RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Kuna uthibitisho kuhusu huo ugonjwa wa akili?Putin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.