Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Mkuu; Ni kweli Uwezekano huo (3rd. World war) upo na sote kwa namna moja au nyingine tutahusika na kuathirika vibaya sana. Hakuna vita nzuri hata siku moja. Vita ni Watu wanauana , Mali zinateketezwa au kuharibiwa, Uchumi wote unaelekezwa kwenye suala la Silaha, Magonjwa ya mlipuko hutokea, n.k. n.k. Mashule yatafungwa, Maofisi yatasitisha huduma etc.etc..Yaani Kila baya na ovu hutamalaki.

Hebu fikiria tu ile ya Uganda vs Tz ilikuwa ni kuleee Kagera kwendelea huko...mbele huko....( ref.point yangu Nikiwa huku Umasaini kusini) Lakini tuliathirika mpaka huku kwetu Umasaini. Kwa hiyo tusione eti Ah! ni huko mbali sana Ukraine na Urusi. By the way, kwa wengine hiyo nayo ni FURSA. Tumwombe sana Mungu hilo atuepushie - Amina.
 
Dunia ya wastaarabu hawapendi Vita my foot , ilikuaje kuaje mpaka Libya nchi ikiyokuwa imenyanyuka kiuchumi Africa ikageuzwa kuwa mji wa magofu (majumba chakavu) vipi kuhusu Iraq na Saddam Hussein, Au ndio ile mtenda akitendwa !? Kaeni kwa kutulia ubaya mliuanza nyinyi wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]

Mlianza wenyewe kumpa silaha Ukraine huku mkijaza upepo kuwa mtamsaidia kumpiga urusi Leo hii mmekua wamependa amani Tena !? Lol [emoji16][emoji16]
 
Vita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] my ribs daahhh

Utaniua kwa kicheko [emoji119][emoji119][emoji119]
 
we unaakili kuwa shinda warusi walio muweka pale una akili kulishinda bunge la urusi lililo mruhusu kutumia jeshi nje ya nchi yao ikibidi
?
 
Hao raia ndio wamemuweka hapo,Bunge la Russia limemruhusu Putia kutumia jeshi ila wewe uliyepo huko Kibaigwa ndio unaumia na unajua zaidi sio?
 
Kwa hiyo na sisi watz ni mandezi kwa kukubali ccm ituburute miaka yote?
 
Kama dunia haitaki vita,hizo silaha zinazotengenezwa kila siku na akiongoza marekani ni za nini kama sio kwa ajili ya vita??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…