Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka dau😅Kwani pale Syria ilikuwaje? Mmarekani akafanyeje? Assad akafanyweje na USA?
Kila mbabe ana mbabe wake.....
Russia wako vizuri tactically, na wanasibiri kwa hamu kubwa the giant ajiigize kichwakichwa, wam- Goliath
Safi wapigwe maana wao NAto ndio wamefikisha vita hapo. Walikua na room ya kuzuia njia yoyote ya ukraine kutaka kujiunga kwao.
Uzuri vita ya sasa itakua ni mabomu tuu.
Madalali wa magomeni tujiandae kupangisha wazungu kina rambo[emoji3]
Kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.
Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.
Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.
Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.
"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.
Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.
Long live Vladimir Putin Chuma.
Wew kangamoko warusi sio waarabu hizo ak47 ni zao Sasa unawalinganisha na Hao wafuga ndevuKamuulize sadam Husain na gadaf waliishia wapi baada ya propaganda zao !
Mmoja kala kitanzi mpaka kashusha mzigo , mwingine aliishia kwenye mtaro wa maji taka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Bora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhani mrussia anamjibu mmarekani. Ushabiki 😂😂😂Dunia ya wastaarabu hawapendi Vita my foot , ilikuaje kuaje mpaka Libya nchi ikiyokuwa imenyanyuka kiuchumi Africa ikageuzwa kuwa mji wa magofu (majumba chakavu) vipi kuhusu Iraq na Saddam Hussein, Au ndio ile mtenda akitendwa !? Kaeni kwa kutulia ubaya mliuanza nyinyi wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Mlianza wenyewe kumpa silaha Ukraine huku mkijaza upepo kuwa mtamsaidia kumpiga urusi Leo hii mmekua wamependa amani Tena !? Lol [emoji16][emoji16]
Apge mara ngapPut-in analialia,kama anapiga apige tu!
Let them tryLet him come and receive his reward
Watu hawamjui mrussi , huyo ndio kwanza kupeleka mtu sayari za mbali..Wew kangamoko warusi sio waarabu hizo ak47 ni zao Sasa unawalinganisha na Hao wafuga ndevu
Aachwe tu amalizane na wenzake.Russian soldiers have raised the Russian flag over the Kakhovka hydroelectric power plant.
Военный Осведомитель https://t.co/tQv4KhUwBG
Eeheee Sawa!,Kwa iyo Put-in anapiga mtoto,afu analialia watu wazima wenzake wasiingilie!?Apge mara ngap
Hiv kwanini sisi waislamu huwa tunawaunga mkono warusi na waarabu?
Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho.
Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine, Kiev ambapo Putin akanukuliwa akisema: “Kwa yeyote atakayeingilia kutoka nje, atakutana na matokeo ambayo hajakutana nayo katika historia.
Baraza la Usala la Umoja wa Mataifa liliitisha kikao cha dharura Jumatano Februari 23, 2022 mara baada ya Urusi kuanza mashambulizi.
======
After Russian President Vladimir Putin announced he had ordered military action in Ukraine early Thursday, he threatened "those who may be tempted to intervene" on Ukraine's behalf. "Now a few important, very important words for those who may be tempted to intervene in ongoing events from the outside," Putin said.
"Whoever tries to interfere with us, and even more so to create threats to our country, to our people, should know that Russia's response will be immediate and will lead you to such consequences as you have never experienced in your history. We are ready for any development of events. All necessary decisions in this regard have been made. I hope that I will be heard."
The President of the European Council and the President of the European Commission issued a joint statement Thursday condemning Russian military action in Ukraine "in the strongest possible terms."
"Russia is grossly violating international law and undermining European and global security and stability," European Council President Charles Michel and European Commission President Ursula von der Leyen said in the statement.
Source: CNN
Nawastaafu watapata mafao kweliHawa jamaa wanaingia vitani washalipa mshahara wa February au bado?
Ww unawatukana wa Russia wakati ww kwa jpm hata kumkosoa akikosea ulikuwa unaogopaPutin ni tishio kwa dunia,
Ndio maana wakati wote hataki kuondoka madarakani, Ila wa Russia wote ni ndezi tu, mtu mmoja anakuwaje na nguvu namna hiyo? Yaani hata alipompa madaraka ya urais Medvedev ulikuwa ni uhuni tu, bado yeye ndio alikuwa mtawala.