Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Hahaaa...kwa teknolojia ipi, uzalendo upi na uchumi upi hasa tulio nao hadi Africa tuwe superpowers [emoji848][emoji16]Vita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
Form four division 0 zero ni kazi sana. Hivi vyakula vya kizungu vinaharibu akili watu wanakuwa mazezeta sana.Putin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Safi wapigwe maana wao NAto ndio wamefikisha vita hapo. Walikua na room ya kuzuia njia yoyote ya ukraine kutaka kujiunga kwao.
Uzuri vita ya sasa itakua ni mabomu tuu.
Madalali wa magomeni tujiandae kupangisha wazungu kina rambo[emoji3]
Hatimae wazee wa kupiganisha leo mmeotea mkeka😂Tutaipiga Marekani mpaka isambaratike
Mi naona wapasuane tu tuanze upya! Huenda tutampata Nyerere mwengine hapa kwetu😂USA na NATO kuweni na utu. Msimvimbishie misuli Russia mkaanzisha vita ya 3 ya dunia. Endeleeni na vikwazo na kumbinya kwa namna za kiuchumi. Dunia bado inahitaji maisha.
Akishoboka tu imekula kwa dereva😂Hapa kinachotafutwa ni kuiondoa USA kwenye usupapowa. Hii ni njama ya China na Mrusi
Putin ni Simba aliekuwa amelala tu anaskilizia vishindo vya fisi(NATO) na ndege joni (USA) mzee wa kuvizia wanyonge na kuwatibua na kula windo kilaini.kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia ........sijui mtapitaje hapa....
kwa kifupi media zilizo africa,ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahil...
Hahahahah raia wenye akili wanajua bila Putin dunia sio salamaPutin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Bora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete😂😂😂Ikikomaa hii vita, kuna watu toka nchi zilizo vitani tutawapokea Africa kwa wingi.
Para ya mwisho dahhh [emoji16][emoji16][emoji16]Safi wapigwe maana wao NAto ndio wamefikisha vita hapo. Walikua na room ya kuzuia njia yoyote ya ukraine kutaka kujiunga kwao.
Uzuri vita ya sasa itakua ni mabomu tuu.
Madalali wa magomeni tujiandae kupangisha wazungu kina rambo[emoji3]
Long live comred Putin [emoji123]kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia ........sijui mtapitaje hapa....
kwa kifupi media zilizo africa,ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili...
Aidha kutokana na vita hiyo kuanza tuanaomba ubalozi wetu utupe taarifa ya raia wetu waliopo nchini ukraine ni hatua zipi wamefanya kuhakikisha usalaama wao na penginepo kurudi nchini.