Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu; Ni kweli Uwezekano huo (3rd. World war) upo na sote kwa namna moja au nyingine tutahusika na kuathirika vibaya sana. Hakuna vita nzuri hata siku moja. Vita ni Watu wanauana , Mali zinateketezwa au kuharibiwa, Uchumi wote unaelekezwa kwenye suala la Silaha, Magonjwa ya mlipuko hutokea, n.k. n.k. Mashule yatafungwa, Maofisi yatasitisha huduma etc.etc..Yaani Kila baya na ovu hutamalaki.Hana uwezo wa kutawala dunia, Yeye kama Superpower amefanya nini alipowekewa vikwazo?
Putin amefanya nini kwa ustawi wa dunia? Dunia ya wastaarabu hawapendi vita ndio maana wanamuona kama kichaa mmoja, Unafikiri US na NATO wakiingia nini kitatokea? Vita ya Dunia ya 3.
Dunia ya wastaarabu hawapendi Vita my foot , ilikuaje kuaje mpaka Libya nchi ikiyokuwa imenyanyuka kiuchumi Africa ikageuzwa kuwa mji wa magofu (majumba chakavu) vipi kuhusu Iraq na Saddam Hussein, Au ndio ile mtenda akitendwa !? Kaeni kwa kutulia ubaya mliuanza nyinyi wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]Hana uwezo wa kutawala dunia, Yeye kama Superpower amefanya nini alipowekewa vikwazo?
Putin amefanya nini kwa ustawi wa dunia? Dunia ya wastaarabu hawapendi vita ndio maana wanamuona kama kichaa mmoja, Unafikiri US na NATO wakiingia nini kitatokea? Vita ya Dunia ya 3.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] my ribs daahhhVita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
we unaakili kuwa shinda warusi walio muweka pale una akili kulishinda bunge la urusi lililo mruhusu kutumia jeshi nje ya nchi yao ikibidiPutin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Tatizo ana kula sana ugali huyo [emoji16][emoji16][emoji16]Form four division 0 zero ni kazi sana. Hivi vyakula vya kizungu vinaharibu akili watu wanakuwa mazezeta sana.
Not a cake walk jobTutaipiga Marekani mpaka isambaratike
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91]Bora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasted sperm huyo achana nae [emoji16][emoji16]we unaakili kuwa shinda warusi walio muweka pale una akili kulishinda bunge la urusi lililo mruhusu kutumia jeshi nje ya nchi yao ikibidi
?
Oiyeyai. Shyeee! Sisi tutabaki ni wa kutoa nguvu-kazi😭Hahaaa...kwa teknolojia ipi, uzalendo, upi na uchumi upi hasa tulio nao hadi Africa tuwe superpowers [emoji848][emoji16]
Hao raia ndio wamemuweka hapo,Bunge la Russia limemruhusu Putia kutumia jeshi ila wewe uliyepo huko Kibaigwa ndio unaumia na unajua zaidi sio?Putin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
bunge la urusi halina tofauti na bunge la Tanzania.we unaakili kuwa shinda warusi walio muweka pale una akili kulishinda bunge la urusi lililo mruhusu kutumia jeshi nje ya nchi yao ikibidi
?
Kwa hiyo na sisi watz ni mandezi kwa kukubali ccm ituburute miaka yote?Putin ni tishio kwa dunia,
Ndio maana wakati wote hataki kuondoka madarakani, Ila wa Russia wote ni ndezi tu, mtu mmoja anakuwaje na nguvu namna hiyo? Yaani hata alipompa madaraka ya urais Medvedev ulikuwa ni uhuni tu, bado yeye ndio alikuwa mtawala.
Kama dunia haitaki vita,hizo silaha zinazotengenezwa kila siku na akiongoza marekani ni za nini kama sio kwa ajili ya vita??Hana uwezo wa kutawala dunia, Yeye kama Superpower amefanya nini alipowekewa vikwazo?
Putin amefanya nini kwa ustawi wa dunia? Dunia ya wastaarabu hawapendi vita ndio maana wanamuona kama kichaa mmoja, Unafikiri US na NATO wakiingia nini kitatokea? Vita ya Dunia ya 3.