ya kukusaidia kujenga nadharia tofauti tofauti za kimaisha sio Kila kitu ni kweli.
Ukiambiwa kuwa hapo zamani sungura alikua na Sherehe akamualika fisi na Simba na Mbwa mwitu. Kama mtu ni mpumbavu unaweza ukadhaini kuwa kumbe zamani Fisi na Sungura walikua marafiki. Ni stori tu za kufikirisha lakini hazina ukweli. Ni kama Lugha Fulani ya picha.
Badilikeni ndio maana mnatumika kuua waafrika wenzenu Kwa Sababu mnaonekana kama mazuzu.
Yani baadhi ya Miafrika ni vyoo vya shimo kabisa ,Yani unaweza ukapewa silaha na Mmarekani ukamuua mwenzako ?
Sila za kabila ukaambiwa zilivyokua zinapitishwa na waliokua wanazipitisha utabaki umeshika kichwa.
Hii Dunia wanasiasa wakikuambia usiku mwema Toka nje ukaangalie kama kweli usiku umefika !!
Hebu tubadilike na kuwalaumu Waafrika wenzetu wanakosa uaminifu na kuua maendeleo ya nchi. Mfano Watu wanakaa benki kuu wanachana pesa wanazigeuza kuwa fursa wanapiga mabilioni halafu nchi inakua maskini unawasinguzia Wamarekani. Pua ,pua ,pua ,pua waafrika wabinafsi na roho mbaya ,Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Bado watu wanasingizia Mabeberu wakati Kuna Mabeberu uchwara yamekalia ofisi za umma Kwa wizi na ufisadi.!!
Historia inabadilika.
Zamani Kwa mfano Chini ya Kanisa Katoliki ilikua ni mwiko kukosoa maandiko ya Biblia na Sheria za Kanisa. Kanisa Katoliki liliuza vyeti vya msamaha wa dhambi kama ilivyo Kwa Maji ya upako yanayouzwa na matapeli.
Lakini historia imebadilika Kanisa Katoliki ni kanisa lenye uvumilivu mkubwa hata utukane Biblia na Sheria za Kanisa hawainyeshi hata jazba.
Sasa mtu mpumbavu na Lofa akiyejaa makamasi kichwani Atabaki akisema kuwa kanisa Katoliki linauza vyeti vya msamaha wa dhambi kisa tu alisoma kwenye historia. Historia nyingine zimebaki kwenye vitabu vinavyotakiwa kukaa Library TU kama kumbukumbu au viwekwe kwenye vyoo vya mashimo Kwa ajili ya kuchana karatasi za kuchambia sehemu isiyo na toilet paper au maji.