Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata
Ninatetea mashoga/ushoga, sio ulawiti, kwanza ukishajua hivyo vitu utofauti uko wapi, hutosumbuka. Na km ni haya machapisho yangu hapa JF, sasa hapa kuna mtoto?? Hoja za kijinga kwako, kwanza wee lini uliandika kitu cha maana? Zaidi ya kutafuta attention na nyuzi zako lukuki zisizo na maana wala mashiko.
Kutetea ushoga na kuukana ulawiti si ndio ujinga wenyewe ninaouzungumzia? Unarukia mkojo unaenda kukanyaga mavi? Ndio mimi nilikuwa naandika kutafuta attention kwa muda fulani, ila sikuwahi kupotosha umma, sikuwahi kuwa mjinga kutumia popularity kuendekeza tabia mbaya na ushoga, unayosema unapinga ulawiti, mashoga wanafanywa nini? Au unafikiri ulawiti ni kwa watoto pekee?
Ukiona mtu au kundi huendani nalo unalifata la nini? Wakati unajua fika sio type yako? Ndio nakuambia tena hawashawishiwi, ni wao binafsi wanafata mkumbo. Elewa utofauti wa ushawishi na kufata mkumbo. Itakusaidia sana.
Sija fuata kundi bali ninaoinga ujinga ambao mnataka kuu hararisha na hoja zenu mbaya. Mnafikiri watu wenye akili walio kaa kimya hawaoni na hawajui impact mbaya mnayo taka kuleta kwenye jamii?

Hakuna kitu kama kufuata mikumbo kama hakuna ushawishi, mtu hawezi kufata mikumbo bila kujua ni nini a akipata baada ya kufuata huo mkumbo
 
Sasa unamwambia yeye ndie Pedo? hao mapedo si ndio nyie nyie na wajomba zenu, hebu huko na wewe, unashindwa kupambana na hao mabasha ambao ndio nyie nyie mnakuja kuattack kundi moja, mashoga wanajifira wenyewe???
Siwajui na sitaki kuwajua, ninamwambia huyu ya kuwa kama kazoea kugeuzwa basi aendelee na biashara zake za kugeuzwa au kisagwa kimya kimya na asije kuanza kuhalalisha mbele ya umma kuwa vitendo hivyo vya kijinga ni halali kufanyika katika jamii, hakuna mtu mwenye akili timamu anaye weza kukubali upumbavu huu ambao mashoga walishindwana maisha wanakuja kuharisha na kuharibu vizazi vijavyo
 
Kutetea ushoga na kuukana ulawiti si ndio ujinga wenyewe ninaouzungumzia? Unarukia mkojo unaenda kukanyaga mavi? Ndio mimi nilikuwa naandika kutafuta attention kwa muda fulani, ila sikuwahi kupotosha umma, sikuwahi kuwa mjinga kutumia popularity kuendekeza tabia mbaya na ushoga, unayosema unapinga ulawiti, mashoga wanafanywa nini? Au unafikiri ulawiti ni kwa watoto pekee?

Sija fuata kundi bali ninaoinga ujinga ambao mnataka kuu hararisha na hoja zenu mbaya. Mnafikiri watu wenye akili walio kaa kimya hawaoni na hawajui impact mbaya mnayo taka kuleta kwenye jamii?

Hakuna kitu kama kufuata mikumbo kama hakuna ushawishi, mtu hawezi kufata mikumbo bila kujua ni nini a akipata baada ya kufuata huo mkumbo
Sitaki niende mbali zaidi au niandike mengi kujichosha. Sitaki kupoteza energy.
Naomba fuatilia saka saka ya mashoga Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar, Serikali chini ya Rais Magufuli (Rip) na Balozi Mahiga (Rip) akiwa waziri wa mambo ya nje, walitoa msimamo gani? Itakusaidia.

Pia Samia Akiwa Rais ktk 1 ya mkutano wake wa hadhara, mbele ya wananchi alitamka kuwa kwa watu wazima ni ruksa, ila sio kwa watoto, nanukuu "hili jambo wafanye wakubwa kwa wakubwa kwa makubaliano yao, ila sio kwa watoto"
Sasa utaelewa. Hao watu wenye akili unaosema wao wamekaa kimya wanajua, sio km nyie wenye mihemko.
Nakuacha hapa. Nimemaliza.
 
Kama huja shindwa maisha kwanini ukae kutetea kitu unacho jua fika hakina manufaa kwenye jamii, kwanini kama wewe umezzoea kupewa hela na wanaokugeuza na unajitosheleza usifunge bakuli lako na uka enjoy tabia hiyo chafu?
Nikajua tunajadili hapa kwa ujumla. kumbe uko na yako binafsi juu yangu? Naomba nikuambie, natafuta pesa kwa jasho langu, na ninaendelea kupambana kila iitwapo leo.
Poleee mdogo angu. Nilikuwepooo!!
 
Sitaki niende mbali zaidi au niandike mengi kujichosha. Sitaki kupoteza energy.
Naomba fuatilia saka saka ya mashoga Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar, Serikali chini ya Rais Magufuli (Rip) na Balozi Mahiga (Rip) akiwa waziri wa mambo ya nje, walitoa msimamo gani? Itakusaidia.
Haijalishi ni kipindi gani na uongozi upi kulikuwa na wimbi la mashoga, tunacho angalia ni hali iliyopo sasa na namna gani tunaweza kuiepusha jamii kutoka katika huu uozo. Haitanisaidia chochote kwa maana hata sitaki kufatilia historia ya machoko, ni nyie pekee mnaofanya huu Ufuska mko so interested na vitu kama hivyo.
Pia Samia Akiwa Rais ktk 1 ya mkutano wake wa hadhara, mbele ya wananchi alitamka kuwa kwa watu wazima ni ruksa, ila sio kwa watoto, nanukuu "hili jambo wafanye wakubwa kwa wakubwa kwa makubaliano yao, ila sio kwa watoto"
Sasa utaelewa. Hao watu wenye akili unaosema wao wamekaa kimya wanajua, sio km nyie wenye mihemko.
Nakuacha hapa. Nimemaliza.
Nukuu za chura kiziwi sio za kuzingatiwa maana hatuna raisi hapo,

Hakuna mihemko ya aina yoyote hapa bali tunapinga upuuzi na ujinga wa watu kuhalalisha upumbavu wa kugeuzwa na kuharibu jamii na kizazi kijacho. Hakuna mwenye akili timamu anaye weza kuona jambo hili na kuliruhusu lipite, maana anakuwa anajua impact yake kwa jamii na kizazi kijacho
 
Nikajua tunajadili hapa kwa ujumla. kumbe uko na yako binafsi juu yangu? Naomba nikuambie, natafuta pesa kwa jasho langu, na ninaendelea kupambana kila iitwapo leo.
Poleee mdogo angu. Nilikuwepooo!!
Ni wewe uliye anza kuleta mambo ya kudhani wani fahamu, na kuniita mdogo wako wakati hata hatujuani, kilicho kuwa mezani ni kupinga hoja zenu za kuhalalisha tabia chafu ya mashoga na kutaka watu awaamini ni kitu cha kawaida.

Hakuna anaye entertain pole zako, za kijinga ambazo unajua fika unatafuta ahueni kwenye kujaribu kukwepa mishale na kujitakasa kwa kusingizia hausapoti ulawiti kumbe una sapoti ushoga sasa unacho jificha na kukataa ni nini? Si ni yale yale na impact yake ni ile ile? Watu kama nyie hafai katika jamii na ni watu mlio shindwa maisha kabisa
 
Haijalishi ni kipindi gani na uongozi upi kulikuwa na wimbi la mashoga, tunacho angalia ni hali iliyopo sasa na namna gani tunaweza kuiepusha jamii kutoka katika huu uozo. Haitanisaidia chochote kwa maana hata sitaki kufatilia historia ya machoko, ni nyie pekee mnaofanya huu Ufuska mko so interested na vitu kama hivyo.

Nukuu za chura kiziwi sio za kuzingatiwa maana hatuna raisi hapo,

Hakuna mihemko ya aina yoyote hapa bali tunapinga upuuzi na ujinga wa watu kuhalalisha upumbavu wa kugeuzwa na kuharibu jamii na kizazi kijacho. Hakuna mwenye akili timamu anaye weza kuona jambo hili na kuliruhusu lipite, maana anakuwa anajua impact yake kwa jamii na kizazi kijacho
Kumbe nilikua napoteza muda kwenye haya majadiliano, tuishie hapa.
 
Ni wewe uliye anza kuleta mambo ya kudhani wani fahamu, na kuniita mdogo wako wakati hata hatujuani, kilicho kuwa mezani ni kupinga hoja zenu za kuhalalisha tabia chafu ya mashoga na kutaka watu awaamini ni kitu cha kawaida.

Hakuna anaye entertain pole zako, za kijinga ambazo unajua fika unatafuta ahueni kwenye kujaribu kukwepa mishale na kujitakasa kwa kusingizia hausapoti ulawiti kumbe una sapoti ushoga sasa unacho jificha na kukataa ni nini? Si ni yale yale na impact yake ni ile ile? Watu kama nyie hafai katika jamii na ni watu mlio shindwa maisha kabisa
Nilishavuka zamani level za ushindani na ubishani, sipo hapa kukuonesha nani zaidi, muhimu ni kuwa kila mtu asimamie kile anachoona kwake kinafaa.
Nimemaliza.
 
Siwajui na sitaki kuwajua, ninamwambia huyu ya kuwa kama kazoea kugeuzwa basi aendelee na biashara zake za kugeuzwa au kisagwa kimya kimya na asije kuanza kuhalalisha mbele ya umma kuwa vitendo hivyo vya kijinga ni halali kufanyika katika jamii, hakuna mtu mwenye akili timamu anaye weza kukubali upumbavu huu ambao mashoga walishindwana maisha wanakuja kuharisha na kuharibu vizazi vijavyo
Nimekuuliza swali mashoga wanafirwa na nani? mbona unaattack kundi moja jengine unaliacha?
 
Kumbe nilikua napoteza muda kwenye haya majadiliano, tuishie hapa.
Ulikuwa unapoteza muda ndio maana na mimi sikuwa na bishana bali nilikuwa nappinga ujinga kama wewe ulikua kwa ajili ya mabishano basi umepotea njia. Hakuna mabishano katika swala hilo la kijinga.
. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kukaa akaanza kuongea mabishano katika topic kama hii, lazima apinge kikamilifu, hakuna kupepesa maneno wala kutafuta historia maana havisaidii kitu.
 
Nilishavuka zamani level za ushindani na ubishani, sipo hapa kukuonesha nani zaidi, muhimu ni kuwa kila mtu asimamie kile anachoona kwake kinafaa.
Nimemaliza.
Haatujashindana hapa, ilikuwa swala la kuwekana wazi kuwa ujinga huo hastahili kusikia katika jamii ya watu wenye akili timamu.
Hakuna cha kusimamia hapo, kama una geuzwa endelea kufanya hivyo kwa usiri kadri uwezavyo maana hakuna wa kuku chunga ila kuja na hoja za kuhalalisha hakuna wa kukubaliana na wewe na hauruhusiwi kuongea maana unajaribu kuharibu kizazi kwa ujinga wako mwenyewe
 
Nimekuuliza swali mashoga wanafirwa na nani? mbona unaattack kundi moja jengine unaliacha?
Nani anaye uza ass, kama sio nyie? Si ni nyie ambao mnawatafuta hao watu? Bila nyie hapo watu wa kuwapelekea moto watatokwa wapi? Na tutawajuaje? Mbona unashindwa kutumia logic ndogo tu? Nani anaye miliki biashara?
 
Baaaasi, nishajua wewe ni shoga mwenzetu emu vaa hiki kikoi afu kakae kwa paleeeee usubiri kufundwa
 
Back
Top Bottom