STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
JUST IN | Russia will respond to European and US sanctions in tit-for-tat manner, MFA says
#SputnikUpdates
#SputnikUpdates
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmamaee Putin amewaka,keep on updating us mkuuJUST IN | Russia will respond to European and US sanctions in tit-for-tat manner, MFA says
#SputnikUpdates
Wanamgambo hao ww pimbi si wanajeshiVita si lelema na havina macho!!!
Wanajeshi wa Urusi wakamatwa màteka Ukraine!
Russian soldiers captured by Ukraine.View attachment 2129840
Ndio wamekamatwa Kiev muda huu na helicopter ya Russia imetunguliwa!Wanamgambo hao ww pimbi si wanajeshi
Naona Wamarekani na Warusi wa Tandale mmeshaanza na nyie vita ya maneno 😂😂😂Putin ni tishio kwa dunia,
Ndio maana wakati wote hataki kuondoka madarakani, Ila wa Russia wote ni ndezi tu, mtu mmoja anakuwaje na nguvu namna hiyo? Yaani hata alipompa madaraka ya urais Medvedev ulikuwa ni uhuni tu, bado yeye ndio alikuwa mtawala.
Khaaa upimwe mkojoVita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower
.Vita si lelema na havina macho!!!
Wanajeshi wa Urusi wakamatwa màteka Ukraine!
Russian soldiers captured by Ukraine.View attachment 2129840
Umerukwa na akili wewePutin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Ingieni Ukraine mkatoe msaana nendeni na machuma yenu muonehiyo mbuzi ya Urusi haiwezi mfanya kitu marekani, tatizo inaongea sana wakati wenzie wanamuangalia tu aingie anga zao
ukiona mtu anaongea sana jua hamna kitu, sasa hii mbuzi kila siku iko kwenye TV kupiga mikwara