Najua wewe ni lesbian, Sina shida na lesbian, napenda kuwatomba lesbian wakisagana,,,nimeshafanya mara nyingi ...ndio fantasy yangu ,,,Mimi Bora nimfire mwanamke na sio mwanaume...Pambana na umaskini wako Tochuku
Wanamlinda chizi mwenzao kwa mapanga na marungu wakati sie nia yetu ni nzuri tu akasaidiwe akiwa hukooooo MirembeKisu kimegonga mfupa mshamba wewe.
Wewe kwa akili yako hiyo iliyojaa funza unaona hizo nyuzi zinafanana?
Tulia dawa iingie mpaka utaacha ndala na baba yako huyo bwabwa wa kitambo.
Dudubaya anachopingwa zaidi na mm pia ni kuchafua baadhi ya watu kwa kutuhuma za kusema yule huyu hao ni mashoga pasi na ushahidiHumu wanaoonekana kumpinga Dudu Baya zaidi ni mashoga, pamoja na baadhi ya wanawake wanaokaa au kushirikiana kwa karibu na mashoga na wasagaji.
Ukitaka kuujua unafiki wa baadhi ya watu hawa, waulize swali moja rahisi: “Je, ungependa wewe mwenyewe uwe na kizazi cha kishoga, au ndugu zako wa karibu wawe mashoga?” Mara nyingi jibu litakuwa hapana.
Lakini cha kushangaza ni kwamba, wakati hawataki jambo hilo litokee ndani ya familia zao, wanaweza kuonekana wakikubali au hata kuunga mkono watoto wa watu wengine wanapoingia katika maisha hayo—hata kufikia hatua ya kuwatafutia mahusiano au “mabahasha.”
Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza: Je, tunasimamia msimamo tunaouamini, au tunakuwa na viwango viwili—kimoja kwa familia zetu na kingine kwa familia za wengine?
lakini yote kwa yote dudubaya anakosea sana kuchafua watu kwa mgongo wa ushoga,kama unataka kufanya harakati za kupinga ushoga basi fanya mwenyewe pasipo kutweza utu wa mtu na kumchafua.
Kupigania jambo unaloliamini hakukupi haki ya kuharibu heshima na utu wa mtu mwingine.
Kabisa,mimi mwenyewe sipendi ushoga ila njia anazotumia kumuaddress mtu kuwa ni shoga pasipo uthibitisho sio njia nzuri kabisa.Dudubaya anachopingwa zaidi na mm pia ni kuchafua baadhi ya watu kwa kutuhuma za kusema yule huyu hao ni mashoga pasi na ushahidi
Anamtolea mfano Ommy anaweza kuwa mwanaume Ila asiwe na muonekano wa kiume asilimia mia hili halihitaji discussion,
wapo baadhi ya wanaume wenye feminine appearance, labda kwenye kuzungumza, wengine miili yao n.k haimanishii hao ni mashoga....
Wapo wanawake wenye muonekano ya kiume kama sauti nzito, ndevu ugumu badla ya ulaini lkn sio wasagaji
Na always muonekano wa mtu sio factor ya kusema huyu ni shoga ama lesbian
sasa anachokifanya huyo jamaa ni kuharibu sifa na utu wa wenzie kwa kigezo cha kupinga ushoga
Aandae program na seminars na kuwe na sapoti nyuma yake ila kwa kelele hizo kama chura wakati wa masika hautofanyi waishio bonde la mkwajuni ama kigogo kutokulala
Hapana ilo jambo sio sahihi na ni lazima mfumo mzima wa malezi nchini familia, shule na dini vipinge hayo mambo na kuelimisha jamii.Kwani unateseka ukiwa wapi?
Mtu akiamua kuliwa kinyeo chake unaumia wapi?
Au shobo zinakutesa?
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
Muarabu alikua anamkamia buree, au pesa za kaishia kunywea nyagi feki na visungura?Alienda kupitia mtaro na hakufanikiwa saa hz akikumbuka alivunjwa uti wa mgongo na hakuna mafanikio kichaa Cha mbwa lzma kipande kichwani..........
Atajua yeye, 😂😂😂Wakimdinya je?
🌈🌈🌈 woyooooooo!!Aweeee uliniona wapi acha ufukunyuku na wewe Matola,
🏳️🌈🏳️🌈🏳️🌈 Forever
Unahisi wee unavyoleta nyuzi zako kila kukicha kutaka attention basi kila mtu? Sasa mie heshima kutoka kwa makerubi wa Tahira ya nini?Duh ila inaonekana wewe BICHWA KOMWE - na mwenzio cocastic ni bado hamja kuwa kabisa, bado ni hamna akili za kikubwa kujua Dudu baya anamaanisha nini.
Na kingine ambayo mnafanya ni ulimbukeni, kufurahia kugeuzwa na usagaji ni fantasy ya watu wasio na mwongozo wa maisha. Watu wasio na staha wala heshima kwao wenyewe na wale wanao wazunguka
Usije kudhani unacho fanya hapa ni sifa na unawafwasi! Hakuna anaye ona hii drama kama important ni kujishushia heshima na kuonekana mwendawazimu tu
Sasa unalia nini? 😂😂😂Yani unategemea machoko wafurahie vita ya Dudu baya?
Halafu unaposema huyu ***** anajivushia heshima, ni lini alikuwa na hiyo heshima?
Niko humu miaka 20 sasa hatukuwahi kuwa ma ******* kama hawa JF hata yule marehemu warumi hakuwa hivi.
😂😂😂Wanamlinda chizi mwenzao kwa mapanga na marungu wakati sie nia yetu ni nzuri tu akasaidiwe akiwa hukooooo Mirembe
Kwa akili hizi utakuwa na familia na watu wa kujifunza kutoka kwako kweli?Unahisi wee unavyoleta nyuzi zako kila kukicha kutaka attention basi kila mtu? Sasa mie heshima kutoka kwa makerubi wa Tahira ya nini?
Wee kaa upande wako wa kupinga, na mie nakaa upande wangu wa kutetea, kwani tatizo nini?
Hakuna kupangiana. Poleee Dogoo.
😂😂😂
Linda Tundu lako ***** weweSisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna anavyowafikiria na kuwaunganisha kwenye trauma yake kama moja ya victims.
Alipitia trauma ambayo imemfanya kuwa victim wa kitu fulani, na hakupenda huo u-victim. Hivyo akihisi kuna victim mwingine na anamfaham basi anamuattack ili kuidanganya akili yake kwamba yeye sio victim, sababu akimuona huyo anaedhani ni victim wa kitendo hicho basi hujiona yeye pia, hivyo anasuppress hio hali kwa kumuattack victim akidhan kichwani mwake anajipa ahueni.
Pia ni mtu ambae guilty conscience inamsumbua.
Hivi ulishawahi kurudi nyumbani ukiwa umeacha mtoto mdogo, kumbe kipindi haupo alidokoa mboga na pale unaporudi hata kabla hujagundua anaanzanza kujisemea "Yaan mimi hata sijaiba mboga". That's guilty conscience at action. Refer 2018 au 19 hivi pale alipojidae eti na yeye anatoa list ya mashoga, why? How? Kawajuaje? Mambo ya sirini watu wanafanya private kayasikiaje kama nae sie mwenzao au aliwahi kuwa mwenzao?
So dudu ana combination ya Trauma na Guilty conscience. Inawezekana alikua victim kwa kuliwa mara ya kwanza ikoje na kuanzia hapo akapata hio Trauma na Guilty conscience ambayo ndio inajimanifest hapa.
Hio anayoita vita dhidi ya ushoga ni vita dhidi ya watu anaodhani ni victims wenzie, na kwa kuwa haupendi huo u-victim basi inaforce reactions anazozitoa hapo.
By the way kama hauna degree 2 za saikolojia usicomment hapa
Sihitaji mtu ajifunze kitu kutoka kwangu, km atakiona kipo ruksa kukichukua.Kwa akili hizi utakuwa na familia na watu wa kujifunza kutoka kwako kweli?
Au ndo nyie mlio Kata tamaa ya maisha mnategemea mgeuzwe ndo mpate ugali wa kila siku?
Am not young kama imuni waziavyo, tena kwa akili zako hizo I might be your big bro