reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]!!!Vita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]!!!Vita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]Bora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea ukweli mtupu,then umeongea uhalisia uliokwepoKuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.
Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.
Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.
Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.
"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.
Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.
Long live Vladimir Putin Chuma.
Ila kumbuka askari wa Marekani hawana morali, raia wa Marekani hawana matumaini, raisi wa Marekani hajui nini afanye.Ndugu yangu Kisiju. USA wamekuwa wakitumia hiyo njia ya propaganda muda sasa. Mnapigana yeye anachochea na kutoa silaha na kutaka vikwazo.
Russia ikiingia kwenye huu mtego haki ya nani vikwazo vitampoteza kwenye ramani na USA hana kubwa analopoteza.
Siku russia akiwa na ushawishi kwa ndugu na majirani zake bila kuwapiga Mmarekani na washirika watapata wasiwasi.
Ndio mamluki waache kusikiliza US mzee wa fitna, nadhani now unakubali kuwa US ni mzee wa fitnaKunegotiate na nani? Kumbuka hapigani na ulaya, hawachukui mateka wanajeshi wa USA ila anapigana na ndugu yake, jirani yake na aliyekuwa mrussia mwenzake miaka ya huko nyuma.
Zanzibarwewe unashangilia Nchi huru {Ukraine} itawaliwe na wakoloni ama ni upuuzi tu hujui ulichoandika?
Hapa je ulikua huombi amani?? Nyinyi Libya ilipovamiwa na US si mlikua mnashamgilia na kuosifu hapa, Israel inapopiga mabomu Gaza na kuuwa watu si mnasifu, Vp kuhusu Iraki ilipovamiwa bila ya sababu huku mkiuwa maelfu ya watu?? Tulia dawa ikuingieweka pumbu zako vizuri alafu uongee kama mwanaume.
URUSI i navamia ukraine Kwenda kuora maliasili na kilimo america wanazuia uvamizi , wewe UNAAANDIKA MAREKANI WATAONEA IRAN , IRAQ etc, hivi umebalehe kweli wewe? una umri wa kukaa humu jf? yaani badala ya kuomba dunia iungane URUSI AACHE kuvamia nchi za bulkan wewe u ashangilia? pumbav sana nyie vijana msioenda shule na kutumia wifi za ofisi ya shem wako.
Wewe vita ya Kagera ndio mlikuwa wasaliti mmeungana na nduli.
Mkuu Ulikuwa Unahisi Putin Ana Mzaha Na Mikwara?MWANAUME KAMILI HUWA HAPIGI MIKWARA YEYE ANGESHAMBULIA UKRAINE AFU ASUBIRI ATAKAEINGILIA
HANA LOLOTE
Gaddafi ni muafrika ama muarabuSisi waafrika n wajinga Sana
Marekan alikuja hapa Africa akamuua muhamad gadafi lakini hakuna aliyepiga kelele
Leo wazungu wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe eti tunakuwa na huruma na kupiga kelele Kama jibwa kinalohtaji bwana
Kama tungekuwa tunapendana nadhan tungeungana kumpigania gadafi
WAAFRIKA AKILI ZETU TIMESHIKIWA NA WAZUNGU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyo dikteta bora alifurushwa! Kwanza alimsaidia nduli iddi amini kuipiga Tz kipindi cha vita vya KageraWe hujui Ghadafi jinsi alivyojitoa kwa ajili ya bara hili la Africa. Hata AU alikuwa anaifadhili yeye. Kama tatizo ni uarabu wake basi we hujielewi...wako weusi Africa wagapi wametumika kama vibaraka wa kuamisha mali za Afrika kama Mobutu. LIBYA iko Africa hivyo wakazi wake ni waAfrika bila kujali rangi zao. Kama walivyo wamarekani weusi..wao ni wamarekani tu siku zote watatetea maslah ya Amerika na si vinginevyo.
MO ni muafrika au mhindi?Gaddafi ni muafrika ama muarabu
Mazungumzo kivip wakati alipiga simu kremlin haikupokelewa! Hapo Hana jinsi ni kupambana mpaka dakika ya mwisho.Huyu Rais wa Ukraine andelee kubembeleza meza ya mazungumzo na Putin la sivyo ataibika vibaya sana!
Aombe wazungumze ailinde heshima ya nchi yake na heshima yake.
Ghaddafi ni muarabu! Kwa taarifa yako watu wa Afrika kaskazini wanajichukulia waarabu zaidi kuliko WaafrikaMO ni muafrika au mhindi?
Hujajibu swali..Ghaddafi ni muarabu! Kwa taarifa yako watu wa Afrika kaskazini wanajichukulia waarabu zaidi kuliko Waafrika
SijuiHujajibu swali..
Mo ni mhindi au muafrica!?
Gadaffi aliifadhili bank ya Africa alifadhili mikutano yote ya Africa alitaka kuunganisha Africa..Ghaddafi ni muarabu! Kwa taarifa yako watu wa Afrika kaskazini wanajichukulia waarabu zaidi kuliko Waafrika