Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Hee ni mwanaume. Mm nikijua nibinti mrembo sana nilivoona ile profile pikcha. Nikawa najiuliza nashoboka vipiMkuu hata huo Cocastic ni dume sema linapakuliwa
Huyu mwanzo alivyojiunga JF watu walimsema sana mpaka kuja jamaa alimkomalia kuhusu hizi tabua zake za ugasho ila kwakuwa wengi humu ni wasahaulifu basi ila kwenye huu uzi mnajionea yani mtu anasema kabisa ye akitoa rinda lake we inakuhusu nini
Umekunywa chai leo?
You look hoves!
Umeona sasa shida hiiMdogo angu haya unayoandika wewe Leo, watu tulishajadilana kitambo humu, nachoka kurudia hili.
Nikupe hiki kidogo, "kila mtu ana haki na uhuru wa kutumia mwili wake kwa namna anaona inafaa" haki ya faragha.
Nimemalizaa.
Shida gani?Umeona sasa shida hii
Huyu ni mchizi sema ndo hivyo alishaharibikiwa, hiyo picha aliyoiweka ni mahogany wengi wanakipitia yani unakuta shoga lililokubuhu na lenyewe linajikuta kama demu ndo hili sasa jamaaHee ni mwanaume. Mm nikijua nibinti mrembo sana nilivoona ile profile pikcha. Nikawa najiuliza nashoboka vipi
😂😂😂 Waja mnachekesha kwa kweli.Hee ni mwanaume. Mm nikijua nibinti mrembo sana nilivoona ile profile pikcha. Nikawa najiuliza nashoboka vipi
Kwa hiyo hata kama una haki na mwili wako ndo upakuliwe sasa, hivi huoni vingine vya kufanyia huo mwili?Shida gani?
Sasa ndio ulie mwanetu? Panauma wapii?Huyu ni mchizi sema ndo hivyo alishaharibikiwa, hiyo picha aliyoiweka ni mahogany wengi wanakipitia yani unakuta shoga lililokubuhu na lenyewe linajikuta kama demu ndo hili sasa jamaa
Sijaviona, nimeona hili la kupakuliwa ndio linafaa kwenye mwili wangunKwa hiyo hata kama una haki na mwili wako ndo upakuliwe sasa, hivi huoni vingine vya kufanyia huo mwili?
Yule namna anavyo pinga ndio tatizo .labda angetoa elimu kwa jamii wew uwezi pinga umekunywa kale keupe.Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?
Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa
Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
Acha zako we jamaa basi si hata ujificheSasa ndio ulie mwanetu? Panauma wapii?
😂😂😂😂
Nijifiche kwanini? Nahofia nini yaani? Nina haki na uhuru binafsi, sipaswi kuingiliwa.Acha zako we jamaa basi si hata ujifiche
Sema hata hivyo huyo sio wewe ni li roho flani hivi chafu ila mkuu bado hujachelewa na rinda linaweza Pata uhafadhali kama ukichukua hatua leoNijifiche kwanini? Nahofia nini yaani? Nina haki na uhuru binafsi, sipaswi kuingiliwa.
Ushatoka nje ya uwanja tayari, huwa hamuwezagi kusimama kwenye hoja.Sema hata hivyo huyo sio wewe ni li roho flani hivi chafu ila mkuu bado hujachelewa na rinda linaweza Pata uhafadhali kama ukichukua hatua leo
sema tenaKwanza wasiishie hapo tu, wanatakiwa wampeleke milembe akapate tiba ya afya ya akili na akakae sober,
Ni kichaa yule.
Hivyo hivyosema tena