Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

UK kujitoa EU ni njama za US, baada ya Uingereza kujitoa EU wakabuni vita ya Ukraine ili kuiangusha EU, hasa Germany and France and Italy (giants of EU).
Wacha yasambaratike; labda itafika pahala dunia iwe na amani.
 
Mungu hawapendi wazungu, amewavulimia sasa amechoka
Haya majitu kweli yamelaaniwa. Majira ya joto yanakufa kwa kuzidiwa na kupanda kwa joto lisiloweza kuhimiliwa na mwili.

Msimu ujao wa baridi ndio yatapukutika kama sisimizi Putin atapofunga mabomba ya gesi 😆😆😆.
 
Yanachafua mazingira walidhani kuwa tutakufa sisi kwa mabadiliko ya hali ya hewa. Kinyume chake yanaathirika yenyewe.
 
M
Haya majitu kweli yamelaaniwa. Majira ya joto yanakufa kwa kuzidiwa na kupanda kwa joto lisiloweza kuhimiliwa na mwili.

Msimu ujao wa baridi ndio yatapukutika kama sisimizi Putin atapofunga mabomba ya gesi 😆😆😆.

Mungu mkubwa kwelikweli, ameyageuzia kibao, sisi katupa baridi nzuri ya Ulaya na wao kawapa joto Kali la Afrika na jangwani. Mungu kiboko, Sasa hivi mbung'o, mbu na inzi wote wanahamia Ulaya kutoka Africa.
 
imefarijika kuona kumbe hili la gharama za maisha ni mpaka Ulaya. Nilidhani ni hapa kwetu kwa mama 'dhaifu'
Kaka nchi yoyote duniani ikiwemo Afrika kama ikifanya uchaguzi huru na wa haki leo lazima kiongozi/chama kilichoko madarani kitashindwa tu, hali ni mbaya sana kupitiliza wakati kuna mafuta na chakula rahisi pale Urusi. Huu ndio ule wakati wa Rais JPM (rip) tunaoukosa. Hata Kenyatta/Odinga wameangukia pua kwenye uchaguzi kwasababu hiihii ya Ukraine.
 
mkuu,kongole sana uliweza kuona mbali sana
 
Attachments

  • img_1_1661341349670.jpg
    img_1_1661341349670.jpg
    7.2 KB · Views: 13
utelezi huu Watawala Sweden wanafurushwa pia

Hiini hatari, kumbe hata wazungu ni wajinga hivi
 
Back
Top Bottom