Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Bora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.

Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.

Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.

Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.

"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".

Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.

Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.

Long live Vladimir Putin Chuma.
Umeongea ukweli mtupu,then umeongea uhalisia uliokwepo
 
Ndugu yangu Kisiju. USA wamekuwa wakitumia hiyo njia ya propaganda muda sasa. Mnapigana yeye anachochea na kutoa silaha na kutaka vikwazo.

Russia ikiingia kwenye huu mtego haki ya nani vikwazo vitampoteza kwenye ramani na USA hana kubwa analopoteza.

Siku russia akiwa na ushawishi kwa ndugu na majirani zake bila kuwapiga Mmarekani na washirika watapata wasiwasi.
Ila kumbuka askari wa Marekani hawana morali, raia wa Marekani hawana matumaini, raisi wa Marekani hajui nini afanye.
Vita ya miaka ishirini nchini Afghanistan imewanyong'onyesha na Urusi alitumia kanuni hiyo hiyo kuwanyoosha Wamarekani kwa kuwapa strategic and tactical means and weapons pamoja na fedha kwa wataleban ili kumdhuru Mmarekani kwa miaka ishirini.

Wenzetu wapo juu kwenye intelejensia kuliko tunavyodhani
 
Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
 
weka pumbu zako vizuri alafu uongee kama mwanaume.
URUSI i navamia ukraine Kwenda kuora maliasili na kilimo america wanazuia uvamizi , wewe UNAAANDIKA MAREKANI WATAONEA IRAN , IRAQ etc, hivi umebalehe kweli wewe? una umri wa kukaa humu jf? yaani badala ya kuomba dunia iungane URUSI AACHE kuvamia nchi za bulkan wewe u ashangilia? pumbav sana nyie vijana msioenda shule na kutumia wifi za ofisi ya shem wako.
Wewe vita ya Kagera ndio mlikuwa wasaliti mmeungana na nduli.
Hapa je ulikua huombi amani?? Nyinyi Libya ilipovamiwa na US si mlikua mnashamgilia na kuosifu hapa, Israel inapopiga mabomu Gaza na kuuwa watu si mnasifu, Vp kuhusu Iraki ilipovamiwa bila ya sababu huku mkiuwa maelfu ya watu?? Tulia dawa ikuingie
20220224_110506.jpg
 
Ukrainian official says Friday will be "the worst day" of Russian attack, expects airstrikes, landings, penetrations, and encircling - BNO
 
Ujerumani kuna kitu anakiogopa hatujui ni nini [emoji23][emoji23]

The German Chancellor said that cutting off #Russia from the #SWIFT global interbank payment system should not be part of the second #EU sanctions package against Russia.

#Ukraine
#NATO https://t.co/Z45YfPi9Ju
 
Sisi waafrika n wajinga Sana

Marekan alikuja hapa Africa akamuua muhamad gadafi lakini hakuna aliyepiga kelele

Leo wazungu wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe eti tunakuwa na huruma na kupiga kelele Kama jibwa kinalohtaji bwana

Kama tungekuwa tunapendana nadhan tungeungana kumpigania gadafi

WAAFRIKA AKILI ZETU TIMESHIKIWA NA WAZUNGU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Gaddafi ni muafrika ama muarabu
 
We hujui Ghadafi jinsi alivyojitoa kwa ajili ya bara hili la Africa. Hata AU alikuwa anaifadhili yeye. Kama tatizo ni uarabu wake basi we hujielewi...wako weusi Africa wagapi wametumika kama vibaraka wa kuamisha mali za Afrika kama Mobutu. LIBYA iko Africa hivyo wakazi wake ni waAfrika bila kujali rangi zao. Kama walivyo wamarekani weusi..wao ni wamarekani tu siku zote watatetea maslah ya Amerika na si vinginevyo.
Huyo dikteta bora alifurushwa! Kwanza alimsaidia nduli iddi amini kuipiga Tz kipindi cha vita vya Kagera
 
Huyu Rais wa Ukraine andelee kubembeleza meza ya mazungumzo na Putin la sivyo ataibika vibaya sana!

Aombe wazungumze ailinde heshima ya nchi yake na heshima yake.
Mazungumzo kivip wakati alipiga simu kremlin haikupokelewa! Hapo Hana jinsi ni kupambana mpaka dakika ya mwisho.
Option iliyobaki ni kuwapa raia silaha wapigane vita ya mtaa kwa mtaa kwa mtindo wa kuvizia
 
Back
Top Bottom