Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata
hahahahaha,unajua mwanzo sikua najua,ila sasa nimejua humu wamo wapinzani wa Dudubaya wengi sana,wameshindwa kukaza
Bro hao si wapinzani wa Dudubaya pekee ni wapinzani wa jamii.
Hata mimi nawapinga, huyo mmoja nilikuwa namuheshimu sana lakini leo amenisikitisha pakubwa🙄
 
Enzi za Makonda
images (73).jpeg
 
Kiki kama za dudu baya, ndio zilimponza mwenzie paul Basht akakosa u Vice P. Baada ya kuwekewa sanctions kwenda huko Duniani.

Ndio mana mnaona this turn amevaa tint kama haoni ingawa ni sekta yake. Na wakati ule alikuwa just RC wa Dar.

Fikirini mara mbili. Dudu yeye ni Loose woofer hana cha kupoteza ila kama mtu ana mikakati ya long and short terms lazma ajiweke mbali kuwa kashifu hii jamii ya LGBT.
 
Huyu ni mchizi sema ndo hivyo alishaharibikiwa, hiyo picha aliyoiweka ni mahogany wengi wanakipitia yani unakuta shoga lililokubuhu na lenyewe linajikuta kama demu ndo hili sasa jamaa
Siamini bana posti zake nyingi zinaonyesha kwamba yeye ni mwanamke
 
Sijaviona, nimeona hili la kupakuliwa ndio linafaa kwenye mwili wangun
Usikubali kupakuliwa mpenzi. Mm sitakupakua, nitakutendea kama malkia.

Pia nitakufundisha dini (sio kwamba mimi ni religious fundamentalist) hapana nitakufundisha tu kiasi kinachotutosha.
 
Usikubali kupakuliwa mpenzi. Mm sitakupakua, nitakutendea kama malkia.

Pia nitakufundisha dini (sio kwamba mimi ni religious fundamentalist) hapana nitakufundisha tu kiasi kinachotutosha.
Wachaa wee!! 😂😂😂
 
You better watch your back Nigger
 

Attachments

  • IMG-20260924-WA0018.jpg
    IMG-20260924-WA0018.jpg
    32.4 KB · Views: 12
Hi! Whats'up? Wochi bela baki?

Sasa basi, kufuatia hii hamasa ya kulinda migongo iliyoanzishwa na yule jamaa, ninaomba kujuzwa mambo kadhaa:-

Naomba wale manguli wa ushoga wanijibu maswali haya kwa ufasaha:-

1. Huu ulindwaji wa migongo unafanyikaje? Kwa kutumia mbinu gani? Unaziba na kizibo au unachomeka magunzi?

2. Kabla ya ujio wa hichi kibwagizo cha kulinda migongo, watu walikuwa hawalindi migongo yao? Na kama walikuwa wanalinda, kipi kimebadilika wakati huu? wanataka kupaziba kabisa na moto wa gesi? Na kama walikuwa hawalindi migongo yao, kwanini?

3. Nani atasimamia huu ulinzi wa migongo? wochi bela baki mwenyewe au wafuasi wake?

4. Kama mtu asipolinda mgongo wake, nini kitatokea? Je, ataadhibiwa na wochi bela baki?

Naomba nijibiwe haya maswali kwa ufasaha wa hali ya juu sana.

Karibuni sana manguli wa ushoga kwa majibu yenu.

Cc: Tlaatlaah
Hilo swali namba moja tangu jana kila ninayemuuliza hanijibu, sijui shida nini,
Natamani sana kujua huyo chizi fresh anavyowaambia walinde migongo yao wao wanailindaje? wanatembea na vigunzi au wameziba na gundi au wameziba na butt plug??? Hii kauli inafikirisha sana waje wajibu wanailindaje😂🤣😂
 
Dudu baya anachofanya ni promotion ya ushoga, njia sahihi ya kupambana na mashoga ni kuweka sheria kali kwa wote wanaofanya promotion ya ushoga hii itazuia watu wote kusambaza habari zao.
 
Back
Top Bottom