Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata
Elimu au promo, nyie hamna akili kabisa, ndio mnakaa mkisema watu wanafirwa wanalipwa
Nimesema BASATA hawana mamlaka ya kumfungia kwa kuwa hiyo "promo" anayofanya sio usanii au muziki. BASATA wanahusika na mambo ya sanaa na muziki tu. Anachokifanya Dudubaya hakihusiani na majukumu ya BASATA. Kama ni kupigwa pin basi alipaswa kupigwa na TCRA sio BASATA mkuu.
 
Duh ila inaonekana wewe BICHWA KOMWE - na mwenzio cocastic ni bado hamja kuwa kabisa, bado ni hamna akili za kikubwa kujua Dudu baya anamaanisha nini.

Na kingine ambayo mnafanya ni ulimbukeni, kufurahia kugeuzwa na usagaji ni fantasy ya watu wasio na mwongozo wa maisha. Watu wasio na staha wala heshima kwao wenyewe na wale wanao wazunguka

Usije kudhani unacho fanya hapa ni sifa na unawafwasi! Hakuna anaye ona hii drama kama important ni kujishushia heshima na kuonekana mwendawazimu tu
 
Kwamba , mamba wamemkata utepe 😀😀😀 , ommy NI Nani awe nao. Wakati wawekezaji & ndo wanaofungua maadhimisho
 
Duh ila inaonekana wewe BICHWA KOMWE - na mwenzio cocastic ni bado hamja kuwa kabisa, bado ni hamna akili za kikubwa kujua Dudu baya anamaanisha nini.

Na kingine ambayo mnafanya ni ulimbukeni, kufurahia kugeuzwa na usagaji ni fantasy ya watu wasio na mwongozo wa maisha. Watu wasio na staha wala heshima kwao wenyewe na wale wanao wazunguka

Usije kudhani unacho fanya hapa ni sifa na unawafwasi! Hakuna anaye ona hii drama kama important ni kujishushia heshima na kuonekana mwendawazimu tu
Heshima Jf itakupa nn wakati mnajificha kwa Id fake na Fake life,

Heshima simama kama dudubaya paza sauti huko kama unatafuta heshima
 
Duh ila inaonekana wewe BICHWA KOMWE - na mwenzio cocastic ni bado hamja kuwa kabisa, bado ni hamna akili za kikubwa kujua Dudu baya anamaanisha nini.

Na kingine ambayo mnafanya ni ulimbukeni, kufurahia kugeuzwa na usagaji ni fantasy ya watu wasio na mwongozo wa maisha. Watu wasio na staha wala heshima kwao wenyewe na wale wanao wazunguka

Usije kudhani unacho fanya hapa ni sifa na unawafwasi! Hakuna anaye ona hii drama kama important ni kujishushia heshima na kuonekana mwendawazimu tu
Yani unategemea machoko wafurahie vita ya Dudu baya?

Halafu unaposema huyu ***** anajivushia heshima, ni lini alikuwa na hiyo heshima?
Niko humu miaka 20 sasa hatukuwahi kuwa ma ******* kama hawa JF hata yule marehemu warumi hakuwa hivi.
 
Nilikuwa najiuliza hivi huyu mjaa laana wochi bela baki kaitolea wapi hii laana ya kufeli maisha na muziki?

Ndugu mwanajamiiforums, hebu jisomee hapa 👇👇


Huyu shujaa wa mataahira toka kitambo yeye anasingizia anaonewa mara sijui amerogwa! Mwisho wa siku kamkata sikio mama yake na panga.

Hakuna laana mbaya kama ya mzazi, ukishalaaniwa lazima uwe chizi jumla. Ni moja kwa moja mirembe.

Huyu wochi bela baki hata afanye nini, hawezi kujiokoa na laana ya mama yake. Mwisho wake ni jela tu. Muziki wenyewe hajui, anaimba matakataka tu. Hana hits, wala hana mvuto wa kisanii.

Bado kidogo atameza ndoano ile yenyewe kabisa. Amelaaniwa, hana kibali na radhi ya mama yake mzazi. Amekataliwa mbinguni na duniani.

Jela inamuhusu huyu mshamba wa misungwi. Akishamaliza kutumikia adhabu ya Basata tutambeba mzobe mzobe tukamsondeke jela ya walevi.

Hakuna kupoa. Wazungu wanasema haipoi wala haiboi. Bendera chuma, mlingoti chuma.
Hakuna laana ya mzazi
 
Yani unategemea machoko wafurahie vita ya Dudu baya?

Halafu unaposema huyu ***** anajivushia heshima, ni lini alikuwa na hiyo heshima?
Niko humu miaka 20 sasa hatukuwahi kuwa ma ******* kama hawa JF hata yule marehemu warumi hakuwa hivi.
Utasanda.

Lazima uache ndala.

Konki, Konki, Konki master.

Baba yako konki bwabwa kitambo, kwani umekuja lini mjini mshamba wewe matola?
 
Yani unategemea machoko wafurahie vita ya Dudu baya?

Halafu unaposema huyu ***** anajivushia heshima, ni lini alikuwa na hiyo heshima?
Niko humu miaka 20 sasa hatukuwahi kuwa ma ******* kama hawa JF hata yule marehemu warumi hakuwa hivi.
Ndo maana nikasema wanajionesha na kuji mdharirisha kwa ujinga tu. Hakuna mtu timamu mwenye akili anaweza kukaa anawasapoti hawa wapuuzi.

Hizi drama ni zao na mapunga wenzao
 
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili

Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?

Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
BASATA hawana kamuonya au kumpiga pin Dudubaya. Sio majukumu yao mkuu. Majukumu ya BASATA yapo wazi na yanajulikana kwa kila mtu. Wasitutishe. BASATA wanahusika na majukumu haya tu:
........................
Majukumu ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) nchini Tanzania ni kusimamia, kukuza na kuendeleza tasnia ya sanaa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na. 23 ya mwaka 1984. [1, 2]

Majukumu Makuu ya BASATA
  • Kusajili Wasanii na Wadau: Kusajili wasanii, vikundi, na miundombinu yote inayohusiana na shughuli za sanaa nchini.
    Kuishauri Serikali: Kutoa ushauri kwa Serikali kuhusu masuala yote yanayohusu maendeleo, sera, na uzalishaji wa kazi za sanaa.
    Kukuza na Kueneza Sanaa: Kufufua, kuhimiza, na kuendeleza kazi za sanaa kupitia maonesho, mashindano, matamasha, warsha, na semina.
    Kutoa Ushauri na Misaada ya Kitaalamu: Kusaidia na kushauri Asasi, taasisi, au watu binafsi wanaojihusisha na uzalishaji, uingizaji, au uuzaji wa kazi za sanaa ndani na nje ya nchi.
    Kufanya Tafiti: Kufanya utafiti wa masuala mbalimbali yanayohusu ustawi na maendeleo ya sekta ya sanaa.
    Kusimamia Ubora na Maadili: Kuandaa miongozo ya kusimamia ubora wa kazi za sanaa na kulinda utamaduni na maadili ya taifa.
    Kutunza Kanzidata: Kusanya na kutunza kanzidata (data) za wasanii na wadau wote wa sanaa nchini.
 
Back
Top Bottom