Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Vita hii inaweza kuusambaratisha umoja wa Ulaya EU kama hawatakiwa makini, vita hii inaweza kumuondoa madarakani Joe Biden, Boris Johnson na wengine kama yule chancellor wa ujerumami.
kwa akili zako unafikiri huko Urusi kunakalika? unafikiri warusi walio wengi wanafurahia ujinga huu wa vita?
 
Aliyekwambia vikwazo vinarudi kwao nani? Ivi unajua russia ameomba kupunguziwa vikwazo ndio aziachie zile meli za chakula alizokuwa kazishikilia kule kwenye bahari nyeusi?? kwanini aliomba? kwanini warusi zaidi ya milioni 4 wamehama russia na kwenda kutafusha maisha sehemu nyengine duniani?

Wazungu walipokuja na wazo la kuwaekea vikwazo russia kwa kuivamia ukraine walishakaa chini na kuona watamuumiza kwa kiwango gani russia, ukiwa nje na kusikiliza propaganda hutaweza kuipata picha halisi, tafuta ndugu yako anayeishi urusi akueleze hali halisi
#Update

Four big nations announce economic alliance with Russia after its victory in Ukraine
======

What was the narrative that you were being served by the likes of Joe Biden and other Western leaders when the Ukraine war started? Well, you were being told that Russia would be flooded with tough sanctions and ultimately, the Russian economy will be damaged beyond repair as a consequence for invading Ukraine.

However, Putin has carried through his military operation in Ukraine without any significant problems. And now, he could even sign some grand economic pacts with some major economies despite Western sanctions.

Russia announces new economic agreements
Russian President Vladimir Putin said on Friday that Moscow is looking to sign an economic integration agreement with the United Arab Emirates (UAE). He made the announcement during a speech at the Eurasian Supreme Economic Council, which consists of Russia, Belarus, Kazakhstan, Armenia, and Kyrgyzstan.

He also announced that Moscow was considering signing free trade agreements with Egypt, Indonesia, and Iran.

Slamming the West for its sanctions on the Russian economy, Putin asserted that Western sanctions have harmed the West more than they have harmed Russia. He claimed that Russia is flexible in the face of “external challenges”.

The development gives us two messages- firstly, some of the major economies are ready to strengthen their ties with Russia with Putin emerging victorious in the ongoing Ukraine war. And secondly, Western sanctions have failed to ravage the Russian economy and Russia hasn’t lost its appeal as an economy to other countries.

Russia not getting isolated
Russia’s plans to sign trade deals and other agreements with four major economies in the world thrash Biden’s claims of totally isolating and cutting off Russia in world politics.

And to be honest, this was clear from the very outset. In April itself, Sylvie Matelly, an International Relations expert, had said, “There’s a very clear isolation of Russia from the Western bloc, especially due to the series of successive sanctions that have complicated commercial and financial exchanges.” She had added, “As for Russia’s isolation on the international scene, the situation is quite different, with a number of very cautious countries that have refused to give in to Western pressure.”

Countries like India, China, Indonesia, and the Arab world have maintained friendly ties with Moscow despite all the pressure that the West kept exerting on them.

The West is living in a delusional world. With attempts to cancel Russia and censor even any mention of Moscow, it is living in the illusion that Russia is isolated. However, the agreement that Moscow is close to signing with four major economies shows that this is far from true.

Russia’s economy shows resilience
The other message for the West is that its sanctions have failed and failed terribly. The likes of the UAE, Egypt, and Indonesia aren’t just strengthening their ties with Russia but they are improving their economic ties and trade relations with Moscow. And they are doing it even though they have pre-existing economic ties with the West.

If Russia is arguably the most sanctioned economy in the world, it would seem that the West needs to find a new weapon of economic warfare. The sanctions weapon simply doesn’t work. For Putin, the weak character of Western sanctions isn’t just a victory in the warzone but also in the arena of economic warfare.
 
Urusi, N.Korea, China, Cuba wamezoea kula mkate bila siagi, lakini Westerns hawajazoea mambo hayo, hivyo wao wako more volatile and inflammable hata kwenye kijoto kidogo tu.
 
Wafaransa wamezoea raha, hakuna Rais anaweza kuondoa hizo raha zao akabakia salama, Urusi sio kama Somalia au Zimbabwe ambazo wananchi wa Western countries hata hawafahamu kama nchi zao zimewawekea vikwazo. Hivi vikwazo vya sasa dhidi ya Urusi vinasababisha maumivu ya wazi hata kwa watu wao, hii ndio hatari kwa watawala. Biden hana raha, macron hana raha, Boris Johnson hana raha na hata Scholz hana raha, raia wananing'inia kwenye shingo zao kutaka jibini yao, hawajazoea shida, hivyo inawalazimu kuingia mifukoni kufanya expenditures ambazo hazikutarajiwa kuwatuliza raia zao. Swali ni jee, watawatuliza hadi lini watu wao wakati Putin haonekani kukata punzi? Jamaa walinya miscalculation kuhusu mgogoro huu na vikwazo vyao kwake. Kuna kila dalili ya kumtosa Zeelensky ili kuzinusuru shingo zao. France, German na Italy wanahofia uchumi wao kudorora hivyo kuvunjika kwa EU.
 
Wazungu hawaviwezi vikwazo walivyoviweka wenyewe. Urusi ni giant kwenye dunia hii, dunia haiendi bila Urusi. Sikiliza EU wanavyohangaishwa na vikwazo vyao wenyewe.

Hope sasa umeelewa msingi wa hii point 👇kupitia hiyo post yako.

Waafrica atuelewi haya tukifika UN haya mataifa yameshajipanga kwa hatua wanazochukua katika maazimio ya UN.

Mziki unabaki kwetu kwa maamuzi yao.

Ni wakati wa nchi za kiafrica kwenda kwa pamoja kutaka kuruhusiwa kununua mafuta ya Iran na Russia au popote kupunguza athari za madhara ya kiuchumi.

Hawa mabeberu wanatuingiza kwenye madhara ambayo wao washajipanga kupunguza madhara yake, sisi tuna support upuuzi wako ilhali hatuna resources za kutosha za kupunguza madhara.

Na chi moja moja awawezi pambana na haya mambo inatakiwa kuwa msimamo wa African Union.

Yaani wewe kabisa usikilize hadithi za marekani mwenye reserve za miaka miwili bila ya kuagiza wala kutumia mafuta yake na bado anavisima vya kujizalishia mafuta kwa miaka mingi.

Something is wrong with the African Union kununua mafuta ya Iran, Venezuela na Russia is our right kwa hali zetu za uchumi; hawa majamaa wanatubebesha mzigo mzito kwa siasa ambazo azituhusu na wala sisi kununua huko hakuna impact vile kama wao wakitoka.

Something is wrong kwenye policies za African Union.
Wazungu awakurupuki kama sisi wao wana plan zao za kupambana na athari kwa pamoja.

Sio African Union hatuna foreign policies za pamoja tunaburuzwa tu huko UN na kubaki kuangaika na aftermath za maamuzi ya wengine yasiyotuhusu.

Hao waafrica kama wangekuwa timamu sasa hivi wangedai kupewa access ya mafuta ya Iran kukabiliana na demand pull inflation ya mafuta waliyotutengenezea wazungu.

Msingi wao wa kukubali kuendelea kutumia mafuta ni kwa sababu kuna baadhi ya ni heavily dependant na hiyo Russian commodity kuachia ghafla kumewaumia kwenye shipping costs jumlisha na kupanda kwa bei za mafuta.

Sisi tukiwa huko UN huwa atufikiri madhara ya hayo maamuzi wala hatuna policies za kulinda uchumi wa bara katika siasa za kimataifa kwa pamoja.
 
Hii point ni muhimu sana kwetu Afrika, lakini sisi bado tuko hatua moja mbele kutoka pale panya walipo, panya wanamjua adui yao paka lakini hawana mkakati wa kumshinda adui yao paka. Boss hanuniwi, nchi zetu nyingi zinapambana kila moja isiwaudhi wahisani/wafadhili kwakuwa tunaamini kwenye kukinga mikono kwao. Hakuna kiongozi wetu anaetaka kuitisha mkutano wa kujadili namna ya kukuza autonomy ya Afrika katika maamuzi.

Pamoja na ukweli huo lazima ujue kuwa hata EU hawana ubavu wa kwenda kinyume na Marekani, harakati hizi za EU ni namna ya kutomuudhi boss wao Marekani. Hawana uhuru wa kuamua hatima yao. Uingereza ndio kabiasaaa, wao ni kama mkia wa Marekani kwenye dunia hii.
 
Aliyekwambia vikwazo vinarudi kwao nani? Ivi unajua russia ameomba kupunguziwa vikwazo ndio aziachie zile meli za chakula alizokuwa kazishikilia kule kwenye bahari nyeusi?? kwanini aliomba? kwanini warusi zaidi ya milioni 4 wamehama russia na kwenda kutafusha maisha sehemu nyengine duniani?

Wazungu walipokuja na wazo la kuwaekea vikwazo russia kwa kuivamia ukraine walishakaa chini na kuona watamuumiza kwa kiwango gani russia, ukiwa nje na kusikiliza propaganda hutaweza kuipata picha halisi, tafuta ndugu yako anayeishi urusi akueleze hali halisi
Nawewe tafuta ndugu yako anaeishi ulaya akuelezee vyema
Watu wanalalama huko mavitu yanapanda bei halaf mnataka kusema nini !!!??
Kuhusu RUSSIA kutaka kuondolewa vikwazo hili lipo kimkakati zaidi je EU wapo tayar kufuata matakwa ya RUSSIA nakudhataulika zaidi na DUNIA
Kiufupi RUSSIA anatumia huo msosi aloukamata hapo UKRAINE kama aina fulani ya vikwazo kwa waliomuekea
Muda utaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huna ujualo hizo meli za chakula tayari russia amelazimika kuziachia kila nchi wenye hicho chakula walituma manuari kwenye kugomboa meli zao na tayari kimeshatoka toka wiki iliyopita, putini hana lolote ni kelele tu, yeye alijaribu kutingisha aondolewe vikwazo akaambiwa sisi tunakuja wewe kama utapiga piga uone meli zimetoka tayari mkuu
 
Hii point ni muhimu sana kwetu Afrika, lakini sisi bado tuko hatua moja mbele kutoka pale panya walipo, panya wanamjua adui yao paka lakini hawana mkakati wa kumshinda adui yao paka. Boss hanuniwi, nchi zetu nyingi zinapambana kila moja isiwaudhi wahisani/wafadhili kwakuwa tunaamini kwenye kukinga mikono kwao. Hakuna kiongozi wetu anaetaka kuitisha mkutano wa kujadili namna ya kukuza autonomy ya Afrika katika maamuzi.

Pamoja na ukweli huo lazima ujue kuwa hata EU hawana ubavu wa kwenda kinyume na Marekani, harakati hizi za EU ni namna ya kutomuudhi boss wao Marekani. Hawana uhuru wa kuamua hatima yao. Uingereza ndio kabiasaaa, wao ni kama mkia wa Marekani kwenye dunia hii.
Kwa mtazamo huo basi Nyerere na wenzake wasingeomba uhuru wa nchi zao.

Nadhani umeshaona ile interview ya JKN akiwa huko kwa wazungu nakuwaambia nipeni koti langu nyie mmeazima tu kama linanitosha au litani-pwaya bado langu.

Sasa kukopa kwa wazungu isiwe sababu ya nchi maskini zisiwe na mipango yao, unapozungumzia nishati ya uhakika unaongelea number 1 priority ya national security nchi zilizoendelea.

Halafu hao waingereza ni sungura wajanja wao supply ya gas kwao sio shida zaidi ya asilimia 90% wanapata kutoka Norway na wana mafuta yao ya kuwatosheleza kwa 40% North Sea; sema awayatumii tu.

Watu waliobugi ni EU members ndio heavily dependant on Russian energy some more than others.

Uzuri wa mzungu ni mtu wa kujifunza kufanya kosa sio kosa kwao kurudia kosa ndio kosa. Tatizo sisi waafrica tumejifunza nini kupitia huu mgogoro.
 
Wewe huna ujualo hizo meli za chakula tayari russia amelazimika kuziachia kila nchi wenye hicho chakula walituma manuari kwenye kugomboa meli zao na tayari kimeshatoka toka wiki iliyopita, putini hana lolote ni kelele tu, yeye alijaribu kutingisha aondolewe vikwazo akaambiwa sisi tunakuja wewe kama utapiga piga uone meli zimetoka tayari mkuu
kaka usidanganye watu, oonyesha picha ya meli hata moja iliyobeba hicho chakula kutoka eneo la vita, kisha onyesha hizo manuari za kimagharibi zilizosababisha Putin aufyate. Kaka Putin anamiliki Black sea yote hiyo meli ingepitia wapi, pale Mariupol hakuna upenyo hata wa kupitisha maji ya kandoro kwenda au kutoka, pale Odesa kunarindima, wacha unazi. Putin anaombwa aruhusu chakula ili kuokoa maisha ya watu, nae kuna kitu anaomba ili nae aruhusu. Usilete mashala kwenye hili
 
Kwa mtazamo huo basi Nyerere na wenzake wasingeomba uhuru wa nchi zao.

Nadhani umeshaona ile interview ya JKN akiwa huko kwa wazungu nakuwaambia nipeni koti langu nyie mmeazima tu kama linanitosha au litani-pwaya bado langu.

Sasa kukopa kwa wazungu isiwe sababu ya nchi maskini zisiwe na mipango yao, unapozungumzia nishati ya uhakika unaongelea number 1 priority ya national security nchi zilizoendelea.

Halafu hao waingereza ni sungura wajanja wao supply ya gas kwao sio shida zaidi ya asilimia 90% wanapata kutoka Norway na wana mafuta yao ya kuwatosheleza kwa 40% North Sea; sema awayatumii tu.

Watu waliobugi ni EU members ndio heavily dependant on Russian energy some more than others.

Uzuri wa mzungu ni mtu wa kujifunza kufanya kosa sio kosa kwao kurudia kosa ndio kosa. Tatizo sisi waafrica tumejifunza nini kupitia huu mgogoro.
kwani panya anajifunza nini wakati mpwa wake anavyokamatwa na panya? Inapotokea wakati madini yako, mazao yako na bidhaa zako zinasubiri kupangiwa bei na watu wengine wewe jeuri utaitoa wapi? Unaongea na watu ambao wanaweza kusema hatununui dhahabu na korosho zako. Tulipowanyang'anya mashamba ya mkonge wakaacha kununua nyuzi za mkonge na kutengeneza kamba na magunia ya nylon (synthetics). Nyerere hakudai uhuru bali alipewa uhuru kwakuwa baada ya vita kuu ya pili Tanganyika ilikuwa huru kabisa, yule Mwingereza alipewa tu kusimamia wakati tunajiandaa kujitawala wenyewe, Nyerere alikwenda kusema tu kwamba tuko tayari sasa.
 
Wewe huna ujualo hizo meli za chakula tayari russia amelazimika kuziachia kila nchi wenye hicho chakula walituma manuari kwenye kugomboa meli zao na tayari kimeshatoka toka wiki iliyopita, putini hana lolote ni kelele tu, yeye alijaribu kutingisha aondolewe vikwazo akaambiwa sisi tunakuja wewe kama utapiga piga uone meli zimetoka tayari mkuu
 
kwani panya anajifunza nini wakati mpwa wake anavyokamatwa na panya? Inapotokea wakati madini yako, mazao yako na bidhaa zako zinasubiri kupangiwa bei na watu wengine wewe jeuri utaitoa wapi? Unaongea na watu ambao wanaweza kusema hatununui dhahabu na korosho zako. Tulipowanyang'anya mashamba ya mkonge wakaacha kununua nyuzi za mkonge na kutengeneza kamba na magunia ya nylon (synthetics). Nyerere hakudai uhuru bali alipewa uhuru kwakuwa baada ya vita kuu ya pili Tanganyika ilikuwa huru kabisa, yule Mwingereza alipewa tu kusimamia wakati tunajiandaa kujitawala wenyewe, Nyerere alikwenda kusema tu kwamba tuko tayari sasa.
Vita ya pili ya dunia aina uhusiano wowote na uhuru wa Tanzania, kama koloni Tanganyika ilikabidhiwa kwa uingereza baada ya vita ya kwanza ya dunia. Kabla ya ya hapo tulikuwa koloni wa mjerumani waliposhindwa vita ya kwanza makoloni yao yote yalichukuliwa na nchi nyingine.

Kwa upande wa uingereza na wenyewe walikuwa na shida ya ku manage haya makoloni moja ya sababu ni ugumu wa kupata watu waliokuwa tayari kwenda kuishi na kuyaendesha makoloni yote. Na baada ya Suez Canal crisis bunge lao likaamua kuyaachia makoloni yote yasiyo na faida za kiuchumi wenyewe wakitumia nguvu kudai uhuru (hiyo ndio ilikuwa rationale ya msingi kwa siasa zao za nchi kwa sababu zao).

Tanganyika muda huo kama ilikuwa awajai-exploit kiuchumi kama ilivyokuwa Kenya; kwa maana hiyo kutokana na jitihada za Nyerere kudai uhuru wakaona waichie lakini bila ya yeye kuonyesha yupo serious kutaka uhuru wasingetupa.

Kwa maana hiyo usibeze kabisa jitihada za Nyerere kwenye kupata uhuru. Na ata kwa makoloni ambayo yalikuwa na faida kwa muingereza moja wapo ikiwa Kenya walijaribu kuwagawa kwa ukabila na wenyewe walipochoka waliwatoa kwa nguvu.

Tunarudi square one sasa kama uhuru wa bara, dunia inategemeana. Kila mtu ni muhimu kwa mwenzake. Kesho ghana akisema auzi cocoa yake ulaya bei ya chocolate huko itapaa hatari.

Congo DRC ikisema aiuzi cobalt yake ulaya soko la smart phone na computer lita athirika and so forth Africa kwa umoja wake ikisema atutaki trade na West ata sisi pia tuna impact kwenye uchumi wao; kila bara linachangia kwenye uchumi wa dunia na lina comparative advantages zake.

Sasa hapo ndio zinaingia siasa za bloc and supranational agenda based on group alliances strategies kwenye maslahi ya vitu muhimu vya kulinda in international politics; ndio mchezo wa usalama wa taifa unapoanza. Na huo ni mchezo wa vipanga trust me because you have to read a lot and be able to analyse different information; ndio maana kilaza awezi kuwa afisa usalama chi za wenzetu especially at senior post.

Sasa kwenye mafuta kuna makampuni yanayojulikana kama ‘seven sisters’ kila mtu alikuwa ananyonya kivyake changamoto zikawafanya waungane namna ya kunyonya. Wenye mafuta nao wakajifunza kupambana nao tuunge taasisi yetu ya kupambana nayo ikaundwa OPEC.

Wengine walipagana sana wenyewe kwa wenyewe baada ya miaka mingi wakaingia makubaliano vita bwana vina madhara tusipigane tuungane tukawapige wengine NATO.

Wewe unawaza kupewa msaada ina maana Africa aiwezi kuungana kujikomboa; hizo ni fikra za mtu asiejimini na tegemezi. It’s as if watanzania wote tuna akili za Nape, January, Babalevo, Mwijaku na UVCCM.

Na kujikomboa ni mchezo
wa vipanga waliopo usalama wa nchi sasa mtu kama Membe kweli anaweza kuwa afisa usalama ukimsikiliza mtu kiazi kabisa; unajiuliza ata alifikaje katika hizo nafasi.

Afrika bado sana.
 
Ukiona NATO kila siku ina vikao vya kuchangia na kuweka vikwazo vipya ujue hali zao sio njema. Russia inayo mengi ambayo haijayafanya kwa NATO. Russia ni technolojia hata ya kuzima satellites zote za nchi za NATO. Kuishinda Russia ni gumu kuliko ngamia kupita tundu la sindano.
Naona hata hujaelewa hoja yangu , umejibu OP kbs , ushabiki ni mzuri ila sio yakikukuta ww
 
Wacha kupotosha historia, Unafikiri ni kwanini Nyerere alikwenda UNO badala ya London? Hata akina Nyerere na wenzake kusomeshwa ndani na nje ya nchi ni maagizo ya UNO kwa Uingereza kuwaandaa wazawa kuchukua Uhuru wao. Alichokifanya Nyerere ni kutafuta nauli ya kwenda kuwashawishi na kuwathibitishia UNO kuwa sasa Tanganyika iko Tanyari kuongozwa na wazawa wenyewe, baaaasi. Kumbuka mwingireza sio tu alipewa amri ya kuwaandaa wazawa kujitawala lakini na kuwahifadhia bank (Barclays) 40% ya kila kinachouzwa kutoka Tanganyika na kukubidhiwa baada ya kujitawala. Nyerere alikuta fedha nyingi sana kwenye account yetu alizotumia kujenga viwanda, vituo vya afya, shule, kutoa elimu na afya bure, kuzambaza maji, kujenga vijiji vya ujamaa, kuunda mfumompya wa ulinzi wa taifa na zilizobaki akazitumia kwenye ukombozi wa bara la Afrika.
 
Naona hata hujaelewa hoja yangu , umejibu OP kbs , ushabiki ni mzuri ila sio yakikukuta ww
samahani!! lakini hoja yangu ya msimgi ni kwamba hata EU wanaswagwa tu Marekani kwenye vita hii kwakuwa rasilimali za Urusi zinatumika sana kwenye maendeleo ya Ulaya yote.
 
Kwa mtazamo huo basi Nyerere na wenzake wasingeomba uhuru wa nchi zao.

Nadhani umeshaona ile interview ya JKN akiwa huko kwa wazungu nakuwaambia nipeni koti langu nyie mmeazima tu kama linanitosha au litani-pwaya bado langu.

Sasa kukopa kwa wazungu isiwe sababu ya nchi maskini zisiwe na mipango yao, unapozungumzia nishati ya uhakika unaongelea number 1 priority ya national security nchi zilizoendelea.

Halafu hao waingereza ni sungura wajanja wao supply ya gas kwao sio shida zaidi ya asilimia 90% wanapata kutoka Norway na wana mafuta yao ya kuwatosheleza kwa 40% North Sea; sema awayatumii tu.

Watu waliobugi ni EU members ndio heavily dependant on Russian energy some more than others.

Uzuri wa mzungu ni mtu wa kujifunza kufanya kosa sio kosa kwao kurudia kosa ndio kosa. Tatizo sisi waafrica tumejifunza nini kupitia huu mgogoro.

Mkuu angalia vizuri takwimu zako unaweza kuwa umechanganya. Gesi ndio msala mkubwa kwa EU ndiyo maana hata hawakuigusia kwenye vikwazo kwani utegemezi wao ni Kama 43 % kwa wastani na Ujerumani ikiwa inaongoza kwa utegemezi wa gesi. Mafuta ndiyo utegemezi uko chini kidogo.
 
Vita ya pili ya dunia aina uhusiano wowote na uhuru wa Tanzania, kama koloni Tanganyika ilikabidhiwa kwa uingereza baada ya vita ya kwanza ya dunia. Kabla ya ya hapo tulikuwa koloni wa mjerumani waliposhindwa vita ya kwanza makoloni yao yote yalichukuliwa na nchi nyingine.

Kwa upande wa uingereza na wenyewe walikuwa na shida ya ku manage haya makoloni moja ya sababu ni ugumu wa kupata watu waliokuwa tayari kwenda kuishi na kuyaendesha makoloni yote. Na baada ya Suez Canal crisis bunge lao likaamua kuyaachia makoloni yote yasiyo na faida za kiuchumi wenyewe wakitumia nguvu kudai uhuru (hiyo ndio ilikuwa rationale ya msingi kwa siasa zao za nchi kwa sababu zao).

Tanganyika muda huo kama ilikuwa awajai-exploit kiuchumi kama ilivyokuwa Kenya; kwa maana hiyo kutokana na jitihada za Nyerere kudai uhuru wakaona waichie lakini bila ya yeye kuonyesha yupo serious kutaka uhuru wasingetupa.

Kwa maana hiyo usibeze kabisa jitihada za Nyerere kwenye kupata uhuru. Na ata kwa makoloni ambayo yalikuwa na faida kwa muingereza moja wapo ikiwa Kenya walijaribu kuwagawa kwa ukabila na wenyewe walipochoka waliwatoa kwa nguvu.

Tunarudi square one sasa kama uhuru wa bara, dunia inategemeana. Kila mtu ni muhimu kwa mwenzake. Kesho ghana akisema auzi cocoa yake ulaya bei ya chocolate huko itapaa hatari.

Congo DRC ikisema aiuzi cobalt yake ulaya soko la smart phone na computer lita athirika and so forth Africa kwa umoja wake ikisema atutaki trade na West ata sisi pia tuna impact kwenye uchumi wao; kila bara linachangia kwenye uchumi wa dunia na lina comparative advantages zake.

Sasa hapo ndio zinaingia siasa za bloc and supranational agenda based on group alliances strategies kwenye maslahi ya vitu muhimu vya kulinda in international politics; ndio mchezo wa usalama wa taifa unapoanza. Na huo ni mchezo wa vipanga trust me because you have to read a lot and be able to analyse different information; ndio maana kilaza awezi kuwa afisa usalama chi za wenzetu especially at senior post.

Sasa kwenye mafuta kuna makampuni yanayojulikana kama ‘seven sisters’ kila mtu alikuwa ananyonya kivyake changamoto zikawafanya waungane namna ya kunyonya. Wenye mafuta nao wakajifunza kupambana nao tuunge taasisi yetu ya kupambana nayo ikaundwa OPEC.

Wengine walipagana sana wenyewe kwa wenyewe baada ya miaka mingi wakaingia makubaliano vita bwana vina madhara tusipigane tuungane tukawapige wengine NATO.

Wewe unawaza kupewa msaada ina maana Africa aiwezi kuungana kujikomboa; hizo ni fikra za mtu asiejimini na tegemezi. It’s as if watanzania wote tuna akili za Nape, January, Babalevo, Mwijaku na UVCCM.

Na kujikomboa ni mchezo
wa vipanga waliopo usalama wa nchi sasa mtu kama Membe kweli anaweza kuwa afisa usalama ukimsikiliza mtu kiazi kabisa; unajiuliza ata alifikaje katika hizo nafasi.

Afrika bado sana.
Usichokijua hapa ni kwamba NATO ni mali halali ya Marekani kwa matumizi yake, Marekani ndiye mfadhili mkuu wa NATO. Afrika hatuna mtu kama Marekani wa kuufadhili muungano wetu wa Afrika dhidi y MANYANG'AU YETU. Gadaffi alijaribu kuwa mfadhili wetu kwenye hili lakini walimuua mapema kabla hajafaniliwa. Maana Marekani alikuwa anakifahamu kile Gadaffi alichokikusudia kwa Afrika, maana hata wao ndicho walichokifanya kwa Ulaya (NATO). Sasa hivi Marekani haiutaki EU kabisaa, ni kikwazo kwake. Anapenda NATO kuliko EU, na jitihada za Uingereza kujitoa EU ni sehemu ya mkakati wake wa kuinyonga EU ili ibaki NATO ambayo ana mamlaka nayo. Mzozo wa Ukraine ni mwendelezo wa marekani kuiangusha EU hasa Ujerumani na Ufaransa ambao ndio makaka wakuu wa EU. Hebu ona hali ya Ujerumani sasa hivi:
 
Back
Top Bottom