Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata
Màkonda ndiyo kasababisha hili, Juzi hapa Kuna maneno kaongea akishangaa Kwa Nini Wasaidizi wake hawajachukua Hatua kuhusu Dudubaya.

Wakati yeye Mwenyewe Kuna harakati Nyingi alizifanya ikiwemo kupinga Ushoga sawa na anachofanya Dudubaya, ama anataka jambo lolote limuhusishe yeye peke yake...!
 
Kuwa na haki ya kugeuzwa sio kigezo cha kusapoti hiyo tabia kwa watoto wadogo hasa wasio kuwa na upevu wa akili kujua madhara ya kufanya huo ujinga.

Hata msomi mwenye kujali haki hawezi kubali upumbavu huu wa kusema uhuru wa mtu uende kuharibu watu innocent.
. Unajua nguvu ya ushawishi wewe?
Ni wapi na lini nilisapoti ulawiti kwa watoto? Leta aidha uzi au comments ili tupate ushahidi. Sasa wanaoharibu watoto si ni straight uchwara, wakiwemo wajomba, binamu, kaka, baba wadogo, majirani etc? Uliona lini Msenge akahamasisha watoto walawitiwe?

Hakuna mtu anayeshawishi, useme mtu mwenyewe anafuata mkumbo kwa sababu zake binafsi, ingekua hivyo mbona wewe hujawa shoga, km ushawishi una nguvu km unavyo eleza hapa?
 
Siandiki ili kubishana, naandika kuonesha kuwa hiyo mindset ni mbaya na haikubaliki, sio kubishana ni kukana na kupinga vikali tabia hii chafu
Kuna mtu kakukataza usikane? usipinge? Wewe kana au pinga tena kadri ya uwezo wako, na mie niache nitetee kadri ya uwezo wangu, mbona unataka kunipangia?? Vipi wee dogo?
 
Ni wapi na lini nilisapoti ulawiti kwa watoto? Leta aidha uzi au comments ili tupate ushahidi. Sasa wanaoharibu watoto si ni straight uchwara, wakiwemo wajomba, binamu, kaka, baba wadogo, majirani etc? Uliona lini Msenge akahamasisha watoto walawitiwe?
Unafikiri kwa machapisho unayoweka hapa jukwaani uki sapoti mashoga havina impact kwa msomaji? Na tangu lini straight aka haribu jamii, shoga ni shoga tu, na kasha fanya kitendo kile tayari alikuwa shoga toka kitambo wewe acha kukwepa mshale, umekuwa mstari wa Mbele humu jukwaani kuchekelea na kuandika hoja za kijinga ukihalalisha watu kugeuzwa, which means you're one of them
Hakuna mtu anayeshawishi, useme mtu mwenyewe anafuata mkumbo kwa sababu zake binafsi, ingekua hivyo mbona wewe hujawa shoga, km ushawishi una nguvu km unavyo eleza hapa?
Hujui kuwa hata wa uta bangi hushwishiwa kwa kuwa na vikundi vya marafiki wanaovuta? Mazingira na Uvumi husababishwa watu kuona jambo baya kuwa la kawaida na wao kujaribu
 
CHADEMA ni moja ya taasisi ambayo kwa nyakati tofauti imekuwa mhanga kwa watu wa CCM kuishutumu kwamba inaunga mkono masuala ya jinsia, bila uthibitisho wowote wa shutuma hizo.

Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya makada wa CHADEMA, ambao kwa kuelewa jinsi hizi shutuma zilivyokuwa zinaelekezwa kwa chama chao kwa propaganda za wapinzani wao wa kisiasa, kumuunga mkono Dudubaya na kampeni yake ya "linda mgongo wako" ambayo lengo ni kushutumu watu bila uthibitisho wowote unaoendana na shutuma hizo. Hauwezi kushutumua mtu kwa mambo hayo kisa muonekano, sauti, ongea, tembea, nk.

Mambo haya yanayosemwa yamekuwa makubwa ndani ya uangalizi wa serikali za CCM. Hakuna chama kingine chochote kilichowahi kutawala Tanzania kwa miaka 40 iliyopita. Leo CCM wanatumia vichaa kuwatupia lawama wengine wakati jukumu la kulinda maadili na ustawi wa taifa limekuwa kwenye mikono yao miaka yote hii. Kama kuna wa kuwalaumu ni wao.

Kisheria jukumu la kuthibitisha shutuma lipo kwa mtoa shutuma. Hauwezi kumshutumu mtu kwa jambo fulani halafu ukamwambia athibitishe kama yuko innocent kwa shutuma unazompa. Ni jukumu lako wewe mtoa shutuma kuthibitisha hicho unachomshutumu nacho. Labda kama hatuishi kwenye utawala wa sheria na badala yake tunaishi kama "barbarians".

Miaka ya 1970's katikati ya vita baridi ya dunia, kuna mwanasiasa mmoja Marekani alikuwa anajulikana kama Joseph McCarthy. Huyu alikuwa maarufu kwa kuanzisha vita dhidi ya wanasiasa na baadae watu wengine maarufu ambao walionekana kuwa na milengo ya kikomunist. Ilikuwa ukipachikwa tu tuhuma za kuwa "communist sympathizer", ujua kila aina ya uchunguzi utakuhusu. Hili jambo likatumika kama chaka la kuwasumbua na kuwamaliza watu wote ambao walionekana kwenda kinyume cha milengo ya kisiasa ya watawala. Ukomunisti ulitumika tu kama tope la kuwachafua ili kuwanyamazisha.

Huyo Dudubaya, mnampa mtaji wa kisiasa ambao unakata kuwili. Unaweza kuwa una hisia kali kwenye kulinda hadhi ya wanaume ila unajisahau huyo unayempa nguvu za kukusemea ni silaha ya maangalizi inayoandaliwa na watu usiowajua. Kesho anategemewa kuja kutoa shutma nzito dhidi ya watu au taasisi fulani au yoyote kwa kutumwa na watu hao wenye agenda zao za kisiasa na utajikuta uko kwenye dilemma ya kuendelea kumtetea au kumkemea. Ikifika wakati huo, hata ukimpinga, sauti yako haitakuwa na nguvu tena ya kupambana naye au kumnyamazisha maana ni wewe mwenyewe utakuwa umemjenga na kumpa hilo rungu la kumuangamiza yoyote yule.

PS. Tanzania hili suala tunaliendea kimhemko sana na limejaa unafki mwingi. Kwa mfano, wengi wanadhani sh*** ni yule tu anayefanywa ila wengi wanamchukulia anayefanya ni rijali na mwanaume kamili. Kwa hiyo hata mtaani, kauli za kutishia kumfanya mwanaume mwenzio zinachukuliwa za kishujaa na za kiuanaume wakati kimsingi hazionyeshi tofauti na hao mas**** unaowachukia.
Hawawezi kukuelewa hapa. Hadi wawe huru kiakili. Na shida hiyo kitu hawana.
 
Kuna mtu kakukataza usikane? usipinge? Wewe kana au pinga tena kadri ya uwezo wako, na mie niache nitetee kadri ya uwezo wangu, mbona unataka kunipangia?? Vipi wee dogo?
Hakuna aliye kupanga, wewe kama una geuzwa endelea kugeuzwa kwa manufaa yako ila kuja hadharani na ukihalalisha kugeuzwa kwako hakukubaliki.. Hakuna mtu mzima mwenye akili timamu anaye kubali huu ujinga, na kutaka watu kama nyie mlio shindwa maisha kuharibu wengine
 
Unafikiri kwa machapisho unayoweka hapa jukwaani uki sapoti mashoga havina impact kwa msomaji? Na tangu lini straight aka haribu jamii, shoga ni shoga tu, na kasha fanya kitendo kile tayari alikuwa shoga toka kitambo wewe acha kukwepa mshale, umekuwa mstari wa Mbele humu jukwaani kuchekelea na kuandika hoja za kijinga ukihalalisha watu kugeuzwa, which means you're one of them

Hujui kuwa hata wa uta bangi hushwishiwa kwa kuwa na vikundi vya marafiki wanaovuta? Mazingira na Uvumi husababishwa watu kuona jambo baya kuwa la kawaida na wao kujaribu
Ninatetea mashoga/ushoga, sio ulawiti, kwanza ukishajua hivyo vitu utofauti uko wapi, hutosumbuka. Na km ni haya machapisho yangu hapa JF, sasa hapa kuna mtoto?? Hoja za kijinga kwako, kwanza wee lini uliandika kitu cha maana? Zaidi ya kutafuta attention na nyuzi zako lukuki zisizo na maana wala mashiko.

Ukiona mtu au kundi huendani nalo unalifata la nini? Wakati unajua fika sio type yako? Ndio nakuambia tena hawashawishiwi, ni wao binafsi wanafata mkumbo. Elewa utofauti wa ushawishi na kufata mkumbo. Itakusaidia sana.
 
Siungi mkono ushoga ila dudu baya ni.mropokaji tu hamna vita ya ushoga anayopigana zaidi ya kuropoka nadhani ameona atafatu kitu cha kumfanya watz wasimzike kifikra
 
Hakuna aliye kupanga, wewe kama una geuzwa endelea kugeuzwa kwa manufaa yako ila kuja hadharani na ukihalalisha kugeuzwa kwako hakukubaliki.. Hakuna mtu mzima mwenye akili timamu anaye kubali huu ujinga, na kutaka watu kama nyie mlio shindwa maisha kuharibu wengine
Niko hapa kutetea ushoga/mashoga, wewe km unapinga basi pinga, sasa km unaona nahalalisha hiyo ni juu yako wewe.
Kwenye kushindwa maisha huko sipo kabisaa. Km umeshindwa wewe basi polee.
 
Niko hapa kutetea ushoga/mashoga, wewe km unapinga basi pinga, sasa km unaona nahalalisha hiyo ni juu yako wewe.
Kwenye kushindwa maisha huko sipo kabisaa. Km umeshindwa wewe basi polee.
Kama huja shindwa maisha kwanini ukae kutetea kitu unacho jua fika hakina manufaa kwenye jamii, kwanini kama wewe umezzoea kupewa hela na wanaokugeuza na unajitosheleza usifunge bakuli lako na uka enjoy tabia hiyo chafu?
 
Back
Top Bottom