Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

sikiliza bhana, anajutia kwenda kuipigania Ukraine sasa yamemkuta makubwa
 
sikiliza bhana, anajutia kwenda kuipigania Ukraine sasa yamemkuta makubwa
Naona hata hujaelewa hoja yangu , umejibu OP kbs , ushabiki ni mzuri ila sio yakikukuta ww
pole, ona huyu mtoto anatia huruma sana, naomba Putin amsaidia kumpa kazi hukohuko Russia.

 
Huyu jamaa anathibitisha kuwa Putin ni mtu mzuri sana kuliko propaganda zinazopigwa na westerns

 
Kama kujua huko kama unavyojua wewe bora niendelee kutokujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba tupu!
Pumba ziko hapa, sikiliza propaganda za wenzio kama wewe. Walishajua vikwazo havifanyi kazi, wananchi wa EU na Marekani wamechoshwa na upuuzi wa Ukraine, viongozi wao wako hatarini kupoteza kazi, Boris Johnson alikiona cha moto, Biden yuko hoi, SCHOLZ anahangaika.
 
kavulata mrusi wa Manzese!
 
ndo tatizo la kushinda Facebook... sijui hizi habari umezichimba wapi!!
 
 
Mafanikio yake ni haya hapa, wanaume wanapiga gwaride kwa amani na furaha hapa Ukraine
 
Unabii utaenda kutokea tu, hata huyu hapa anaona hivyo

 
Moto unafukuta ndani ya nchi za Magharibi, viongozi wakora wote wataanguka

 
Hizi sio ramli, sisi tuna vision kubwa kuliko unavyodhania, ona hii hapa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…