Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Putin amerukwa na akili....

Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..

Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.

Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Kuna uthibitisho kuhusu huo ugonjwa wa akili?
 
Putin ndio mwamba wa dunia kwa sasa, ni bora Marekani ikatumia Busara vinginevyo kuna hatari ya kutokea Vita ya 4 ya Dunia.
 
Gadaffi aliifadhili bank ya Africa alifadhili mikutano yote ya Africa alitaka kuunganisha Africa..
Unawezaje kusema sio muafrica!?
Obama alikuwa Ameriacan au muafrika!?
Acha uzuzu
Kuna watu wana chuki binafsi na waarabu tu!nashangaa vita ya Ukraine imekua gumzo siungi mkono mapigano lakini kuna nchi zinapigwa kila siku na watu hawasemi jambo!
Sikutegemea Ukraine dunia itaamka hivi!
Acha wauane
 
MWANAUME KAMILI HUWA HAPIGI MIKWARA YEYE ANGESHAMBULIA UKRAINE AFU ASUBIRI ATAKAEINGILIA

HANA LOLOTE
Mwanaume huwa anaishi katika kauli zake! Putin ni kidume aliweka mstari ulipovukwa tu kaninyooshea mrembo na anahitaji viherehere wengine wajitokeze
 
Mmeshaanza kujitiisha huruma View attachment 2130215
Kipigo ni heavyView attachment 2130306View attachment 2130307View attachment 2130308View attachment 2130309
Screenshot_2022-02-24-22-01-23-067_com.miui.gallery.jpg
 
Thread: Vladimir Putin Responds To Kenya Over UN Remarks. #UkraineRussiaCrisis

•Russian President Putin has rubbished the remarks by Kenya’s Permanent Representative to the UN as that of a young boy trying to shake a baobab tree but only ends up shaking his own buttocks.•
Hahahahahah kwahio huyo mkenya anahisi Putin anatingisha matako? Ngoja awatumie ka drone kamoja hapo Nairobi akili iwakae sawa.
 
Ina maana uonevu wa Marekani huko Libya ndio una halalisha uonevu wa Urusi kwa Ukraine?

Putin ni mgonjwa wa akili, ila vikwazo vikali vya kiuchumi vitamnyoosha yeye na genge lake la wahuni
Putin sio mgonjwa, nyie ndio wagonjwa wa akili!

Mfano mdogo tu majirani tu kupita njia kwenye eneo lako ulilojenga na kufanya uchochoro huwa unakasirika na kufunga njia watu wasikatize kwenye eneo lako! Mtu akipanga biashara yake nje pembezoni mwa nyumba yako ni dhahiri lazma utambalasa kwa kuwa hutaki mtu afanye hivyo kwenye eneo lako.

Ukiielewa hio mifano vyema basi utaelewa kwanini Putin amekataa wana Nato kuja kufanya ushenzi wao Ukraine.
 
China anaitaka Marekani ilipe hela zake zote kwa sababu wameuza silaha kwa Ukrain
 
Kauli ya kuseme sisi Waislamu, umeitolea wapi, umeipata kwa nani? Usilete udini katika hili, hakuna tamko la waislam, hapa kila mmoja yupo upande aoona ni sahihi kwa mtazamo wake, hakuna hata mmoja anaepigana kwa ajili ya uislam baina ya hao.

Haya kule yemen wanagombana na saudi arabia mbona majority wanaunga mkono vikosi vya yemen na sio saudia ilipo makkah kabisa!?
Vita ile ya Yemen na Saudi ndani yake kuna Mmarekani anayemsapoti Msaudi, vilevile Mmarekani anamtumia Saudi Arabia kama kivuli ili aendeshe operesheni zake za kuwatafuta wafuasi wa Alqueda. Kwa mujibu ya BBC panorama operesheni hizo za US mpaka sasa zishaua raia 24 wasio na hatia.ICC na BBC waliomba uchunguzi ufanyike ili walio husika wahukumiwe na ICC, US akawawekea vikwazo baadhi ya majaji wa ICC.

Taifa linalo sababisha dunia isiwe sehemu salama ni US refer Iraq,Afghanistan, Libya,Syria nk. Leo Libya limekuwa chaka kubwa la magaidi na kila siku wanazidi kustawi.Leo hii wanadai haki kwa watu waliokufa Ukraine, je watu wasio na hatia waliokufa Iraq,Afghanistan, Syria na Libya haki zao watapata lini? Hatuungi mkono vita ila kuna roho zisizo na hatia zilizo kufa Libya, Iran,Iraq na Afghanistan zinadai haki zao.
 
Putin kasha sema atakayeingilia atambaka bila mafuta
Atapata kichapo cha historia. Bidden mwenyewe kabana kende huko anakimbilia kwenye kumsusia urusi tu kwenye vikwazo. Akipeleka kikosi tu ujue kaisha maana atatumiwa vidude hapo hapo Washington DC
 
Kwanini wanapigana tena hawa si walikuwa nchi moja wajameni
Nchi moja ila Ukraine inataka kuingiliwa na Mamluki wa Nato wanaokuja ku plant mbegu ya fujo! Putin amekataa Ukraine kuungana na Nato maana ndio ingekuwa mlango wa kuja kuiharibia kama taifa. Nato wakalazimisha hilo Putin kasema isiwe tabu anaichukua Ukraine kabisa iwe chini yake anairudisha kuwa sehemu ya Russia
 
Sisi waafrika n wajinga Sana

Marekan alikuja hapa Africa akamuua muhamad gadafi lakini hakuna aliyepiga kelele

Leo wazungu wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe eti tunakuwa na huruma na kupiga kelele Kama jibwa kinalohtaji bwana

Kama tungekuwa tunapendana nadhan tungeungana kumpigania gadafi

WAAFRIKA AKILI ZETU TIMESHIKIWA NA WAZUNGU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
"Akili za kuambiwa changanya na zako" maono ya Gadafi aliwaza mbali .... Afrika iungane na iwe kitu kimoja.
Yeye dhamira yake ilikuwa hiyo ila taifa lake lilikuwa imara kiuchumi.

Sisi tutaendelea kuwapiga akila Al shabab akina makundi ya akina ADF na yale ya muunganoi unaoongozwa na waasi wa Tigray.

Sisi tutaendelea kufanya mazoezi na kuweka ulinzi imara ndani ya mipaka ya nchi zetu.
 
Back
Top Bottom