Vita ya UKRAINE ukilinganisha na IRAQ inaonyesha Ukatili wa US/NATO na upendo wa Urusi

Kwa taarifa tu AK 47 no dola 6 Afghanstan. Hata huku kama tusingekuwa tunaamin silaha ya kurogana kila mtu aweza kuwa nayo
Zinatokaje kwenye viwanda vya Jeshi Urusi na kuzagaa Kwa Waasi Dunia nzima??

Ni sawa na risasi Kwa kutoka ghala la Jeshi zizagae Huko mitaani halafu walaumiwe Mabeberu.
 
achana na masuala ya between the lines na blabla za kimchongo .
Jamaa kanena ukweli haswaa acha ubishi wa kindezi US anaongoza kwa mass killing innocent people hasa iraq
 
Mjinga kweli wewe umagharibi inakusumbua Tu kiazi kabisaa sijui ata iyo elimu uliyopata imekusaidia nn

Vita vya Kongo vinafadhiliwa na nani kama siyo ufaransa na Marekani vita vya Mali, Nigeria, Libya, central Africa, Kiazi ww
 

Mimi nilikuwa kijana wakati Soviet Wanapigana na Afghanistan
Na mwaka 1980 I was in army somewhere in this world
Sasa Naomba ujisomee
Operation Cyclone ambayo ilikuwa code name ya CIA kwenye vita hiyo utachuma mawili matatu

Nimeshindwa kujibu uliyoyaandika kwa sababu zangu tu
Have a nice oneView attachment 2193828
 
Putin mtu Safi Sana,
Napendekeza apewe tuzo ya amani ya nobel
 
Unaweza kunijibu,
Kilichompeleka ukriane Iraq kumsaidia marekani Ni Nini?
 
Umeongea fact tupu[emoji4][emoji106]
 
Media zakimagharibi zakishenzi sanaa
PUT IN na RUSSIA ndio wanaifanya hii dunia iwe naamani
La sivyo hao wapuuzi wangekua wanajiona wao ndio special sanaaa!!!
Marekani alishajiona kiranja wa Dunia.
Pumbavu zake, Hii aibu kubwa sana kwake
 
Pamoja anatengeneza na kuzisambaza, mbona USA ndio kuna matukio ya hovyo kuliko sehem nyingine au nyie mnavyanzo vyenu vya habari, ambazo mimi sina?
Urusi anafanya biashara kubwa ya silaha duniani kote, ak47 ndo silaha Bora tangu enzi na enzi.

Majeshi yote duniani wanaitambua na hilo
 
Tatizo Putin Ni mwingi wa huruma Sana,
Urusi ingeongozwa na kadyrov, habar ingekua nyingine kabisa[emoji4]
 
Huo ndio ukweli
 
USA anatakiwa kulipa alich I fanya Iraq.. View attachment 2194175
 
Mjinga kweli wewe umagharibi inakusumbua Tu kiazi kabisaa sijui ata iyo elimu uliyopata imekusaidia nn

Vita vya Kongo vinafadhiliwa na nani kama siyo ufaransa na Marekani vita vya Mali, Nigeria, Libya, central Africa, Kiazi ww
Wewe hujui chochote kuhusu propaganda za kivita.

Umebaki na upuuzi uliosoma kwenye historia zilizobumbwa bumbwa na watawala ili wapate kukuibia na kwenda kula Bata Marekani na Ufaransa.

Wewe ni wale wanaongangania madarakani halafu wanasingizia kuwa ni Mila za Kiafrika wakati huo huo huo life stile yao yote ni ya Kizungu,ndio maana unakubaliana na wenzako kule kongo na Afrika ya kati wanaokubali kutumiwa na Wamarekani wasiojukikana kijijini. Yani wamarekani wamebebeshwa mzigo mzito sana na wapumbavu.

Haya mavitabu ya Historia ni takataka na makaratasi ya kuchambia.

Nimekuuliza swali unamjua aliyemuamdaa na kumfadhili Paulo Kagame?

Nani alimuandaa na kumfadhili Museveni .
Nani alimuandaa na kumfadhili Kabila kwenda Kumpindua Mabutu.
Ufaransa ingemfadhili Vipi Kabila wakati Mabuto na serikali yake walikua ni wadau wa Ufaransa na matajiri wa magharibi wa karibu?
Nani alikua anauza mafuta Kwa waasi kule Kongo ? Alikua anakaa wapi? Na alikua anayapitishia wapi?
Kwa Nini huoni jinsi Mkongo alivyokua ananufaika Kwa vita ya kuwaua wakongo wenzake Kwa kuwauzia mafuta na kuwapellekea silaha. Teana anafadhiliwa na nchi jirani na anahifadhiwa !! Kwa nini nchi za Kiafrika zilikubali kumfadhili Kabila ili amwondoe Mabuto madarakani Kwa vita ?

Je, Idd Amini alipoonyesha uzalendo wake Kwa kufanya mapinduzi na kurejesha Mali zote Kwa Waganda Toka mikononi mwa Mabeberu Marekani ndiyo iliyokwenda kumtoa na kumrudisha kibaraka wao Obote? Kwa Nini Marekani haikufadhili Vita ya Tanzania dhidi ya UGANDA pamoja na kwamba Iddi Amini alikua ametaifisha Mali za Mabeberu ?

Mbona mnakua wavivu wa kufikiri.?
Hivyo vitabu vya historia ni Kwa ajili ya kukupa tu Mwanga sio ufyonze kila kitu kama dodoki.
Vitabu vya historia na stori ni Kwa ajili ya kukusaidia kujenga nadharia tofauti tofauti za kimaisha sio Kila kitu ni kweli.
Ukiambiwa kuwa hapo zamani sungura alikua na Sherehe akamualika fisi na Simba na Mbwa mwitu. Kama mtu ni mpumbavu unaweza ukadhaini kuwa kumbe zamani Fisi na Sungura walikua marafiki. Ni stori tu za kufikirisha lakini hazina ukweli. Ni kama Lugha Fulani ya picha.


Badilikeni ndio maana mnatumika kuua waafrika wenzenu Kwa Sababu mnaonekana kama mazuzu.
Yani baadhi ya Miafrika ni vyoo vya shimo kabisa ,Yani unaweza ukapewa silaha na Mmarekani ukamuua mwenzako ?
Sila za kabila ukaambiwa zilivyokua zinapitishwa na waliokua wanazipitisha utabaki umeshika kichwa.
Hii Dunia wanasiasa wakikuambia usiku mwema Toka nje ukaangalie kama kweli usiku umefika !!

Hebu tubadilike na kuwalaumu Waafrika wenzetu wanakosa uaminifu na kuua maendeleo ya nchi. Mfano Watu wanakaa benki kuu wanachana pesa wanazigeuza kuwa fursa wanapiga mabilioni halafu nchi inakua maskini unawasinguzia Wamarekani. Pua ,pua ,pua ,pua waafrika wabinafsi na roho mbaya ,Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Bado watu wanasingizia Mabeberu wakati Kuna Mabeberu uchwara yamekalia ofisi za umma Kwa wizi na ufisadi.!!

Historia inabadilika.
Zamani Kwa mfano Chini ya Kanisa Katoliki ilikua ni mwiko kukosoa maandiko ya Biblia na Sheria za Kanisa. Kanisa Katoliki liliuza vyeti vya msamaha wa dhambi kama ilivyo Kwa Maji ya upako yanayouzwa na matapeli.
Lakini historia imebadilika Kanisa Katoliki ni kanisa lenye uvumilivu mkubwa hata utukane Biblia na Sheria za Kanisa hawainyeshi hata jazba.
Sasa mtu mpumbavu na Lofa akiyejaa makamasi kichwani Atabaki akisema kuwa kanisa Katoliki linauza vyeti vya msamaha wa dhambi kisa tu alisoma kwenye historia. Historia nyingine zimebaki kwenye vitabu vinavyotakiwa kukaa Library TU kama kumbukumbu au viwekwe kwenye vyoo vya mashimo Kwa ajili ya kuchana karatasi za kuchambia sehemu isiyo na toilet paper au maji.
 
Wangekua wapo huru wasingekuja kutuomba msamaha baada yakutulisha natango kuhusiana na IRAQ na silaha za maangamizi
Western media sio zakuziamini hata robo yaani
Kwahiyo kuwa huru ni kutokuomba msamaha pale ambapo umekosea?

Sioni logic kwenye hiyo hoja yako!

Nenda kafuatilie BBC Panorama investigations kuhusiana na vita ya Iraq.
 
achana na masuala ya between the lines na blabla za kimchongo .
Jamaa kanena ukweli haswaa acha ubishi wa kindezi US anaongoza kwa mass killing innocent people hasa iraq
Kitendo cha kuona kilichofanywa na USA ni makosa kisha kuona kinachofanywa na Russia hivi sasa ni sahihi ndiyo "blabla za kimchongo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…