Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”


facts
 
Kamuulize sadam Husain na gadaf waliishia wapi baada ya propaganda zao !
Mmoja kala kitanzi mpaka kashusha mzigo , mwingine aliishia kwenye mtaro wa maji taka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wew kangamoko warusi sio waarabu hizo ak47 ni zao Sasa unawalinganisha na Hao wafuga ndevu
 
Bora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utadhani mrussia anamjibu mmarekani. Ushabiki 😂😂😂
 
Wew kangamoko warusi sio waarabu hizo ak47 ni zao Sasa unawalinganisha na Hao wafuga ndevu
Watu hawamjui mrussi , huyo ndio kwanza kupeleka mtu sayari za mbali..
Kwenye hacking ndio anaongoza kwa mashambulizi ya mitandaoni yanayofanikiwa.
Sema wote weupe ingekuwa ni weupe na colored kama jews nk. hii vita ingeondoka na mamilioni.
 
Hiv kwanini sisi waislamu huwa tunawaunga mkono warusi na waarabu?

sisi WAISLAMU tumewahi kusaidiwa nini na WAARABU au Warusi?
angalia vita zote marekani ndio wanatoa msaada, hivi tunajielwa kweli?>
 
Ww unawatukana wa Russia wakati ww kwa jpm hata kumkosoa akikosea ulikuwa unaogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…