pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Dume hilo mkuu na kuna madume humu huwa yanaingia kingi dailySiamini bana posti zake nyingi zinaonyesha kwamba yeye ni mwanamke
Dume hilo mkuu na kuna madume humu huwa yanaingia kingi dailySiamini bana posti zake nyingi zinaonyesha kwamba yeye ni mwanamke
Sasa toa hoja, unakimbia kimbia nini?Sijatoka nje ya Mada sababu tunachokipigania kisiwe we ndo starehe yako
mamende ndio nini?Na wewe unataka lol mamende mmejaa mnajifanya kupinga kumbe mshadindisha
Mm napenda hiyo profile pikcha ya cocastic na jinsi anavyotoaga hoja zake. Mm naamini ni mwanamkeNa wewe unataka lol mamende mmejaa mnajifanya kupinga kumbe mshadindisha
Na wewe boss🤔Kwanza wasiishie hapo tu, wanatakiwa wampeleke milembe akapate tiba ya afya ya akili na akakae sober,
Ni kichaa yule.
Mie nini?Na wewe boss🤔
Kwani lazima tupewe misaada ardhi ipo, rasilimali zipo na watu wapo. Pia yapo mataifa makubwa kama ya China ambayo hayana hizo falsafa tunaweza tukakopa huko.L = Lesbian — mwanamke anayevutiwa kimapenzi/kijinsia na wanawake.
G = Gay — mtu anayevutiwa na watu wa jinsia yake; mara nyingi hutumika kwa wanaume.
B = Bisexual — mtu anayevutiwa na zaidi ya jinsia moja.
T = Transgender — mtu ambaye utambulisho wake wa kijinsia unatofautiana na jinsia aliyopewa wakati wa kuzaliwa.
Q = Queer au Questioning — neno linalotumiwa na baadhi ya watu kuelezea utambulisho wao wa kijinsia/kimapenzi, au mtu ambaye bado anaujichunguza.
LGBTQ
Huu ni mpango maalum
Mataifa makubwa ndyo agenda zao ,
Sasa kwa baadhi za afrika zinaingia mikataba ya kusaidiwa jambo lolote
Kama inchi Yako inapinga ushoga
Nan atakusaidia kujitegemea hatuezi
Ili nchi ipinge ushoga iwe inajitosheleza kwa Kila kitu kwa asilimia mia Moja
Mimi bnafsi dudubaya kama anapinga ushoga anatwanga maji kwenye kinu labda ana agenda zake
Tanzania ni inchi isiyofungamana na upande wowote kama sikoseiKwani lazima tupewe misaada ardhi ipo, rasilimali zipo na watu wapo. Pia yapo mataifa makubwa kama ya China ambayo hayana hizo falsafa tunaweza tukakopa huko.
Hamna .🐓Mie nini?
Ouk sawa!!Hamna .🐓
Ndio maana tunapigania demokrasia ya kweli siyo mauzauza kama ya 2025. Wananchi tuwe na uwezo wa kuchagua viongozi tunaowataka.Tanzania ni inchi isiyofungamana na upande wowote kama sikosei
Ardhi ipo ,rasilimali zipo, na watu wapo.hao VIONGOZI unao ? Hao VIONGOZI Wasikope kweny ushoga wakakope china unao?
Mradi wa kilimo - BBT imeishia wapi zilitumika fedha kias gan?
Kuhusu ushoga na usagaji
Linda watoto wako kwa nguvu zote .
Bnafsi sion serikali ikipinga jambo hili
Ukishafeli watch your back, lazima umuone dudu baya ni mbaya.Nilikuwa najiuliza hivi huyu mjaa laana wochi bela baki kaitolea wapi hii laana ya kufeli maisha na muziki?
Ndugu mwanajamiiforums, hebu jisomee hapa 👇👇
Huyu shujaa wa mataahira toka kitambo yeye anasingizia anaonewa mara sijui amerogwa! Mwisho wa siku kamkata sikio mama yake na panga.
Hakuna laana mbaya kama ya mzazi, ukishalaaniwa lazima uwe chizi jumla. Ni moja kwa moja mirembe.
Huyu wochi bela baki hata afanye nini, hawezi kujiokoa na laana ya mama yake. Mwisho wake ni jela tu. Muziki wenyewe hajui, anaimba matakataka tu. Hana hits, wala hana mvuto wa kisanii.
Bado kidogo atameza ndoano ile yenyewe kabisa. Amelaaniwa, hana kibali na radhi ya mama yake mzazi. Amekataliwa mbinguni na duniani.
Jela inamuhusu huyu mshamba wa misungwi. Akishamaliza kutumikia adhabu ya Basata tutambeba mzobe mzobe tukamsondeke jela ya walevi.
Hakuna kupoa. Wazungu wanasema haipoi wala haiboi. Bendera chuma, mlingoti chuma.
Wachi bela baki - yu bela wachi yua baki - linda mgongoHi! Whats'up? Wochi bela baki?
Sasa basi, kufuatia hii hamasa ya kulinda migongo iliyoanzishwa na yule jamaa, ninaomba kujuzwa mambo kadhaa:-
Naomba wale manguli wa ushoga wanijibu maswali haya kwa ufasaha:-
1. Huu ulindwaji wa migongo unafanyikaje? Kwa kutumia mbinu gani? Unaziba na kizibo au unachomeka magunzi?
2. Kabla ya ujio wa hichi kibwagizo cha kulinda migongo, watu walikuwa hawalindi migongo yao? Na kama walikuwa wanalinda, kipi kimebadilika wakati huu? wanataka kupaziba kabisa na moto wa gesi? Na kama walikuwa hawalindi migongo yao, kwanini?
3. Nani atasimamia huu ulinzi wa migongo? wochi bela baki mwenyewe au wafuasi wake?
4. Kama mtu asipolinda mgongo wake, nini kitatokea? Je, ataadhibiwa na wochi bela baki?
Naomba nijibiwe haya maswali kwa ufasaha wa hali ya juu sana.
Karibuni sana manguli wa ushoga kwa majibu yenu.
Cc: Tlaatlaah
Tayari exhaust ishatoboka ,hakuna namna tena.Ukishafeli watch your back, lazima umuone dudu baya ni mbaya.