Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata
Sisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna anavyowafikiria na kuwaunganisha kwenye traumikolojia usicomment hapa
📌📌
 
Sisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna anavyowafikiria na kuwaunganisha kwenye trauma yake kama moja ya victims.

Alipitia trauma ambayo imemfanya kuwa victim wa kitu fulani, na hakupenda huo u-victim. Hivyo akihisi kuna victim mwingine na anamfaham basi anamuattack ili kuidanganya akili yake kwamba yeye sio victim, sababu akimuona huyo anaedhani ni victim wa kitendo hicho basi hujiona yeye pia, hivyo anasuppress hio hali kwa kumuattack victim akidhan kichwani mwake anajipa ahueni.

Pia ni mtu ambae guilty conscience inamsumbua.
Hivi ulishawahi kurudi nyumbani ukiwa umeacha mtoto mdogo, kumbe kipindi haupo alidokoa mboga na pale unaporudi hata kabla hujagundua anaanzanza kujisemea "Yaan mimi hata sijaiba mboga". That's guilty conscience at action. Refer 2018 au 19 hivi pale alipojidae eti na yeye anatoa list ya mashoga, why? How? Kawajuaje? Mambo ya sirini watu wanafanya private kayasikiaje kama nae sie mwenzao au aliwahi kuwa mwenzao?

So dudu ana combination ya Trauma na Guilty conscience. Inawezekana alikua victim kwa kuliwa mara ya kwanza ikoje na kuanzia hapo akapata hio Trauma na Guilty conscience ambayo ndio inajimanifest hapa.

Hio anayoita vita dhidi ya ushoga ni vita dhidi ya watu anaodhani ni victims wenzie, na kwa kuwa haupendi huo u-victim basi inaforce reactions anazozitoa hapo.

By the way kama hauna degree 2 za saikolojia usicomment hapa
6K views · 490 reactions | Ukinielewa jiitie BASATA mwenyewe 😅😅😅😅😅 | Bongo Zozo
 
Sihitaji mtu ajifunze kitu kutoka kwangu, km atakiona kipo ruksa kukichukua.

Sijafikia na sitafikia hatua ya kutegemea mwili unipe mlo wa kila siku, huko sipo kabisa.

Kwa akili na hulka yako, huwezi kuwa mkubwa kwangu kwa namna yoyote ile.
Relaaax mdogo angu.
Sasa kama una mindset hiyo unakuwa je mstari wa mbele kutetea machoko?

Maana kama una akili ya kujitegemea ungelikuwa mstari wa Mbele kuchukizwa na tabia za watu wanahitaji mteremko kwa kuwa chakula za watu.

Ni bayana kuwa unategemea mwili mpaka ukawa pron kusapoti kuingilia nyuma na maumbile for the sake of money, unapenda kusema wanaopinga ushoga ni maskini! Meaning kwamba wewe ni kati ya wale watu mnaotafuta hela kwa (matajiri) wanaowageuza nyuma.

If you are older, then una ukubwa wa mwili na si akili kujua lipi jema na lipi baya kwa manufaa ya jamii uishiyo
 
Sisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna anavyowafikiria na kuwaunganisha kwenye trauma yake kama moja ya victims.

Alipitia trauma ambayo imemfanya kuwa victim wa kitu fulani, na hakupenda huo u-victim. Hivyo akihisi kuna victim mwingine na anamfaham basi anamuattack ili kuidanganya akili yake kwamba yeye sio victim, sababu akimuona huyo anaedhani ni victim wa kitendo hicho basi hujiona yeye pia, hivyo anasuppress hio hali kwa kumuattack victim akidhan kichwani mwake anajipa ahueni.

Pia ni mtu ambae guilty conscience inamsumbua.
Hivi ulishawahi kurudi nyumbani ukiwa umeacha mtoto mdogo, kumbe kipindi haupo alidokoa mboga na pale unaporudi hata kabla hujagundua anaanzanza kujisemea "Yaan mimi hata sijaiba mboga". That's guilty conscience at action. Refer 2018 au 19 hivi pale alipojidae eti na yeye anatoa list ya mashoga, why? How? Kawajuaje? Mambo ya sirini watu wanafanya private kayasikiaje kama nae sie mwenzao au aliwahi kuwa mwenzao?

So dudu ana combination ya Trauma na Guilty conscience. Inawezekana alikua victim kwa kuliwa mara ya kwanza ikoje na kuanzia hapo akapata hio Trauma na Guilty conscience ambayo ndio inajimanifest hapa.

Hio anayoita vita dhidi ya ushoga ni vita dhidi ya watu anaodhani ni victims wenzie, na kwa kuwa haupendi huo u-victim basi inaforce reactions anazozitoa hapo.

By the way kama hauna degree 2 za saikolojia usicomment hapa
Very contradictory presentation.
Unamuita yeye ni victim and unasema yeye anawashambulia wengine anaohisi ni victims kama yeye.
So what is the purpose ya victim kushambulia victims wengine?
Mnaompinga Dudubaya mnajichanganya sana.
Mimi nafikiri nyinyi kama mmeamua kuendelea kuffirwa mngeendelea tu bila kujitetea sana. Maana the more mnajitetea ndivyo mnazidi kujichoresha.
 
Mashaka makubwa, huwezi kuipinga dhambi Fulani bila kua muhanga wa hiyo dhambi?

Kila anaepinga ubakaji ameshawahi kubaka au kubakwa?
Kila anaepinga mauji au dhulma ,ameshawahi kuua, kudhulumu au kudhulumiwa?.
Hapa umepuyanga..kuna mstari mdogo Sana Kati yako na hicho anachokikemea dudu baya
 
Kulinda mgongo maana yake. Niwew mwenyewe kujikaza. Ila kama ukijilegeza wahuni watapita na mgongo wako.😃😃
 
Mkuu hata huo Cocastic ni dume sema linapakuliwa

Huyu mwanzo alivyojiunga JF watu walimsema sana mpaka kuja jamaa alimkomalia kuhusu hizi tabua zake za ugasho ila kwakuwa wengi humu ni wasahaulifu basi ila kwenye huu uzi mnajionea yani mtu anasema kabisa ye akitoa rinda lake we inakuhusu nini
Wewe coca ulishavuka mstari, wala hautuhusu, uko wazi yaani mambo hadharani
sisi tunapambana na hii mimbulung'weng'we ina ina vinyweleo mwili mzima na kuvaa suti na tai huku ikijifanya ni ya kawaida kumbe inazibuliwa mitaro
Hawa ndio wanawaibia mabasha zenu kwa kuwa ni vigumu kuwajua mpaka uwe umesomea Kyuba
Dudubaya amewashtukia ndio maana kelele zimezidi
 
Mkuu hata huo Cocastic ni dume sema linapakuliwa

Huyu mwanzo alivyojiunga JF watu walimsema sana mpaka kuja jamaa alimkomalia kuhusu hizi tabua zake za ugasho ila kwakuwa wengi humu ni wasahaulifu basi ila kwenye huu uzi mnajionea yani mtu anasema kabisa ye akitoa rinda lake we inakuhusu nini
Tatizo ni kumbukumbu zako chache, nani huyo? Huyu hundred na nyongeza? Nilimfurusha kila akiona I'd yangu anapagawa tu.
😂😂😂😂

Halafu jifunze kuandika vizuri kijana sawa eeeh?
 
Sasa kama una mindset hiyo unakuwa je mstari wa mbele kutetea machoko?

Maana kama una akili ya kujitegemea ungelikuwa mstari wa Mbele kuchukizwa na tabia za watu wanahitaji mteremko kwa kuwa chakula za watu.

Ni bayana kuwa unategemea mwili mpaka ukawa pron kusapoti kuingilia nyuma na maumbile for the sake of money, unapenda kusema wanaopinga ushoga ni maskini! Meaning kwamba wewe ni kati ya wale watu mnaotafuta hela kwa (matajiri) wanaowageuza nyuma.

If you are older, then una ukubwa wa mwili na si akili kujua lipi jema na lipi baya kwa manufaa ya jamii uishiyo
Mdogo angu haya unayoandika wewe Leo, watu tulishajadilana kitambo humu, nachoka kurudia hili.

Nikupe hiki kidogo, "kila mtu ana haki na uhuru wa kutumia mwili wake kwa namna anaona inafaa" haki ya faragha.

Nimemalizaa.
 
Mi nadhani arejee zile final submissions ulizozitoa enzi zile.
 
Mwenye dhamana akichelewa kulinda maadili ambayo Mungu anayasimamia, Mungu atamuinua mtu yoyote hata akiwa muhuni asiyefuata utaratibu wala sheria au ustaarabu kuyalinda hayo maadili.

Suala la ushoga na usagaji tuyapinge kwa 100% ni laana, ni unyama uliokubuhu na ni ushetani wa kiwango cha juu sana. Kukaa kimya ni chukizo hata mbele za Mungu
Wapo wasioamini huyo Mungu, vipi hapo? Mnapoleta hoja zenu acheni mihemko.
Mnaji contradict wenyewe.
 
Mdogo angu haya unayoandika wewe Leo, watu tulishajadilana kitambo humu, nachoka kurudia hili.

Nikupe hiki kidogo, "kila mtu ana haki na uhuru wa kutumia mwili wake kwa namna anaona inafaa" haki ya faragha.

Nimemalizaa.
Kuwa na haki ya kugeuzwa sio kigezo cha kusapoti hiyo tabia kwa watoto wadogo hasa wasio kuwa na upevu wa akili kujua madhara ya kufanya huo ujinga.

Hata msomi mwenye kujali haki hawezi kubali upumbavu huu wa kusema uhuru wa mtu uende kuharibu watu innocent.
. Unajua nguvu ya ushawishi wewe?
 
Sisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna anavyowafikiria na kuwaunganisha kwenye trauma yake kama moja ya victims.

Alipitia trauma ambayo imemfanya kuwa victim wa kitu fulani, na hakupenda huo u-victim. Hivyo akihisi kuna victim mwingine na anamfaham basi anamuattack ili kuidanganya akili yake kwamba yeye sio victim, sababu akimuona huyo anaedhani ni victim wa kitendo hicho basi hujiona yeye pia, hivyo anasuppress hio hali kwa kumuattack victim akidhan kichwani mwake anajipa ahueni.

Pia ni mtu ambae guilty conscience inamsumbua.
Hivi ulishawahi kurudi nyumbani ukiwa umeacha mtoto mdogo, kumbe kipindi haupo alidokoa mboga na pale unaporudi hata kabla hujagundua anaanzanza kujisemea "Yaan mimi hata sijaiba mboga". That's guilty conscience at action. Refer 2018 au 19 hivi pale alipojidae eti na yeye anatoa list ya mashoga, why? How? Kawajuaje? Mambo ya sirini watu wanafanya private kayasikiaje kama nae sie mwenzao au aliwahi kuwa mwenzao?

So dudu ana combination ya Trauma na Guilty conscience. Inawezekana alikua victim kwa kuliwa mara ya kwanza ikoje na kuanzia hapo akapata hio Trauma na Guilty conscience ambayo ndio inajimanifest hapa.

Hio anayoita vita dhidi ya ushoga ni vita dhidi ya watu anaodhani ni victims wenzie, na kwa kuwa haupendi huo u-victim basi inaforce reactions anazozitoa hapo.

By the way kama hauna degree 2 za saikolojia usicomment hapa
Umeiweka kitaalam sana, mtu akibisha na yeye ni victim😀😀
 
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili

Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?

BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?

Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa

Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
Upo sahihi, naona baadhi ya Watanzana ni wafaidika wa uchafu huu. Hata Makonda akiwa RC wa Dar, alipambana na kukomesha ushoga lakini akakwama. Inawezekana kuna watu wazito wapo nyuma ya uchafu huu!
 
Back
Top Bottom