Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili

Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?

Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko

Hii vita wa kuinyosha kama rula ni Mmoja tu nae si mwingine Anko T

😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣
 
Alienda kupitia mtaro na hakufanikiwa saa hz akikumbuka alivunjwa uti wa mgongo na hakuna mafanikio kichaa Cha mbwa lzma kipande kichwani..........
😂😂😂😂😂😂

Ni mshamba sana wakati anajulikana mambo yake.

Kama hakufanikiwa kupitia mtaro basi akae kwa kutulia.
 
TZ Sijawahi kukutana na Shoga but Naamini wapo wanafanya Siri hata ukikutana naye huwezi kumjua na pia vile vile wako matajiri au watu wenye vyeo ni Mashoga pia.

Huko Ulaya Hali ndio mbaya zaidi maana mambo hadharani...Ulaya huko mashoga Wana vyeo kabisa kwenye serikali, Makampuni makubwa ya Fedha na Tech mfano unaojulikana Sana na maarufu ni Aliyekuwa CEO wa Apple Tim Cook ambaye sasa ni Mwenyekiti wa bodi Ya wakurugenzi ya Apple, Peter Thiel bilionea, venture Capitalist ambaye ni Co-Founder wa PayPal na Palantir Technologies mtu wa karibu na JD Vance na Trump, CEO wa OpenAI Sam Altman naye ni shoga, CEO wa Siemens UK ni Shoga, CO-Founder wa Facebook Mark Hughes naye ni shoga na wako wengi Sana utajaza Seva za JF, Yaani Hapa karibu wote Sisi tunatumia au tumeshawahi kutumia products zilizoongozwa na Mashoga hasa Tech, HALI NI MBAYAAA...

Trump anapnga Homosexual but yeye mwenyewe amezungukwa na Mashoga au watu wenye connection na Mashoga, ndio uone hii vita ilivyo ngumu...Hapa cha msingi ni Kila mmoja kupambana na Familia Yake maana Mifumo imewavulia kofia Mashoga.
 
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili

Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?

Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko

Hii vita wa kuinyosha kama rula ni Mmoja tu nae si mwingine Anko T

😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣
 
TZ Sijawahi kukutana na Shoga but Naamini wapo wanafanya Siri hata ukikutana naye huwezi kumjua na pia vile vile wako matajiri au watu wenye vyeo ni Mashoga pia.

Huko Ulaya Hali ndio mbaya zaidi maana mambo hadharani...Ulaya huko mashoga Wana vyeo kabisa kwenye serikali, Makampuni makubwa ya Fedha na Tech mfano unaojulikana Sana na maarufu ni Aliyekuwa CEO wa Apple Tim Cook ambaye sasa ni Mwenyekiti wa bodi Ya wakurugenzi ya Apple, Peter Thiel bilionea, venture Capitalist ambaye ni Co-Founder wa PayPal na Palantir Technologies mtu wa karibu na JD Vance na Trump, CEO wa OpenAI Sam Altman naye ni shoga, CEO wa Siemens UK ni Shoga, CO-Founder wa Facebook Mark Hughes naye ni shoga na wako wengi Sana utajaza Seva za JF, Yaani Hapa karibu wote Sisi tunatumia au tumeshawahi kutumia products zilizoongozwa na Mashoga hasa Tech, HALI NI MBAYAAA...

Trump anapnga Homosexual but yeye mwenyewe amezungukwa na Mashoga au watu wenye connection na Mashoga, ndio uone hii vita ilivyo ngumu...Hapa cha msingi ni Kila mmoja kupambana na Familia Yake maana Mifumo imewavulia kofia Mashoga.

GCCM, Juma Jax, Bwana Nyembo, Dai, etc hawana rinda
 
Duh. Hivi BASATA ulishawahi kumuita Anko T???
Au kwani yeye Anko T anasemaje???
BASATA wanamuita waliyeshuhudia akifanya jambo kinyume na taratibu zao. Sijawahi kusikia kuwa wamemuita, maybe kwa kuwa hakuna kosa waliloona amefanya
 
Ni mshamba sana wakati anajulikana mambo yake.

Kama hakufanikiwa kupitia mtaro basi akae kwa kutulia.
Ana kichaa kikali ama malaria ipo kwa head

Kiuhalisia kelele zake zitasaidia nn ?? Toka ameanza hizo kelele ni taasisi ipi ama NGO imesimama naye kumuunga mkono??

Ni ushahidi gani anao kwamba yule shoga ? Walisha wahi fanyana ama kufanywa ama kumfanya ndipo awe na mamlaka ya kuchafua baadhi ya watu ??

Hajui kukimbiza kichaa wewe ndiye unaonekna kichaa ??

Ana elimu gani huyo dudumtaro...
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom