Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita si lelema na havina macho!!!
Wanajeshi wa Urusi wakamatwa màteka Ukraine!
Russian soldiers captured by Ukraine.
FB_IMG_1645712615189.jpg
 
RUSSIAN FOREIGN MINISTRY SAYS RUSSIA WILL RESPOND TO EUROPEAN AND U.S. SANCTIONS IN TIT-FOR-TAT MANNER - RIA
 
[emoji187] Vladimir Putin: Over the past 30 years we have been patiently trying to come to an agreement with nato regarding the principles of equal and indivisible security in Europe.

[emoji3516] In response, we faced either cynical deception and lies or attempts at pressure and blackmail. https://t.co/vzajHJt94Z
 
Reports from Advisor to the Ukrainian Interior Ministry that Russian armed forces entered the Chernobyl Nuclear Plant zone and that fighting has broken out leading to the destruction of a nuclear waste storage facility.

#Ukraine #Russia
[Knish]
 
Putin ni tishio kwa dunia,

Ndio maana wakati wote hataki kuondoka madarakani, Ila wa Russia wote ni ndezi tu, mtu mmoja anakuwaje na nguvu namna hiyo? Yaani hata alipompa madaraka ya urais Medvedev ulikuwa ni uhuni tu, bado yeye ndio alikuwa mtawala.
Naona Wamarekani na Warusi wa Tandale mmeshaanza na nyie vita ya maneno 😂😂😂
 
[QUOekaniTE="Tajiri Kichwa, post: 41766415, member: 426224"]
Safi wapigwe maana wao NAto ndio wamefikisha vita hapo. Walikua na room ya kuzuia njia yoyote ya ukraine kutaka kujiunga kwao.

Uzuri vita ya sasa itakua ni mabomu tuu.

Madalali wa magomeni tujiandae kupangisha wazungu kina rambo[emoji3]
[/QUOTE]
NATO Marekani na nchi zote za magharibi ni wapumbavu, washenzi na wajinga wakubwa...ndiyo chanzo Cha matatizo yote haya...wako arrogant mno...waliipiga Irak, wakaipiga Serbia wakaenda Libya na kumuua Ghadafi...Sasa walikuwa wanataka kuweka silaha na nyuklia pale Ukraine ili waipige Russia...Sasa wamewahiwa...wamejutana na mwamba mwenzao..
 
Tupe source ya picha na habari yako, Kikundi chochote kinaweza vaa hizo nguo na kuclaim wamewateka russian soldier
 
Putin amerukwa na akili....

Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..

Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.

Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Umerukwa na akili wewe
 
hiyo mbuzi ya Urusi haiwezi mfanya kitu marekani, tatizo inaongea sana wakati wenzie wanamuangalia tu aingie anga zao

ukiona mtu anaongea sana jua hamna kitu, sasa hii mbuzi kila siku iko kwenye TV kupiga mikwara
Ingieni Ukraine mkatoe msaana nendeni na machuma yenu muone
 
Back
Top Bottom