Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

Hakuna msafara wa Urusi ulioteketezwa,achana na propaganda na video game.
Kubadilisha kamanda hakumaanishi aliyekuqwpo kashindwa.
Kumbuka hii Sasa inaanza Ile hatua ya pili na kazi hii mwenye utaalu wake ni huyu bwana.hata kumpa mapumziko TU aliekuwepo mwanzo.
Kumbuka Putin alisema op ya kwanza imefanukiwa sasa inkuja awamu ya pili na askari wengi watakua wapya na ndio hao kwenye msafara.
 
Wengi wamekupongeza bila kufikiri kwa mfano wako.Kumbe ulikuwa hujamuoa wakati huo.Muda huu hata kama yupo jirani nimuone akikenua na mke wangu.
Kama NATO wanataka kucheka na Ukraine basi ama wamchukue kwao au wasubiri nimalizane naye.
 
Kwa mipasho hujambo ningekuwa Putin ningekupiga kwa Bomu la nyuklia la peke yako una shombo mingi sana ww
 
Hivi puttin angeamua kuuwa innocent people tena kwa mabomu kama wafanyavyo marekani na Nato kwenye nchi za kiarabu, i think masaa 72 tu angeshamaliza kazi.
Wanaua watu wengi hata hesabu ni shida kupatikana kwenye matanga na harusi na tume hazileti majibu yoyote na wala haiwi nongwa.Lakini waliokufa kituo cha treni imekuwa shida zaidi.Naamini haikukusudiwa kama anavyofanya Marekani.
 
Wanaua watu wengi hata hesabu ni shida kupatikana kwenye matanga na harusi na tume hazileti majibu yoyote na wala haiwi nongwa.Lakini waliokufa kituo cha treni imekuwa shida zaidi.Naamini haikukusudiwa kama anavyofanya Marekani.
Kweli duniani hatari sana. Kwa iyo Russia anataka kusema vita ikiisha ataweza kukalia Ukraine

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…