Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata
Very contradictory presentation.
Unamuita yeye ni victim and unasema yeye anawashambulia wengine anaohisi ni victims kama yeye.
So what is the purpose ya victim kushambulia victims wengine?
Mnaompinga Dudubaya mnajichanganya sana.
Mimi nafikiri nyinyi kama mmeamua kuendelea kuffirwa mngeendelea tu bila kujitetea sana. Maana the more mnajitetea ndivyo mnazidi kujichoresha.
Ndio maana akasema kama huna degree 2 za saikolojia usiguse comment yake, ningekueleza kisomi zaidi lakini naona haina maana inawezekana hata na wewe ni victim nikakuzidishia machungu
 
Ndio maana akasema kama huna degree 2 za saikolojia usiguse comment yake, ningekueleza kisomi zaidi lakini naona haina maana inawezekana hata na wewe ni victim nikakuzidishia machungu
Unaelewa hata impact ya Degree moja ikoje?
Au unajikuta unataja taja degree 2.
 
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili

Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?

BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?

Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa

Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
Kwani Sir100 anasemaje?
 
Sisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna anavyowafikiria na kuwaunganisha kwenye trauma yake kama moja ya victims.

Alipitia trauma ambayo imemfanya kuwa victim wa kitu fulani, na hakupenda huo u-victim. Hivyo akihisi kuna victim mwingine na anamfaham basi anamuattack ili kuidanganya akili yake kwamba yeye sio victim, sababu akimuona huyo anaedhani ni victim wa kitendo hicho basi hujiona yeye pia, hivyo anasuppress hio hali kwa kumuattack victim akidhan kichwani mwake anajipa ahueni.

Pia ni mtu ambae guilty conscience inamsumbua.
Hivi ulishawahi kurudi nyumbani ukiwa umeacha mtoto mdogo, kumbe kipindi haupo alidokoa mboga na pale unaporudi hata kabla hujagundua anaanzanza kujisemea "Yaan mimi hata sijaiba mboga". That's guilty conscience at action. Refer 2018 au 19 hivi pale alipojidae eti na yeye anatoa list ya mashoga, why? How? Kawajuaje? Mambo ya sirini watu wanafanya private kayasikiaje kama nae sie mwenzao au aliwahi kuwa mwenzao?

So dudu ana combination ya Trauma na Guilty conscience. Inawezekana alikua victim kwa kuliwa mara ya kwanza ikoje na kuanzia hapo akapata hio Trauma na Guilty conscience ambayo ndio inajimanifest hapa.

Hio anayoita vita dhidi ya ushoga ni vita dhidi ya watu anaodhani ni victims wenzie, na kwa kuwa haupendi huo u-victim basi inaforce reactions anazozitoa hapo.

By the way kama hauna degree 2 za saikolojia usicomment hapa
Anafanya kitu kinachoitwa Self-projection.

He is at war with his inner self.
 
CHADEMA ni moja ya taasisi ambayo kwa nyakati tofauti imekuwa mhanga kwa watu wa CCM kuishutumu kwamba inaunga mkono masuala ya jinsia, bila uthibitisho wowote wa shutuma hizo.

Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya makada wa CHADEMA, ambao kwa kuelewa jinsi hizi shutuma zilivyokuwa zinaelekezwa kwa chama chao kwa propaganda za wapinzani wao wa kisiasa, kumuunga mkono Dudubaya na kampeni yake ya "linda mgongo wako" ambayo lengo ni kushutumu watu bila uthibitisho wowote unaoendana na shutuma hizo. Hauwezi kushutumua mtu kwa mambo hayo kisa muonekano, sauti, ongea, tembea, nk.

Mambo haya yanayosemwa yamekuwa makubwa ndani ya uangalizi wa serikali za CCM. Hakuna chama kingine chochote kilichowahi kutawala Tanzania kwa miaka 40 iliyopita. Leo CCM wanatumia vichaa kuwatupia lawama wengine wakati jukumu la kulinda maadili na ustawi wa taifa limekuwa kwenye mikono yao miaka yote hii. Kama kuna wa kuwalaumu ni wao.

Kisheria jukumu la kuthibitisha shutuma lipo kwa mtoa shutuma. Hauwezi kumshutumu mtu kwa jambo fulani halafu ukamwambia athibitishe kama yuko innocent kwa shutuma unazompa. Ni jukumu lako wewe mtoa shutuma kuthibitisha hicho unachomshutumu nacho. Labda kama hatuishi kwenye utawala wa sheria na badala yake tunaishi kama "barbarians".

Miaka ya 1970's katikati ya vita baridi ya dunia, kuna mwanasiasa mmoja Marekani alikuwa anajulikana kama Joseph McCarthy. Huyu alikuwa maarufu kwa kuanzisha vita dhidi ya wanasiasa na baadae watu wengine maarufu ambao walionekana kuwa na milengo ya kikomunist. Ilikuwa ukipachikwa tu tuhuma za kuwa "communist sympathizer", ujua kila aina ya uchunguzi utakuhusu. Hili jambo likatumika kama chaka la kuwasumbua na kuwamaliza watu wote ambao walionekana kwenda kinyume cha milengo ya kisiasa ya watawala. Ukomunisti ulitumika tu kama tope la kuwachafua ili kuwanyamazisha.

Huyo Dudubaya, mnampa mtaji wa kisiasa ambao unakata kuwili. Unaweza kuwa una hisia kali kwenye kulinda hadhi ya wanaume ila unajisahau huyo unayempa nguvu za kukusemea ni silaha ya maangalizi inayoandaliwa na watu usiowajua. Kesho anategemewa kuja kutoa shutma nzito dhidi ya watu au taasisi fulani au yoyote kwa kutumwa na watu hao wenye agenda zao za kisiasa na utajikuta uko kwenye dilemma ya kuendelea kumtetea au kumkemea. Ikifika wakati huo, hata ukimpinga, sauti yako haitakuwa na nguvu tena ya kupambana naye au kumnyamazisha maana ni wewe mwenyewe utakuwa umemjenga na kumpa hilo rungu la kumuangamiza yoyote yule.

PS. Tanzania hili suala tunaliendea kimhemko sana na limejaa unafki mwingi. Kwa mfano, wengi wanadhani sh*** ni yule tu anayefanywa ila wengi wanamchukulia anayefanya ni rijali na mwanaume kamili. Kwa hiyo hata mtaani, kauli za kutishia kumfanya mwanaume mwenzio zinachukuliwa za kishujaa na za kiuanaume wakati kimsingi hazionyeshi tofauti na hao mas**** unaowachukia.
 
Kuwa na haki ya kugeuzwa sio kigezo cha kusapoti hiyo tabia kwa watoto wadogo hasa wasio kuwa na upevu wa akili kujua madhara ya kufanya huo ujinga.

Hata msomi mwenye kujali haki hawezi kubali upumbavu huu wa kusema uhuru wa mtu uende kuharibu watu innocent.
. Unajua nguvu ya ushawishi wewe?
Sasa unamwambia yeye ndie Pedo? hao mapedo si ndio nyie nyie na wajomba zenu, hebu huko na wewe, unashindwa kupambana na hao mabasha ambao ndio nyie nyie mnakuja kuattack kundi moja, mashoga wanajifira wenyewe???
 
Hi! Whats'up? Wochi bela baki?

Sasa basi, kufuatia hii hamasa ya kulinda migongo iliyoanzishwa na yule jamaa, ninaomba kujuzwa mambo kadhaa:-

Naomba wale manguli wa ushoga wanijibu maswali haya kwa ufasaha:-

1. Huu ulindwaji wa migongo unafanyikaje? Kwa kutumia mbinu gani? Unaziba na kizibo au unachomeka magunzi?

2. Kabla ya ujio wa hichi kibwagizo cha kulinda migongo, watu walikuwa hawalindi migongo yao? Na kama walikuwa wanalinda, kipi kimebadilika wakati huu? wanataka kupaziba kabisa na moto wa gesi? Na kama walikuwa hawalindi migongo yao, kwanini?

3. Nani atasimamia huu ulinzi wa migongo? wochi bela baki mwenyewe au wafuasi wake?

4. Kama mtu asipolinda mgongo wake, nini kitatokea? Je, ataadhibiwa na wochi bela baki?

Naomba nijibiwe haya maswali kwa ufasaha wa hali ya juu sana.

Karibuni sana manguli wa ushoga kwa majibu yenu.

Cc: Tlaatlaah
 
Back
Top Bottom