Basi ni vyema na haki. Ngoja tuone.
 
Huyo Kichaa hatakiwi kupewa hiyo adhabu, anatakiwa kupelekwa milembe akapate matibabu ya afya ya akili, na akakae sober huko.
Asituletee uwendawazimu wake, afu mamlaka imechelewa kumchukulia hatua huyu Tahira.
Mxxxiiieeew
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ DJ walete!

Nipe final submissions!
 
Sawa.
 
Kupigwa faini na kufungiwa ni kama geresha tu la huyu mwamba kumzidi kupaishwa. Anacheka na upepo vizuri huku akiwapa dawa zao hawa washenzi wanao haribu jamii..

Watanzania sio kwamba wanampotosha wanampa motisha kama msanii pekee aliyejitoa kuwa kioo cha jamii. Hawa wengine wamekalia kulamba miguu na kugeuzwa.

Na hata akikamatwa itaxuka taharuki kwa serekali kukamata mtu anayekemea ujinga

Na kwa taarifa yako mleta mada wewe BICHWA KOMWE - watanzania nao hawako nyuma
Your browser is not able to display this video.
 
Nasubiri Namba ya kumchangia Mamba, M3 ni hela ndogo sana kama faini
 
Kampeni ya Dudubaya inafanikiwa vizuri sana,
Ndio maana kuna milio inatoka kila kona,

Hawa wanuka haja kubwa sio wakuchekewa kabisa,

Dudubaya ndiye msanii anaye trend Bongo kwasasa,
So,kama kuna mtu anaamini kua hiyo faini kwa Dudubaya itamyumbisha,anajidanganya tu,

Y B W Y B
 
Hana madhara yoyote yale.

Ushoga unaweza kudhibitiwa kisheria tu, na sio kwa vibwagizo.

He is just annoying, nothing more.
 
Makerubi wa Tahira wanavyojiliza hii leo, mie huku hoi mbavu sina.
Kwani imekuajee? Mbona ghaflaa sanaa?
Kwani BASATA wamepiga wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hana madhara yoyote yale.

Anakera tu, ni kama lile li inzi la kijani linapodumbukia kwenye juisi.

Na akiendelea ataumiaa. I will be in the fore front to kick his ass.
 
Makerubi wa Tahira wanavyojiliza hii leo, mie huku hoi mbavu sina.
Kwani imekuajee? Mbona ghaflaa sanaa?
Kwani BASATA wamepiga wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ati makerubi! ila wizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Makerubi na maserafi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
Hana madhara yoyote yale.

Anakera tu, ni kama lile li inzi la kijani linapodumbukia kwenye juisi.

Na akiendelea ataumiaa. I will be in the fore front to kick his ass.
Angekua hana madhara tusingesikia hii milio kutoka kila kona,wala huu uzi usingekuwepo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ati makerubi! ila wizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Makerubi na maserafi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
Wizzo we huoni Makerubi wako nginja nginja hapa na vilio vyao, sijui wameguswa wapi na Tahira wao huyo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…