Wazungu hawatalikubali hilo! Wapo tayari kurusha mabomu hadi AfrikaVita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu hawatalikubali hilo! Wapo tayari kurusha mabomu hadi AfrikaVita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
Kuna majitu humu hayajui kama RUSIA ndiye aliyeshikilia uhuru wa duniaMmarekani alitoa msaada wapi?? Mmarekani ndio chanzo cha machafuko duniani, wenye akili tunamuunga mkono Russia ili kuwepo na balance of power.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kumaanisha kuwa hafanyi kitu kwa kubizia au kubahatisha, anaingia sehemu kibabe na kwakutoa tambo ili msije sema alifanya ambush.[emoji23][emoji23]sasa mtu anayetaka kubaka huwa anapiga kelele like "nabaka niacheni msiingile"
Yeye si mbabe a Put-in kimyakimya ajilie mzigo.
Awapi...[emoji23]Vita si lelema na havina macho!!!
Wanajeshi wa Urusi wakamatwa màteka Ukraine!
Russian soldiers captured by Ukraine.View attachment 2129840
Ila Putin ana biti.USA na NATO kuweni na utu. Msimvimbishie misuli Russia mkaanzisha vita ya 3 ya dunia. Endeleeni na vikwazo na kumbinya kwa namna za kiuchumi. Dunia bado inahitaji maisha.
Hiyo ni propaganda tu, tutajie wapo kwenye kikosi gani Cha Russia.
Wanasahau aliweza kuingilia uchaguzi wao?Mrusi ndio master wa cyber attack
Ila unakubali kwamba Ukraine anakuwa anafata wishes na command za USA na NATO mpaka Sasa Odessa, kharkiv , Mariupol na Chinobyl vimeshaangukia mikononi mwa Russia halafu mzee VLADIMIL anmwita VLODOMYLY wakazungumzeKunegotiate na nani? Kumbuka hapigani na ulaya, hawachukui mateka wanajeshi wa USA ila anapigana na ndugu yake, jirani yake na aliyekuwa mrussia mwenzake miaka ya huko nyuma.
Ila Putin ana biti.
Putin anaongea kama anakula karanga huyu Simba mtu.Ila Putin ana biti.
Yaani anaitetemesha dunia hapo nahisi anatafuta njia ili Russia iwe superpower state.Putin anaongea kama anakula karanga huyu Simba mtu.
Kukosa ushawishi kwa majirani zako, ndugu zako, warussia wenzako kihistoria mpaka uwapige kisha ww uwekewe vikwazo vya kiuchumi ni udhaifu mkubwa sana.Ila unakubali kwamba Ukraine anakuwa anafata wishes na command za USA na NATO mpaka Sasa Odessa, kharkiv , Mariupol na Chinobyl vimeshaangukia mikononi mwa Russia halafu mzee VLADIMIL anmwita VLODOMYLY wakazungumze
Tusubiri mwisho wa siku bado mapema sanaKuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.
Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.
Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.
Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.
"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.
Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.
Long live Vladimir Putin Chuma.
Acha kusingizia Afrika,waarabu wana umoja wao usiojali mipaka ya kimabara ili mradi tu jamii husika ni waarabu sasa wewe mmatumbi jifanye hujui.Sisi waafrika n wajinga Sana
Marekan alikuja hapa Africa akamuua muhamad gadafi lakini hakuna aliyepiga kelele
Leo wazungu wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe eti tunakuwa na huruma na kupiga kelele Kama jibwa kinalohtaji bwana
Kama tungekuwa tunapendana nadhan tungeungana kumpigania gadafi
WAAFRIKA AKILI ZETU TIMESHIKIWA NA WAZUNGU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukitaka kujua kama anaitetemesha dunia achana na mahaba, usikae upande wowote. Fuatilia huu mzozo kisha acha akili yako iamue. Utagundua kuwa:Yaani anaitetemesha dunia hapo nahisi anatafuta njia ili Russia iwe superpower state.
Hakika ngoja niendelee kufuatilia huu mzozo kwa ukaribu zaidi.Ukitaka kujua kama anaitetemesha dunia achana na mahaba, usikae upande wowote. Fuatilia huu mzozo kisha acha akili yako iamue. Utagundua kuwa:
Russia ana nguvu kubwa.
USA na washirika wake wana nguvu kubwa.
Russia anadhibitiwa na USA na washirika wake kwa kutumia akili kubwa.
Mfano sasa katoka kumpiga Eukraine ambaye ni mwenzake(Hawa hawakutakiwa wawe na ugomvi kutokana na historia ujirani wao, ni ndugu hawa), anatakiwa adeal na vikwazo ila USA na washirika wao wapo tu wanatoa matamko.
Hatua Moja huanzisha nyingine, wanampiga halafu ndio wanamuelekeza nini cha kufanya.Kukosa ushawishi kwa majirani zako, ndugu zako, warussia wenzako kihistoria mpaka uwapige kisha ww uwekewe vikwazo vya kiuchumi ni udhaifu mkubwa sana.
Kabisa mkuu.Hakika ngoja niendelee kufuatilia huu mzozo kwa ukaribu zaidi.
Mmeshaanza kujitiisha hurumaPutin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Ndugu yangu Kisiju. USA wamekuwa wakitumia hiyo njia ya propaganda muda sasa. Mnapigana yeye anachochea na kutoa silaha na kutaka vikwazo.Hatua Moja huanzisha nyingine, wanampiga halafu ndio wanamuelekeza nini cha kufanya.
Nikuulize swali kwani NEO NAZI na MANATIONALIST wa Ukraine waliingia kwa sanduku la kura au mapinduzi ya kumtumia nguvu