Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata
Watanzania wanaojua maana na ujinga wa mapunga wanamuelewa sana Dudu baya, wanajua kuwa tuko ruhusu Ufuska uendelee tuta haribu generation
 
..
 

Attachments

  • Screenshot_20260926_025840_Instagram.jpg
    Screenshot_20260926_025840_Instagram.jpg
    135 KB · Views: 9
Kati ya Dudubaya na Machoko ni nani asiyetii sheria? Ushoga ni kosa kisheria,
Kwahiyo machoko wao kutafunwa wanatii sheria?

Dudubaya hawezi kurudishwa nyuma wala kutiwa uoga kwa uzi wa JF,

Bila shaka umemjua Dudubaya hivi karibuni tu,huyo jamaa kisha kaa sana Polisi,kisha kaa sana Jela,hakuna jipya kwake lakumtisha,

Wanao muunga mkono ni wengi kuliko wanao mpinga,

Y B W Y B
Wadau wameanza kumchanga.
Ustadhi Juma Namusoma kasema amlioia fini ote endapo atataka Mamba24 mwenyewe.
Ali Kamwe kaanza kumchangi .

View: https://www.facebook.com/share/v/1MwjPM8rfQ/
 
Hivi dudu anakukera nini ewe member? Umemshikia bango na kumfungia kibwebwe! Mtavurugwa mpaka mkome, ndio kaamua kuwasanua
 
Kazeeka? Unamkandia dudu ni mzee wakati ni kijana mdogo yule. Mzee gani anakula sahani moja na nyie? Ndio kaamua kuwapa za uso
 
Binafsi sijawahi kuona shoga, nasoma wakiandikwa ni wanaume wanaodinywa. Tena mashoga ya wakati huu yako vizuri kiuchumi na yanamiliki vitu vizuri, ni masomi, si hohehahe, yanafanya kazi nzuri na wako samart. Inasemekana wako mpaka ngazi kubwa za maamuzi wana vyeo na madaraka katika jamii huwezi kuwagusa kindezi watakumaliza asubuhi tu. Ishu ni kwamba serikali haiwezi kuwashupalia, itaonekana inakanyaga haki za binadamu kwa wahisani na wafadhili mataifa yanayoshadidia ushoga. Itanyimwa misaada na kusemwa vibaya kuwa haijali haki za binadamu. Serikali inaogopa kujiingiza kupinga ushoga kwa hofu kuwa haijali watu wa mapenzi ya jinsia moja, huo ni msala mkubwa sana. Dudu baya aendelee kimpango wake, yatakayomkuta atajua mwenyewe
 
Nakupa huu ushauri wewe Kaka yangu wochi bela baki. Si kwamba nakupenda sana au nakujali, la hasha. Natoa tu indhari kwako.

Mimi ni mmoja wa watu wanaotamani kuona unaadabishwa vikali na kukomeshwa ili uache ujinga na ulevi. Na mwisho kabisa upelekwe Hospitali ya Taifa ya Mirembe kwa matibabu zaidi ya akili yako iliyoathiriwa na madawa ya kulevya.

Back to the major point, hawa watu wachache wanaokujaza na kukupampu bichwa lako la wochi bela baki huko mitandaoni, hawakukuunga mkono kwenye mahangaiko yako ya muziki toka ulivyopigwa pini mwaka 2006.

Hao watu wanaojifanya wanakuunga mkono kwenye hii vita yako uchwara ya usenge isiyo na kichwa wala miguu iliyojaa udhalilishaji na ulevi, hawakukuunga mkono kwenye muziki wako uliododa.

Sababu kuu ni moja tu, muziki wako ni mbaya. Wewe hauna kipaji chochote kile. Unaimba matakataka, hauna hits wala hauna mvuto wa kisanii. Umechoka, umezeeka, umepitwa na wakati.

Mbwembwe na vibwagizo vya wochi bela baki haviwezi kukuokoa na dhahma iliyo mbele yako. Ulevi na visungura ndio hatma yako iliyobaki.

Umeshapoteaaa, hakuna anayekujua, wala hakuna anayekujali. Wanakudanganya kwa sababu umewasisimua na kitu wanachokiogopa sana. Umewatia mihemko wanayoipenda kwenye suala zima la udaku.

Hao wanaokujaza bichwa lako hilo wako mtandaoni tu. Huku kwenye ground utakutana na sisi, na tutakuadabisha.

Hatutajali kama wewe ni mzee au umelewa. Utaadabishwa vilivyo bila maskhara.

Endelea kutii sheria, kuwa na nidhamu na ujiepushe na vibwagizo vya kilevi.

Cc: Lamomy cocastic secretarybird Nelly
Mwache mamba awashughulikie mashoga. Wewe kinakuuma nini au wewe ni balozi wa mashoga?
 
Nilikuwa najiuliza hivi huyu mjaa laana wochi bela baki kaitolea wapi hii laana ya kufeli maisha na muziki?

Ndugu mwanajamiiforums, hebu jisomee hapa 👇👇


Huyu shujaa wa mataahira toka kitambo yeye anasingizia anaonewa mara sijui amerogwa! Mwisho wa siku kamkata sikio mama yake na panga.

Hakuna laana mbaya kama ya mzazi, ukishalaaniwa lazima uwe chizi jumla. Ni moja kwa moja mirembe.

Huyu wochi bela baki hata afanye nini, hawezi kujiokoa na laana ya mama yake. Mwisho wake ni jela tu. Muziki wenyewe hajui, anaimba matakataka tu. Hana hits, wala hana mvuto wa kisanii.

Bado kidogo atameza ndoano ile yenyewe kabisa. Amelaaniwa, hana kibali na radhi ya mama yake mzazi. Amekataliwa mbinguni na duniani.

Jela inamuhusu huyu mshamba wa misungwi. Akishamaliza kutumikia adhabu ya Basata tutambeba mzobe mzobe tukamsondeke jela ya walevi.

Hakuna kupoa. Wazungu wanasema haipoi wala haiboi. Bendera chuma, mlingoti chuma.
 
Nilikuwa najiuliza hivi huyu wochi bela baki kaitolea wapi hii laana ya kufeli maisha na muziki.

Ndugu mwanajamiiforums, hebu jisomee hapa mwenyeweJamiiForums Tanzania
Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Huyu shujaa wa mataahira &!toka kitambo yeye anasingizia anaonewa mara sijui amerogwa! Mwisho wa siku kamkata sikio mama yake na panga.

Hakuna laana mbaya kama ya mzazi, ukishalaaniwa lazima uwe chizi jumla. Ni moja kwa moja mirembe.

Huyu wochi bela baki hata afanye nini, hawezi kujiokoa na laana ya mama yake. Mwisho wake ni jela tu.

Bado kidogo atameza ndoano ile yenyewe kabisa. Huyu haponi kabisa na hii dhahma.

Amelaaniwa, hana kibali na radhi ya mama yake mzazi.

Jela inamhusu huyu mshamba wa misungwi.

Dudu baya hamwezi mchafua nyie mabwabwa. HATA MFANYAjE YEYE NI OIL CHAFU. ANAWAPIGA VITA NASI TUNAMUUNGA MKONO HATUTAKI MIBWABWA HAPA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom