Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Acha ulongo
 
USA na NATO kuweni na utu. Msimvimbishie misuli Russia mkaanzisha vita ya 3 ya dunia. Endeleeni na vikwazo na kumbinya kwa namna za kiuchumi. Dunia bado inahitaji maisha.
Si mlisema anaiogopa NATO na mkasema kwamba hawezi kupeleka majeshi?? Sasa kaingiza majeshi yake na kwakua hamumuwezi, mmeanza kujifanya wastaarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mlisema anaiogopa NATO na mkasema kwamba hawezi kupeleka majeshi?? Sasa kaingiza majeshi yake na kwakua hamumuwezi, mmeanza kujifanya wastaarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulisema kina nani? Unadhani mm ni mrussia mwenzako au mmarekani?

We jiulize, Eukraine akipigwa Russia akashinda kisha akawekewa vikwazo, USA na washirika wake wanapoteza nn?
 
Ww unawatukana wa Russia wakati ww kwa jpm hata kumkosoa akikosea ulikuwa unaogopa
Utamkosoaje Chuma kama yule...???
Haya sasa Bi Tausi anazurura we hujui chochote kama zamani, mambo ya Bandari,Migodini,maendeleo ya Miradi mikubwa.
Mshua yuko ndani na pesa anapata hata kama za mkopo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiye mwenye matope kichwani na siyo Putin tena ukome kumkashifu Putin huna adabu weye
 
Sadam Husain alifanya propaganda hivyohivyo baadae akaishia kula kitanzi ,
Muamar Gaddafi aliongea utumbo matokeo yake akajificha kwenye mtaro wa majitaka !
Mmarekani akikuamaulia kung,oka utang,oka tu...
Hizo zama sio za leo, mmarekani ataonea vinyela wengine lakini sio Russia na China.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv kwanini sisi waislamu huwa tunawaunga mkono warusi na waarabu?

sisi WAISLAMU tumewahi kusaidiwa nini na WAARABU au Warusi?
angalia vita zote marekani ndio wanatoa msaada, hivi tunajielwa kweli?>
Mmarekani alitoa msaada wapi?? Mmarekani ndio chanzo cha machafuko duniani, wenye akili tunamuunga mkono Russia ili kuwepo na balance of power.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mchunga ng'ombe mwenye piiheechi dii ya koroshow aliwakalisha chini woote mkawa kimya kuanzia mtwara hadi kigoma itakuwaje kwa mtabe mwenye Black belt ya taikundo, mjeda wa ngazi za juu, jasusi mbobezi, phd ya sheria n.k. ? Halafu ukome kuwaita warusi ndezi huna adabu weye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…