Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Putin amerukwa na akili....

Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..

Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.

Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Form four division 0 zero ni kazi sana. Hivi vyakula vya kizungu vinaharibu akili watu wanakuwa mazezeta sana.
 
Sisi waafrika n wajinga Sana

Marekan alikuja hapa Africa akamuua muhamad gadafi lakini hakuna aliyepiga kelele

Leo wazungu wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe eti tunakuwa na huruma na kupiga kelele Kama jibwa kinalohtaji bwana

Kama tungekuwa tunapendana nadhan tungeungana kumpigania gadafi

WAAFRIKA AKILI ZETU TIMESHIKIWA NA WAZUNGU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20220224-130655_Instagram.jpg
 
Russia akisogelea [emoji631] tu jamaa wanahaha na kupeleka manowari kama yote

Ila USA anataka kila mahali awepo
Anavamia anapoona sawa bila kujali masikini watapata wapi mlo wao

Putin mwamba na hawamfanyi kitu na atairudisha USSR mda sio mrefu na hiyo ndio ndoto zake

Hakuna vita y dunia hapa ila wanaelewana vizuri
 
kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia ........sijui mtapitaje hapa....

kwa kifupi media zilizo africa,ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahil...
Putin ni Simba aliekuwa amelala tu anaskilizia vishindo vya fisi(NATO) na ndege joni (USA) mzee wa kuvizia wanyonge na kuwatibua na kula windo kilaini.

Sasa umefikia wakati simba kaamua aamke aanze kudili na fisi na ndege joni wanaoleta mchezo kwenye territory yake.
 
Raisi wa urusi leo ameamuru vikosi vyake kuishambulia ukraine tayari watu sita katika shumbulio hilo wamepoteza maisha

Aidha kutokana na vita hiyo kuanza tuanaomba ubalozi wetu utupe taarifa ya raia wetu waliopo nchini ukraine ni hatua zipi wamefanya kuhakikisha usalaama wao na penginepo kurudi nchini.

Hiki ndicho kinachoendelea hivi sasa nchini ukraine.

 
Putin amerukwa na akili....

Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..

Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.

Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Hahahahah raia wenye akili wanajua bila Putin dunia sio salama
 
Safi wapigwe maana wao NAto ndio wamefikisha vita hapo. Walikua na room ya kuzuia njia yoyote ya ukraine kutaka kujiunga kwao.

Uzuri vita ya sasa itakua ni mabomu tuu.

Madalali wa magomeni tujiandae kupangisha wazungu kina rambo[emoji3]
Para ya mwisho dahhh [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom